Filikunjombe Asema kilichorudishwa na BAE ni chenji ya Rushwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Filikunjombe Asema kilichorudishwa na BAE ni chenji ya Rushwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kookolikoo, Jun 25, 2012.

 1. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  alikuwa akiomba mwongozo wa spika baada ya kumalizika kwa makadirio ya bajeti ofisi ya Waziri Mkuu. anasema kuiita chenji ya rada si sahihi.
   
 2. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Mwizi wao yupo mlemle mjengoni!mzee w vijisenti,anakula bata tu, na kugonga wenye vibajaji kitaa,anatamba na kupewa vyeo ndani na nje ya chama.
   
 3. w

  why JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 203
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahahahahahaha
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mtemi chenge .....aliliambia bunge anajulikana kama mtemi chenge ( mtemi wa wasukuma)
   
 5. k

  kitero JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Spika kakataamuongozo wake kasema bado mapema.Nadhani spika hakutarajia swali kama lile lingeulizwa na mtu wa CCM.Keshazoea maswali kama yale yanaulizwa na upinzani.
   
 6. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 737
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Heri mim sijasema
   
 7. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  naunga mkono hoja ni chenji ya rushwa ya rada na sio chenji ya rada
   
 8. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,840
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Usukumani hakujawahi kutokea mtemi chenge.Huyu mwizi anajaribu kukimbilia kwenye koo za kichief lakini baba yake wala yeye hajawahi.Safari yake imefika, bunge la safari hii atajuta kulifahamu.Kwanza pesa ile wameanza kutumia bila idhini ya bunge je!! kulikuwa na dharura gani kusubiri baraka za bunge???
   
 9. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,797
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  Sio mtemi wa wasukuma tuu wa watanzania wote kama aliiba pesa ya radar na hakufanywa kitu, kagonga watu kaua kalipa 700,000 tu sio mtemi ni nani huyu??
   
 10. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  ah!ah!ah!anatamba kabisa,ila mandumba yake makali maana watu huwa tunalisahau nikiwemo na mimi sijuo huwa linalogea wapi?limeloga mpaka wananchi wake hawambiwi hawasikii khs ili gamba litakua linaonana hana kwa hana na lusifa
   
 11. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  miongoni mwa watu waliomwezesha kuupata uspika ni mtuhumiwa wa rada ambaye ni mzee wa vijisenti.
   
 12. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Namuunga mkono, hiyo ni chenji ya rushwa. Na wahusika wanaendelea kupeta tu, na wengine wanaongoza kamati nyeti za bunge.
   
 13. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #13
  Jun 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  wakati ule alitajwa ndiye aliyeweka unga mweupe kwenye meza ya Mwakyembe bungeni na kamera za STAR TV zilimnyaka.
   
 14. B

  Baniani Mzuri Senior Member

  #14
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 166
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Aliyesema ubinaadamu kazi hakukosea... Chenge anapeta tu kitaaa hana muda sie binadamu sidhani kama tutamwangalia mara 2 2015
   
 15. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #15
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  sasa ni mtemi andrew chenge!
   
 16. m

  makelemo JF-Expert Member

  #16
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 212
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtemi wa Wasukuma gani? yule ni mtemi wa wanyanyatunzu siyo wasukuma, watemi ni watu waadilifu na ni mfano wa kuigwa jamii, kama Chenge ni mtemi wa wasukumua, na ikakubalika hivyo hakika tunaelekea motoni
   
 17. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #17
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280

  Huyu Chenge ndiye amepewa Wenyekiti wa Kamati ya Fedha na Uchumi iliyokuwa ikiongozwa na Abdulla Kigoda. Kwa hiyo amewekwa mahali ambapo hakuna mtu ataweza kumhoji tena.

  Magamba bwana!!!!!!!!!!!
   
 18. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #18
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,699
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Safiiiiiii sana kijana.
   
Loading...