Sita wafa kwa mlipuko Nigeria

kookolikoo

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
2,750
594
ni kwenye chuo kimoja huko kano. source mwananchi breaking news.


****************************************************

Taarifa Zaidi

Mlipuaji wa kujitoa mhanga ameua watu wasiopungua sita katika chuo kikuu kimoja katika mji wa Kano kaskazini mwa Nigeria. Watu wengine kadhaa wamejeruhiwa.

Mlipuko huo umetokea wakati makundi makubwa ya wanafunzi wamekusanyika kutazama matokeo yao kwenye ubao wa matangazo. Watu walioshuhudia wamesema wameona miili ya watu imetapakaa.

Hili ni shambulio la tano mjini Kano tangu siku ya Jumapili. Takriban mashambulio matatu yamefanywa na walipuaji wa kujitoa mhanga wa kike.

Waandishi wa habari wanasema huenda kundi la Boko Haram linahusika na mashambulio hayo.
 
SITA WAUAWA KATIKA SHAMBULIO LA KUJITOA MHANGA NIGERIA
Mlipuaji wa kujitoa mhanga ameua watu wasiopungua sita katika chuo kikuu kimoja katika mji wa Kano kaskazini mwa Nigeria. Watu wengine kadhaa wamejeruhiwa. Mlipuko huo umetokea wakati makundi makubwa ya wanafunzi wamekusanyika kutazama matokeo yao kwenye ubao wa matangazo. Watu walioshuhudia wamesema wameona miili ya watu imetapakaa. Hili ni shambulio la tano mjini Kano tangu siku ya Jumapili. Takriban mashambulio matatu yamefanywa na walipuaji wa kujitoa mhanga wa kike. Waandishi wa habari wanasema huenda kundi la Boko Haram linahusika na mashambulio hayo.
source:Salim Kikeke
 
Mlipuaji wa kujitoa mhanga ameua watu wasiopungua sita katika chuo kikuu kimoja katika mji wa Kano kaskazini mwa Nigeria. Watu wengine kadhaa wamejeruhiwa. Mlipuko huo umetokea wakati makundi makubwa ya wanafunzi wamekusanyika kutazama matokeo yao kwenye ubao wa matangazo. Watu walioshuhudia wamesema wameona miili ya watu imetapakaa. Hili ni shambulio la tano mjini Kano tangu siku ya Jumapili. Takriban mashambulio matatu yamefanywa na walipuaji wa kujitoa mhanga wa kike. Waandishi wa habari wanasema huenda kundi la Boko Haram linahusika na mashambulio hayo.
source:Salim Kikeke(fb page)
 
female.hijab_.jpg
Not again! Another female suicide bomber blew herself up at the administration building of Kano State Polytechnic this afternoon July 30th around 2.45 as students were checking their results in the school.

Kano State Police Command confirmed the blast, saying a female teenager blew herself up targeting prospective corps members who went to school to check their NYSC posting. They said at least two students died in the blast while 7 others were seriously injured and have been taken to the hospital.

Have you guys noticed how it's now women blowing themselves up?
 
SITA WAUAWA KATIKA SHAMBULIO
LA KUJITOA MHANGA NIGERIA
Mlipuaji wa kujitoa mhanga ameua watu wasiopungua sita katika chuo
kikuu kimoja katika mji wa Kano kaskazini mwa Nigeria. Watu wengine
kadhaa wamejeruhiwa. Mlipuko huo umetokea wakati makundi makubwa ya
wanafunzi wamekusanyika kutazama matokeo yao kwenye ubao wa matangazo.
Watu walioshuhudia wamesema wameona miili ya watu imetapakaa. Hili ni
shambulio la tano mjini Kano tangu siku ya Jumapili. Takriban
mashambulio matatu yamefanywa na walipuaji wa kujitoa mhanga wa kike.
Waandishi wa habari wanasema huenda kundi la Boko
Haram linahusika
na mashambulio hayo.
source:Salim
Kikeke

mungu awarehemu.
 
hao ndio matunda ya Mohammed

Matayo 7:15-20
Manabii Wa Uongo
[SUP]15 [/SUP]"Jihadharini na manabii wa uongo wanaowajia wakiwa wamevaa ngozi ya kondoo, kumbe ndani ni mbwa mwitu wakali. [SUP]16 [/SUP]Mtawatambua kwa matunda yao. Je, unaweza kuchuma zabibu kwenye miiba au tini kwenye michongoma? [SUP]17 [/SUP]Vivyo hivyo mti mzuri huzaa matunda mazuri na mti mbaya huzaa matunda mabaya. [SUP]18 [/SUP]Mti mzuri hauwezi kuzaa matunda mabaya na mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri. [SUP]19 [/SUP]Kila mti usiozaa matunda mazuri hukatwa katwa na kutupwa motoni. [SUP]20 [/SUP]Hivyo, mtawatambua kwa matunda yao."
 
Back
Top Bottom