Nimekuja Arusha, nimeshangaa kukuta wanawake wanapiga konyagi na K-Vant

Wakuu,sijui ni stress za maisha au ni nini?
Toka nimefika arusha,kila bar ninayoenda naona wanawake pombe yao kubwa ni konyagi na k vant.
What is wrong with these beautiful ladies?
Machaliii! Ila ata ZileTekila ni zaidi ya KVANT na Hennessy pia na ata Dar madada wanazipiga bila tatizo! Kuna wengine Caste Light wanamaliza crate na awalewi😂
 
Back
Top Bottom