Serikali kupitia Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) imeanzisha mfumo mpya wa Multi-Biometric Identification System (MBIS) ambao sasa unaruhusu waombaji kupata Cheti cha Police Clearance (Certificate of Good Conduct) ndani ya saa 24, badala ya kusubiri hadi wiki mbili kama ilivyokuwa awali.
Mfumo...
Mamlaka ya Kudhibiti Nishati na Petroli nchini Kenya (EPRA) imetangaza kupunguza bei ya dizeli kwa Shilingi za Kenya 10.06 kwa lita baada ya shinikizo kutoka kwa waendeshaji wa sekta ya usafiri waliopinga ongezeko kubwa la bei ya mafuta.
Katika mapitio mapya yaliyotangazwa Jumatatu jioni, bei...
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetangaza kupunguza tozo ya Uendelezaji wa Miundombinu Mipya ya Bandari (PID) kutoka asilimia tisa hadi asilimia 4.5 ya kodi ya forodha.
Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa TPA, Dk. George Fasha, amesema uamuzi huo unalenga kuongeza ushindani wa...
Serikali ya Namibia kupitia Waziri wa Nishati na Madini, Modestus Amutse wamepunguza kodi ya Mafuta kwa asilimia 50 ili Makampuni yasipandishe bei ambapo itaumiza Wananchi, Amutse ametoa tangazo hilo tangu Machi 27 ambapo unafuu wa Kodi utadumu kwa miezi mitatu wakati ambao wanasikilizia hali ya...
Serikali imepunguza 50% ya Nauli za Mabasi pamoja na kufuta Nauli za Usafiri wa Treni za Umma kwa lengo la kuwapunguzia Wananchi gharama za Maisha hasa katika Msimu wa Sikukuu za Mwisho wa Mwaka.
Taarifa ya Serikali, imeeleza kuwa Rais Bola Tinubu ameagiza Mabadiliko hayo yaanze leo Desemba 21...
Tanzania Breweries Limited (TBL) has significantly decreased production of Konyagi, one of the most popular spirits in the country, following a sharp decline in demand due to the ploriferation of illicit alcohol.
According to government data, Konyagi output plunged from 33.287 million litres in...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imepunguza kodi katika vitenge vinavyoingizwa nchini ili kutoa unafuu kwa wafanyabiashara.
Mkurugenzi wa Elimu kwa Mlipakodi na Mawasiliano kutoka TRA, Richard Kayombo alisema hayo wakati Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe alipotembelea mamlaka...
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imepunguza tozo mbalimbali ambazo zimekuwa zikitumika kwa lengo la kuvutia wateja zaidi katika kipindi hiki chenye ushindani mkubwa wa kibiashara.
Ofisa Mkuu wa Utafiti na Masokowa TPA, Esaya Masanja amesema hayo alipokuwa akiainisha maeneo ambayo...
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu iliahidi kumuinua mwananchi kiuchumi na sasa imekuja na punguza ya riba ya mikopo ya mtu binafsi
Benki Kuu ya Tanzania imetangaza kushusha riba ya mikopo binafsi kutoka asilimia kati ya 11 na 13 hadi asilimia 9.
Hatua hii inafuatia...
Kampuni mama ya Facebook imetangaza uamuzi huo leo kwa maelezo kuwa inalazimika kuondoa 13% ya wafanyakazi wake ili kubana matumizi.
Mkurugenzi Mtendaji Mark Zuckerberg amesema katika robo ya 3 ya mwaka mapato yameshuka kwa 46% sawa na Tsh. Trilioni 13.
Wafanyakazi walioathiriwa watalipwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.