Nimefikia uamuzi huo baada ya kufuatlia na kuona vijana wengi wakiumwa ugonjwa wa figo.. ninao wajua na maarufu tunaowajua wengi...
Pia nitajitahidi sana unywaji wa beer🍻 kwa kiwango na mara chache.
Jamii inaangamia tuchukue tahadhali kwa wakati.
Mwenyezi awaongoze nanyi wenzangu wengineo...
Naomba radhi kwasababu kuna mechi zilishapita kabla sijaweka muongozo huu.
Muongozo ni huu: Arsenal ata tinga kwenda fainali za mabingwa wa ulaya
Bayern Munich atatinga pia kwenda fainali za mabingwa haonwa ulaya
Timu hizi mbili zitakutana katika Fainali, lakini sorry sana kwa Arsenal kwani...
Mimi mdau mkubwa wa hii kitu lakini ni zaidi ya wiki mbili sasa sio kwenye bar wala kiosk haipatikani inakuaje kitu Ina demand kubwa alafu ghafla usambazaji hakuna tena.
Yaani madogo kabisa walikua wanaenda shule wananisalimia brother Sasa nikasafiri kurudi najuta madogo wamezeeka ghafla eti kisa kuvuta bangi na pombe Kali aisee hii nashindwa kuelewa yaani nimepiga nao picha
Mimi naonekana dogo wenyewe kama wazee halafu miaka Yao 17 mwisho 25 lakini...
Wakuu miezi kadhaa iliyopita nilitoa uzi wa kuzungumzia hii biashala ya pombe kali lakini changamoto ilikuwa capital.
Nikaomba kama kuna MTU anaweza tukaungana tukatengeneza kitu kikubwa lakini bado hakutokea.
Leo nimewaletea sample kuwaonesha hatua niliyofikia hivyo tayari nina jina, lable...
Kuna wakati tuliona wazee ndio wanaozifata hizi pombe za kienyeji
Utaita gongo, chang'aa , etc
Ukata?
Ulevi usio na mipaka?
Trend?
Msongo?
What happened?
Habari wakuu!
Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wanaokunywa pombe kali. Wengi hudhani ni fasheni, njia ya kujiburudisha au kuondoa stress. Lakini ukweli ni kwamba pombe kali ina madhara makubwa kwa afya na maisha ya kijamii, hasa kwa vijana ambao bado wapo kwenye hatua ya kujenga maisha...
Jamani ndugu zangu wana jf nimekuwa nikijaribu kufuatilia biashara ya vileo al maarufu pombe Kali naona katika industry ya biashara inawapatia sana watu faida.
Mwenye ujuzi anisaidie maswali haya
1.Je kabla ya kufanya biashara hii ni taratib Gani zinatakiwa kufuatwa ?
2. Je mtaji kima Cha...
Tukisema afrika bado tunaitaji No reform No election mnaleta matamasha ya raisi.Haya waziri wajafo,mchengerwa na mwiguru uchumi mtauweza.
https://www.youtube.com/shorts/zorydKgciQY?app=desktop
Si unakumbuka zilipigwa marufuku Toka 2017 na ikapelekea MPAka mfanyabiashara wa dodoma kujiua sasa wajanja hawakujiua walificha stock na siku hizi wanazitoa zinauzwa kinyemela wanauziwa bei rahisi hasa wakina mama wanaouza gongo wateja wanaambiwa tu hizi spirit ni konyagi au smart.
Pamoja na...
Pombe kali zinazotengenezwa yani kemikali yake inatumika kwenye matumizi tofauti japo serikali inapata faida kupitia kodi.
Kemikali hiyo inatumika kwenye sabuni zote,madawa mbalimbali na n.k.
Watumiaji wanaotumia kemikali hii wamekuwa matajiri wakiwadanganya kinywaji asilia wakati hakina...
Hivi karibuni kumeshuhudiwa kuongezeka kwa matumizi makubwa ya pombe kali, hususa kwa vijana kati ya miaka 15 mpk 30, kubeti, uvutaji bangi, mirungi, movi za hovyo, miziki ya hovyo n.k, kama taifa tutegemee nini haswa?
Vijana wengi sahivi hawataki kazi wala hawana nguvu za kufanya kazi, ni...
Wakuu Natumai mko salama na mnaendelea vyema.
Mimi ni kijana mwenye ndoto kubwa na maono makubwa ya kujiajiri na kuleta mabadiliko katika sekta ya utengenezaji wa pombe kali. Ninapenda sana fani hii, na kwa miaka kadhaa nimejifunza na kupata uzoefu wa hali ya juu katika kutengeneza pombe kali...
Nazungumzia pombe Kali kama; K-vant,konyagi, grants, smin off, jack Daniels nk nk.
Nauliza Kuna mlevi Mmoja hapa Jf alishawahi kujaribu hii challenge??, na Nini kilitokea??, Natamani kujua hili......tchao!!!
Katika kila kijiji, mitaa na miji ya Tanzania, kuna kilio kinachoumiza mioyo ya wengi, lakini hakuna anayekisikia. Ni kilio cha wazazi waliokatishwa tamaa, wakiona vijana wao wakiteketea katika wimbi la pombe kali zinazouzwa kiholela. Vijana waliopaswa kuwa nguvu kazi ya taifa, faraja ya wazazi...
Lengo la kuondowa pombe za kwenye vifungshio vya plastiki kama zed,double punch na konyaji lilikuwa nini na mkaleta master,na vingine vikali lengi nini?
Kiukweli hii Hali iliopo Sasa kwenye taifa hili n baya sana.
Taifa linakosa nguvu kazi hivihivi tumekuwa tukihitaji vibarua wa mashambani Cha ajabu vijana wa kiume huwapati wanapatikana wamama na wazee huku vijana wakishinda wanakula mirungu na pombe za buku wakipoza na korokoro la mchina...
Wasaalam!!!!
Nakaa na kutafakari kwa kina, kwa mnywa pombe haswa vijana na wengineo hata watu wazima, chukulia hizi pombe kali...
Hivi umeshawahi kutafakari kua wewe unaingia kwa bashasha sehem ya burudani ama wapi unaagiza kwa bashasha na umwamba mwingi pombe kali na unachaganya na soda sjui...
Habari zenu ndugu zangu,
Nimekuwa nikipambana na tatizo la kunywa pombe kupita kiasi kwa muda mrefu. Nilianza kama njia ya kupumzisha akili, lakini sasa imekuwa janga kubwa.
Nimepoteza kazi yangu, mahusiano yangu na familia yameharibika, na afya yangu imekuwa mbaya. Ninajisikia hatia sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.