nimekuja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nexltshahda

    JamiiForums Tanzania Jamani mwenzenu nimekuja

    Habari zenu ndugu,,,, wakubwa shkamooni!!!!!! Mim mtanzania mwenzenu naombeni ukaribisho wenu nimeamua kujiunga na jamiiforums.
  2. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Songwe nipo kwenu toka Jumatano nimekuja kubalizi kidogo na majini wenzangu 😂😂 karibuni mnaotaka kuonana na mimi

    Wakazi wa Songwe nipo kwenu toka Jumatano nimekuja kubalizi kidogo na majini wenzangu 😂😂 karibuni mnaotaka kuonana na mimi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimekuwa addicted na tadalafi (Viagra) kwa muda mrefu

    Habar wakuu mim nimwanume umri miaka39 baada yakuhangaika sana na tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu takribani miaka 9 bila kupata ufumbuzi.mwaka2023 nilibahatika kukutana na professor mmoja wa urology baada nae pia kunifanyia vipimo nakugundua Sina tatizo lolote Zaid ya tatizo la hormones...
  4. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Nimekuja kwenu kuomba ushauri wa kilimo Cha maharage chenye Tija (faida)

    Kabla ya yote ni kiri wazi kuwa Elimu Haina mwisho na hata maarifa pia. Nakuja kwenu ninyi wabobevu wa kilimo Cha maharage kuomba njia Bora ya kilimo hiki. Ukizingatia mbegu, upandaji, Mbolea na madawa hata booster ni zipi nzuri? Kwenye mbegu ni mbegu Gani (zipo mbegu za hybrid kama za...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Wengine wanaandika naongea kwa kufoka foka nitachukiwa, nani kawaambia nimekuja kupendwa?

    Dongo la Mwigulu siku ya leo 😂 😂 😂 😂
  6. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania WALE WENYE NYUMBA NYINGI NIMEKUJA NA Solution

    WALE WENYE NYUMBA NYINGI NIMEKUJA NA Solution fanya hivi 1. Kama bebe 😍 wako anapenda kukagua simu na ww huwezi kuwa na mtu mmoja ushazoea kutangatanga 2. Piga hii code *33*0000# hii code inaitwa code ya call bairing ukipiga hiyo itazuia message na calls zozote kuingia kweny lain yako...
  7. SweetyCandy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuja Kujua Hili

    Wanaume ambao ni malaya wanaosumbua wanawake zao ni wanavibamia . 1. Huwapiga wake zao 2. Huwa wanavurugu sana 3. Huwa wanajiona wanajua 4. Wanawake wengi mno kila mtu yeye . 5. Huwa hawana amani hawajiamini na hawajipendi yaani afya zao haziridhishi. WAnaoa sana kama ni waislam . Jipya hakuna
  8. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Nimekuja kugundua kuwa katika free time Mzungu anaisaka ADVENTURE huku Mwafrika anaisaka PLEASURE🤣

    MZUNGU NA ADVENTURE: HAYA SASA MUAFRIKA KATIKA KUISAKA PLEASURE: ALL IN ALL MAISHA YAENDELEE
  9. Stroke

    JamiiForums Tanzania Nimeichukia sana Dar

    Dar nilipaona pazuri sana. Ila baada ya kuhamia huku mkoani aisee nimetokea kupachukia sana dar. Dar unakuwa na hela ila matumizi mengi na ya ajabu. Vurugu nyingi. Mfano mimi kulala dar ilikuwa nalala kila siku saa sita usiku naamka saa kumi na moja. Huku mkoani, saa mbili tu wote tunaota...
  10. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Wajua kuwa wimbo wa MB DOG "Mapenzi Kitu Gani" Ubeti wa kwanza ulikuwa unasifia na kutoa shukrani kwa Radio na Sio mapenzi kama wengi wadhaniavo

    Kama ulibahatika kuwa Kijana au kuwa na umri wa utambuzi miaka hiyo Utakumbuka Zaidi Nyimbo Mojawapo iliyokuwa Gumzo miaka hiyo ni Mapenzi kitu gani ya MB DOG.. sasa leo Nataka kukuletea Story kidogo kuhusu Nyimbo hiyo kuwa Nyimbo hyo kwa 90% haikuzungumzia Mapenzi bali ilitoa Sifa na Shukrani...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bernard Morrison: Nimekuja Bongo kujitafuta sio kupata Hela – Muhimu ni kuibakisha KenGold

