konyagi

Wamey ([wæ-meỹ], Meyny), or Konyagi (Conhague, Coniagui, Koniagui), is a Senegambian language of Senegal and Guinea.

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwa namna ninavyoona taifa langu likipotea, nabugia Balimi kwa kwenda mbele na kuchanganya na Konyagi. CCM imeharibu mustakabali wa Taifa letu

    Naona kama taifa letu halina future tena. Mwalimu Nyerere aliwategemea hawa jamaa wa iliyokuwa USSR. Kwa ujinga uliokuwepo tukaimbishwa nyimbo kuwa ni watu wazuri na sio wanyonyaji. Lakini hakuna walichotusaidia zaidi ya wao kuuza siraha zao na kunufuika wakati wa vita vya Kagera na hata pia...
  2. kyagata

    JamiiForums Tanzania Konyagi

    Wakuu,hivi ni kwa nini mwanaume ukinywa konyagi then ukamuingilia mwanamke kimwili haumwagi wazungu kiurahisi?
  3. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama konyagi zinaanza kunishinda au siku hizi zinachakachuliwa

    Mpo poa? Kikawaida zamani nilikua na uwezo wa kupiga visichana viwili vya konyagi kwa kuchanganyia na tonic soda bila shida yoyote. Sasa recently nashindwa kuelewa nikipiga visichana viwili aisee vinanichukua mapema yani nazima mapema sana kitu ambacho sio kawaida yangu, halafu asubuhi...
  4. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Kwanini konyagi huwa inalazwa?

    Salaam alyekum, wakati sosho media zimejaa taarifa zisizo na tija sijui gwaji boy, sijui gen z binafsi naona ni kama kelele za chura ambazo hazimzuiii kuendelea na kazi huo ulikuwa utangulizi lakini swali langu ni kwanini konyagi huwa inalazwa? …..ukizingia kwenye comment principle yangu ni...
  5. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Hivi kiwanda cha Konyagi mmeruhusu kuchafua na kuchafuliwa?

    Nimegoogle nikaona konyagi inatengenezwa na kiwanda kinaitwa Tanzania Distillers. Kwa muda sasa kinwaji chenu kimekuwa kikinasibishwa na ndugu Mbowe pale ambapo wahasimu wanataka kumtweza au kumchafua. Anaonekana kalewa kwenye kibonzo na kando yake au mkononi kashikilia chupa ya konyagi. Sijui...
  6. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

    Gazeti la Mwananchi limeonyesha kabisa Waamini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Picha ya Joseph Mbilinyi (Sugu) akiwa amelazwa hospitali ilikuwa na chupa ya Konyagi kwa pembeni

    Salaam Wakuu, Nimekutana na chapisho hili kutoka Twitter, ina ukweli?
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mbowe apiga picha ikiwa na chupa ya Konyagi nyuma yake

    Habari Wakuu, nimekutana na picha ikimuonesha Mbowe amepiga picha mbele ya TV huku nyuma kukiwa na chupa ya Konyagi. Je, picha hii ni halisi? ---
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mliojaribu huu Mseto Tukuka wa Nazi Mbichi, Mtindi, Karanga Mbichi, Konyagi, Asali na Moshi wa Pombe Jani ni kweli vinamfanya Mtu aone Moto Bedroom?

    Nipeni Majibu yenu haraka kwani kuna Mtu kanilia sana Vyangu na Kunikwepa, lla Leo Kajaa na yuko sasa Maghetoni.
  10. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Unywaji wa pombe Kali kama konyagi na K Vant huongeza nguvu za kiume

    Habari Jamiichek Kwa muda sasa katika Jamii yetu ya Kiswahili kumekuwa na hii nadharia kwamba mwanaume akitumia pombe Kali Aina ya konyagi au k vant halafu akaenda kufanya mapenzi, hutumia muda mrefu Sana kufika mshindo kitu ambacho inasemekana kinaridhisha wanawake kiurahisi. Huku mitaani...
  11. Chai ya saa kumi

