Search results

  1. kookolikoo

    Rais Samia: TAKUKURU wamefuta kesi za kubambikizia 147, Polisi na nyie jitazameni

    Hii ni baada ya kutakiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa kesi za kubambika. ==== Rais Samia Suluhu: Kwenye suala la wingi wa mahabusu, labda niseme kwamba jana nikiapisha majaji nililigusia hili, uharakishwaji wa kesi na nimezitaka taasisi zote ikiwemo jeshi la polisi ambalo...
  2. kookolikoo

    De Carny Capital kuwekeza kwenye Hati Fungani Tanzania

    As investors look at safe bets during the pandemic, nothing could be more attractive than government bonds. But is Tanzania the right place to do this? De Carnys Capital LTD CEO, Jim Coleman joins CNBC Africa for more. De Carnys Capital announces Tanzanian loan note - CNBC Africa
  3. kookolikoo

    Rais Magufuli ampongeza RC Mbeya kwa kuchapa viboko wanafunzi. Awafukuza shule wanafunzi na kuvunja Bodi ya shule

    Anasema ile sheria inayozuia mtu asiye mwalimu mkuu kuadhibu wanafunzi kwa viboko imekosewa. Rais Magufuli amesema haya... Nilikuwa nazungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, nikamwambia ulitakiwa uwatandike viboko kwelikweli na uwafukuze shule, na natangaza hapa kuwa wale wanafunzi wote...
  4. kookolikoo

    Sita wafa kwa mlipuko Nigeria

    ni kwenye chuo kimoja huko kano. source mwananchi breaking news. **************************************************** Taarifa Zaidi
  5. kookolikoo

    Lukuvi ndani ya Kumekucha ITV

    Anazungumzia mchakato wa katiba mpya. Hana hakika kama itapatikana kwa wakati.
  6. kookolikoo

    ITV kutokuwa hewani kwa muda usiojulikana!

    Hii ni kwa mujibu wa tangazo lao wenyewe kabla ya kusitisha matangazo yao saa nane mchana hivi kwa walichoeleza ni matengenezo.
  7. kookolikoo

    ACT ndani ya Star TV hivi sasa

    Viongozi wa muda wa ACT Mkoani Mwanza wanahojiwa na Star TV kwenye kipindi cha medani za siasa. Mtangazaji ni Yvonne Kamuntu. Wanasema hadi sasa wana wanachama mikoa 18 ya Tanzania bara ambao wanakidhamini ili wapate usajili wa kudumu.
  8. kookolikoo

    Diwani wa CCM aiba mabati

    Ni Diwani wa kata ya Chigunga Hoja Mkalyamu. Ni mabati 14 yalitolewa na mbunge wa Busanda Lolencia Bukwimba. Ameamriwa kuyarudisha ndani ya siku 14 baada ya kukiri kosa hilo. source: Tanzania Daima.
  9. kookolikoo

    Mbunge Pauline Gekul ashambuliwa kikao cha madiwani Babati

    Ni baada ya kukataa kurudisha kabrasha linalodaiwa kuwa na majina feki ya walipwa fidia kwenye shamba la katani lillorudishwa toka kwa mwekezaji. Anadai kachaniwa blauzi na kupoteza Tshs 5,000.000/=. Kafungua jalada polisi. Source: Wapo Radio.
  10. kookolikoo

    TBC wasitisha matangazo LIVE bungeni

    Hawako hewani si redio wala luninga. Hakuna sababu yoyote iliyotolewa zaidi ya mtangazaji wa zamu kusema anasikitika hakutakuwa na matangazo toka bungeni hadi tutakapoarifiwa tena.
  11. kookolikoo

    Naibu Waziri Mkuu Uganda Eriya Kategaya afariki dunia

    kuzikwa alhamisi wiki hii.
  12. kookolikoo

    Naibu Waziri Mkuu Uganda Eriya Kategaya afariki dunia

    kuzikwa alhamisi. wananchi kuuaga mwili jumatano uwanja wa ndege kololo.
  13. kookolikoo

    Dr. Ndalichako ndani ya tbc

    anahojiwa na marini hassan, anasema wamebadilisha system ili makosa kama yaliyotokea kwenye Islamic Knowledge yasikirudie.
  14. kookolikoo

    Dk. Hoseah kuhojiwa Live Channel Ten leo Saa 2.30 usiku

    Ni kwenye kipindi cha Jenereli on Monday.
  15. kookolikoo

    Dk. Hoseah Kuzungumza na Channel Ten Kesho Saa 12.30 hadi 1.30 Asubuhi

    Wana JF Tumsikilize atakachoongea. Kutakuwa na fursa ya kumuuliza maswali live! Updates: Ameanza na hivi anaeleza kulikuwa kuna kesi 257 mwaka 2011/2012 na wakaokoa zaidi ya bilioni 9.
  16. kookolikoo

    NEWS ALERT: Mwakalebela Kupandishwa tena Kizimbani.

    Ni baada ya rufaa yake kutupiliwa mbali na mahakama kuu Iringa leo hii. kwenye rufaa hiyo namba 13/2010 wakili wa Makalebela alikuwa akidai kuwa hati ya mashtaka haitengenezi kosa la jinai. hii ni kwenye rufaa aliyokata kupinga kushtakiwa kwake na takukuru
  17. kookolikoo

    Oxford University Press yakiri kuhonga maafisa wa serikali Tanzania

    Ni katika mradi wa benki ya dunia wa kusambaza vitabu vya kiada nchini. Chanzo: BBC Focus on Africa
  18. kookolikoo

    NEWS ALERT: Mahakama kuu kitengo cha kazi yakionya Chama cha Madaktari.

    yamtaka rais wake kutangaza kupitia vyombo vya habari kuheshimu amri iliyotolewa na mahakama hiyo ijumaa iliyopita. CHANZO: TBC 1
  19. kookolikoo

    Filikunjombe Asema kilichorudishwa na BAE ni chenji ya Rushwa

    alikuwa akiomba mwongozo wa spika baada ya kumalizika kwa makadirio ya bajeti ofisi ya Waziri Mkuu. anasema kuiita chenji ya rada si sahihi.
  20. kookolikoo

    LIVE: Bulaya, Nassari na Mkosamali TBC1

    Wanahojiwa Jambo Tanzania kama wabunge vijana.
Back
Top Bottom