Diwani wa CCM aiba mabati

Diwani wa CCM aiba mabati

kookolikoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
2,800
Reaction score
694
Ni Diwani wa kata ya Chigunga Hoja Mkalyamu. Ni mabati 14 yalitolewa na mbunge wa Busanda Lolencia Bukwimba. Ameamriwa kuyarudisha ndani ya siku 14 baada ya kukiri kosa hilo.

source: Tanzania Daima.
 
hicho ndo wana ujasiri nacho kuliko kazi zingine zozote.
 
Ni Diwani wa kata ya Chigunga Hoja Mkalyamu. Ni mabati 14 yalitolewa na mbunge wa
Busanda Lolencia Bukwimba. Ameamriwa kuyarudisha ndani ya siku 14 baada
ya kukiri kosa hilo.

source: Tanzania Daima.

arudishe?? kweni jela zimejaa tayari? afungwe tu. kweni si mtu yeye?
 
arudishe?? kweni jela zimejaa tayari? afungwe tu. kweni si mtu yeye?

hao ndio zao kuambiana rudisha ili mambo yaishe, kuna mwenzao mwingine katibu wa kata ya kibamba amewaibia akina mama wapika vitumbua hela yao ya vikoba mil 5.8 eti aliambiwa rudisha ili yaishe, hela hakuwa nayo alishamalizia kwa waganga matokeo yake wamama wamekomaa naye kwakumfungulia kesi kituo cha mbezi luis, ndio thithiem wakaona aibu ikabidi wamsimamishe kazi. wezi sana hao na pesa zao zinaishia kwa waganga, UJINGA MTUPU:clap2::clap2::clap2::A S-devil4::A S-devil4::A S-devil4::A S-devil4:
 
Back
Top Bottom