NEWS ALERT: Mwakalebela Kupandishwa tena Kizimbani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NEWS ALERT: Mwakalebela Kupandishwa tena Kizimbani.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kookolikoo, Jul 18, 2012.

 1. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ni baada ya rufaa yake kutupiliwa mbali na mahakama kuu Iringa leo hii. kwenye rufaa hiyo namba 13/2010 wakili wa Makalebela alikuwa akidai kuwa hati ya mashtaka haitengenezi kosa la jinai. hii ni kwenye rufaa
  aliyokata kupinga kushtakiwa kwake na takukuru
   
 2. Mpitagwa

  Mpitagwa JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,296
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Anakesi gani tena Mwakalebela?
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Izi habari nusu zakela
  Ivi ukiandika full details what do u loose?
  Rufaa ipi iliyotupiliwa mbali?
   
 4. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ni ile ya awali ya uchaguzi aliikatia rufaa mahakama kuu.
   
 5. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  samahani mkuu. nimeaupdate post ya awali. natumia simu.
   
 6. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Jk alishamsafishaga mbona zamani tu?
   
 7. m

  makelemo JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 212
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwakalebela ndio nani? David au Fredrick, au yule aliyevuna pesa TFF harafu akaenda Iringa kugombea ubunge?
   
 8. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ni Fredrick.
   
 9. Asa'rile

  Asa'rile JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 426
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ...Ngoja kwanza...ngoja...
  Ni Yule Full back wa Pamba FC David Mwakalebela....
  au Fredrk Mwakalebela....?
  Im not around
   
 10. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  TBC imethibitisha habari hizi.
   
Loading...