Mbunge Pauline Gekul ashambuliwa kikao cha madiwani Babati

kookolikoo

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
2,751
595
Ni baada ya kukataa kurudisha kabrasha linalodaiwa kuwa na majina feki ya walipwa fidia kwenye shamba la katani lillorudishwa toka kwa mwekezaji. Anadai kachaniwa blauzi na kupoteza Tshs 5,000.000/=. Kafungua jalada polisi.

Source: Wapo Radio.
 
kwanza fafanua taarifa yako, umeleta kiumbea badala ya habari
 
Anayelipwa hiyo fidia ni nani kwa ajili gani na kimetokea nini hadi hilo shamba likarudishwa na huyo muwekezaji?

Tafadhali ipe nyama habari yako
Ni
baada ya kukataa kurudisha kabrasha linalodaiwa kuwa na majina feki ya
walipwa fidia kwenye shamba la katani lillorudishwa toka kwa mwekezaji.
Anadai kachaniwa blauzi na kupoteza Tshs 5,000.000/=. Kafungua jalada polisi. Source: Wapo Radio.
 
kimsingi mkurugenzi wa halmashauri babati kakiri kutokea kwa tukio hilo japo anasema gekul alinyang'a nywa kabrasha na mwenyekiti lakini hakuibiwa pesa.
 
Gekul omba radhi CDM rudi uendelee na mapambano. Chadema itakuelewa tu ulilemewa na vipande 30 vya fedha.
 
Gekul omba radhi CDM rudi uendelee na mapambano. Chadema itakuelewa tu ulilemewa na vipande 30 vya fedha.
Nimesikia na mtulia kaomba radhi Cuf.Wakajiajiri.
Awakusikia walipoonywa.
 

Attachments

  • Screenshot_20200722_123916.jpg
    Screenshot_20200722_123916.jpg
    66.7 KB · Views: 2

Similar Discussions

Back
Top Bottom