LIVE: Bulaya, Nassari na Mkosamali TBC1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

LIVE: Bulaya, Nassari na Mkosamali TBC1

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kookolikoo, Jun 21, 2012.

 1. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Wanahojiwa Jambo Tanzania kama wabunge vijana.
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  endelea kutujuza au ndiyo umemaliza..
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Tupe update mkuu wengine tushaingia kibaruani!
   
 4. M

  Matobolwa Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika kippindi cha jambo Tanzania wabunge watatu Joshua Nasari, Mkosamali na Esta Bulaya.

  Esta Bulaya adai kukuwa kwa demokrasia tanzania waka ti mwezi may kuliendeshwa interview ya JKT ktk Mkoa wa SINGIDA.

  Swali lililoulizwa kwa vijana wetu waliomaliza kidato cha sita ni hili, je ni mbuge gani ktk bunge la Tanzania ambae anakuvutia akiwa anachangia mada bungeni?.

  Na wote waliotaja vijana wa upinzani wale machachari walipigwa chini na walioshitkia swali lile wakamtaja MCHEMBAMGURU walifauru interview, je hii ndiyo demokrasia anayoisema Esta Bulaya imekuwa Tanzania?

  Wanajamiiforum tumsaidieni huyu binti huenda hajui maana ya demokrasia.
   
 5. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,354
  Trophy Points: 280
  bulaya anamiss disco tangu awe mbunge....mtoto yupo shallow.
   
Loading...