Dk. Hoseah kuhojiwa Live Channel Ten leo Saa 2.30 usiku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dk. Hoseah kuhojiwa Live Channel Ten leo Saa 2.30 usiku

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kookolikoo, Sep 10, 2012.

 1. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ni kwenye kipindi cha Jenereli on Monday.
   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Huyu kiongozi wa kuipamba rushwa!? Sintasikiliza!
   
 3. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kuna fursa ya kumuuliza maswali mind you!
   
 4. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,660
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  Hilo dudu wala haliumi,sioni hata swali la kumuuliza huyo,mengi ya majibu atakayotoa nnayajua tayari.
   
 5. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  natural justice inakataza kumhukumu mtu bila kumsikiliza!
   
 6. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  no comments huyu muzee rushwa imemshinda kabsa no strategy
   
 7. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #7
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Mh, Joka la Kibisa hewani leo!!
   
 8. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Sitapoteza muda kuangalia kipndi hiki!! Hana lolote kwa watanzania!!! Kesi zote za rushwa na wizi mkubwa wa kitakukuru awaeleze watanzania amezifanya kitu gani?
   
 9. 50thebe

  50thebe JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 1,885
  Likes Received: 266
  Trophy Points: 180
  Si aende TBC1?

  CCM inajivunia kuiharibu nchi, Tanzania pamekuwa mahali hatari sana kwa Watanzania wapenda haki...inasikitisha lakini ndio ukweli wenyewe.
   
 10. m

  maramojatu Senior Member

  #10
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  tuone!!!!
   
 11. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #11
  Sep 10, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Kama ni maswali ameshaulizwa mengi mno na mimi sioni la kumuuliza zaidi ya kushauri hiyo taasisi yake ivunjwe kwani imeshidwa kazi. Ruswa imekitiri hadi hao takukuru wanakula rushwa.
   
 12. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #12
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  at least you are objective though sceptical!
   
 13. Wild fauna

  Wild fauna JF-Expert Member

  #13
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 427
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Sina muda wa mchezo kabisa!
   
 14. Ansah Miles

  Ansah Miles JF-Expert Member

  #14
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Karibu kamanda wa vita,uko juu ni system inakuangusha
   
 15. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #15
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  well said!
   
 16. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #16
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  si mpaka wamwalike?
   
 17. K

  Kifarutz JF-Expert Member

  #17
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,694
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hii ni kwa walio na muda wa kuchezea, puumbafu
   
 18. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #18
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  utangulizi jenerali anauliza kilichobadilika toka takuru hadi takukuru.

  jibu: makosa yameongezeka toka 4 hadi 24
   
 19. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #19
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mafanikio toka 2007 hadi 2011

  ongezeko la malalamiko yanayokamilika na kufikishwa mahakamani.

  anapendekeza kuwe na mahakama maalumu ya rushwa.
   
 20. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #20
  Sep 10, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Tatizo linaonekana Ofisi ya DPP imeoza. Haiwa watu competent. Kwa hiyo kutokana na sheria inayoitaka Takukuru kuomba kibali ofisi ya DPP basi tusitegemee jipya.
   
Loading...