Dk. Hoseah Kuzungumza na Channel Ten Kesho Saa 12.30 hadi 1.30 Asubuhi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dk. Hoseah Kuzungumza na Channel Ten Kesho Saa 12.30 hadi 1.30 Asubuhi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kookolikoo, Aug 15, 2012.

 1. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Wana JF Tumsikilize atakachoongea. Kutakuwa na fursa ya kumuuliza maswali live!

  Updates: Ameanza na hivi anaeleza kulikuwa kuna kesi 257 mwaka 2011/2012 na wakaokoa zaidi ya bilioni 9.
   
 2. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee baba yangu mtanipa update uku kwetu rombo tv kwa mwenyekiti wa kijiji so sito weza msumbua asubui asubui yote
   
 3. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  sawa tutafanya hivyo.
   
 4. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Huu ni muda dani naamini ni mchana na si usiku wa manane
   
 5. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Nadhani anataka kufuta tuhuma zake za ngono dhidi ya karani wake.
   
 6. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ni asubuhi mkuu. from 06.30 am to 07.30 am!
   
 7. TITAN

  TITAN JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 309
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anajipya mzinzi uyo!! anachumia tumbo.
   
 8. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #8
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  labda. tumsikilize tutajua ana nini.
   
 9. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  sidhani. labda kama zingekuwa zimetangazwa kwenye luninga
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,688
  Likes Received: 82,540
  Trophy Points: 280
  Hana jipya huyu atabwajabwaja tu kuwaacha Watanzania wakiwa wamepigwa na mshangao mkubwa. Kila atakachoulizwa ambacho Watanzania wengi wangependa akijibu kwa kina jibu lake litakuwa "Hili bado linafanyiwa uchunguzi siwezi kulizungumzia kwa sasa."
   
 11. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  tumuhukumu baada ya kumsikiliza
   
 12. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  anasema polisi na mahakama bado ni vinara wa rushwa.
   
 13. T

  Tenths Senior Member

  #13
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hakika wanafunzi wetu bado wana safar ndefu sana ya kujitambua kifikra na elimu waliyonayo ina maana gani kwao binafsi na kwa jamii kwa ujumla.
   
 14. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #14
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Rushwa bungeni wanasubiri kamati ya spika ikamilishe kazi yake ndipo wachukue hatua za kisheria.
   
 15. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #15
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  anachambua ugumu wa kutekeleza sheria ya gharama za uchaguzi.
   
Loading...