    JamiiForums Tanzania Konyagi na kutoka jasho

    Nimekunywa Konyagi this morning natokwa na jasho balaa. Nahisi nishapoteza maji kama lita 10 mpaka sasa hivi. Au itakua konyagi pori hii, mbona za zamani hazikuwa hivi?
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Konyagi Feki zaivuruga TBL, yapunguza uzalishaji

    Tanzania Breweries Limited (TBL) has significantly decreased production of Konyagi, one of the most popular spirits in the country, following a sharp decline in demand due to the ploriferation of illicit alcohol. According to government data, Konyagi output plunged from 33.287 million litres in...
  13. Brothers Karamazov

    JamiiForums Tanzania NyagiGang, hii Konyagi fusion umeionaje?

    NyagiGang! Baada ya Ugali mkubwa hapa Nyamilangano, nikahitaji Konyagi, my all time liqour. Kuna kadada hapa Grocery, keupeee! Maradhi yangu, kakanishawishi kuna Konyagi mpya inaitwa Konyagi Fusion. Kutokana na weupe, nikakosa nguvu ya kukabishia, unajua udhaifu wetu sisi mangosha, imebidi...
  14. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Konyagi zenye fleva ndani zinauzwa wapi?

    Hivi kuna mtu ambaye amefanikiwa kuonja ladha ya hizi konyagi mpya ambazo zimejaa kwenye mabango barabarani? Maana ni muda mrefu naenda maeneo ila kila nikiagiza haiji yenye ndimu ndani? Hebu tupeane muongozo wadau wapi inapatikana ili nikaonje ladha mpya.
  15. Apollo one spaceship

    JamiiForums Tanzania Napataje Konyagi kutoka kiwandani?

    Napataje Konyagi kutoka kiwandani? Nipo DSM, mwenye namba za hawa jamaa. Sitaki agent
  16. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Mimi natumia K vant na Konyagi Nina uzoefu- Dkt Musukuma ajilipua Bungeni

    Mimi natumia K vant na Konyagi Nina uzoefu- DKT. Musukuma ajilipua akichangia hoja Bungeni baada ya kuona pombe. Wabunge waangua kicheko aka waambia wasicheke hata humo Bungeni ni wengi wanatumia. Amesema sio Dhambi pia kafanya utafiti kua maprofesa na madaktari wengi ni watumiaji baada ya...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited yazindua Konyagi aina ya Konyagi Fusion

    Na Mwandishi Wetu. KAMPUNI ya Tanzania Distilleries Limited, ambao ni waanzilishi wa kinywaji cha Konyagi, leo inazindua aina mbili mpya za Konyagi ikiwa ni mwendelezo wa chapa hiyo zinazoitwa Konyagi Fusion. Konyagi Fusion zimekuja katika ladha mbili tofauti ikiwemo Konyagi Fusion ya ladha...
  18. kyagata

    JamiiForums Tanzania Nimekuja Arusha, nimeshangaa kukuta wanawake wanapiga konyagi na K-Vant

    Wakuu, Sijui ni stress za maisha au ni nini? Toka nimefika Arusha, kila bar ninayoenda naona wanawake pombe yao kubwa ni konyagi na K-Vant. What is wrong with these beautiful ladies?
  19. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Kala makande na konyagi anaanza kusumbua watu usiku

    Kuna vitu vinachekesha sana usiku wa kuamkia Leo nimekuja kugongewa na jirani yangu mlango akidai Kuna shida nyumbani kwake, kaka yake anatapika mfululizo. Ikabidi chap chap niamke kwenda nyumbani kwake mida ya saa namkuta jamaa nje katapika makande yaani punje nzima nzima nahisi ata alikua...
  20. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Picha ya Freeman Mbowe akiwa na Tundu Lissu ina chupa ya Konyagi

    Kumekuwepo na picha inayozunguka mitandaoni ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akizungumza na Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa chama hicho huku mandhari ya nyuma ya picha hiyo yakiwa na picha yenye chupa ya konyagi. Picha inayodaiwa kuwa na chupa ya Konyagi Ukweli wa picha hii...
Back
Top Bottom