    Hiki Kiswahili cha BM3 🫰🏽 Mchezaji nyota Bernard Morrison kwenye mahojiano na Azam TV asema amekuja Bongo kujitafuta sio kupata hela, kwani ametoka kupona majeraha sio rahisi kurudi moja kwa moja kwenye timu zenye presha (kubwa) – Muhimu ni kuipambania KenGold kuibakisha Ligi Kuu ya NBC.
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Twaha Mpembenwe: Nimekuja Kutatua Kero na Kutimiza Ahadi

    Mbunge wa Jimbo la Kibiti Mkoa wa Pwani, Mhe. Twaha Mpembenwe ameongozana na Diwani wa Kata ya Kibiti, Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kibiti na Sekretarieti ya CCM kufanya mkutano na kutatua changamoto za Wananchi wa Kata ya Kibiti. "Nilifanya Ziara ya Kusikiliza Kero na Changamoto za Wananchi...
  13. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Wakati tunasoma naye Chuo alikuwa na akili, lakini sasa nimekuja kutana naye.... Inasikitisha.

    Wakati tunaanza chuo mwaka 2002 the guy alikuwa smart mpaka tunamaliza 2005. Nlikuwa naona ni moja ya watu ambao watakuja kufanya makubwa sana nchini. Nimekuja kutana naye mwaka jana...kwanza nlishtuka. Amevaa tshirt ya chama na kofia. Nikamuuliza xxxx ni wewe au naota. Akaniambia ni mimi xxxx...
  14. Magical power

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina umri wa miaka 35 mama wa watoto 3, niko kwenye ndoa kwa miaka miwili, mume wangu bado hajawahi kuninunulia zawadi hata siku ya birthday yangu

    Habari kaka Magical power Samahani sana nimekuja kwako nahitaji Msaada. Mimi mpaka hapa nilipo nina umri wa miaka 35 mama wa watoto 3, niko kwenye ndoa kwa miaka miwili, mume wangu bado hajawahi kuninunulia zawadi hata siku ya birthday yangu.ila Nina mpenzi wangu wa muda mrefu tunapendana Kwa...
  15. Bi zandile

    JamiiForums Tanzania Leo nimejiunga rasmi jamiiforums

    Habari zenu gentlemen & ladies, ikiwa unafurahia kupokea wageni wapya hapa jamiiforums basi naomba unikaribishe kwa kunipa like na nasaha zako, nimekuja kuongeza maarifa hapa.
  16. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuja kujua kuna namna elimu ni chanzo cha umasikini

    Wadau mambo ni gani aseee? Nimehitimu chuo mwaka 2020, BSC education chemistry and biology from SUA. Historia ya safari yangu katika elimu from primary mpka chuo ipo hivi... Kwanza nianze kwa kusema kitu kimoja, usifikirie kwamba nimekuja kujigamba au kujionesha hapana nasema ukweli ili...
  17. Muuza madafu wa Ikulu

    JamiiForums Tanzania Muuza madafu Ikulu nimekuja kujibu maswali yenu

    Kumekuwa na mjadala mkubwa kama yule ni mimi au sio Mimi. Nimekuja mbele Yenu wa JF ili nijibu hoja na maswali yenu. Ila yule sio mimi. Karibuni kwa maswali.
  18. Zee la madawa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuja kugundua kumbe mwanamke niliyefanya nae mapenzi jana kumbe ni muathirika wa virusi vya ukimwi( V.V.U)

    Huu upwiru utakuja kutuua jamani aisee tunapaswa kuwa na tahadhari wakati huu wa ujana wadau ama kweli ujana ni kaa la moto wakuu ukiuvhezea vibaya utakuja kujuta uzeeni kiukweli yaliyonikuta jana ni habari nyingine wakuu mniombeea Jana maeneo fulani ya Binyampola hapa Kahama nilienda zangu...
  19. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania wazee wa kubashiri nimekuja. na katib yenu.

    kabla hamjaaza kucheza na kuchezewa tembelea hapo.
  20. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania wazee wa kubashiri nimekuja. na katib yenu.

    kabla hamjaaza kucheza na kuchezewa tembelea hapo.
Back
Top Bottom