Search results

  1. Kanungila Karim

    Mzee wa upupu: Yusuf Bakhresa anaijenga na kubomoa Azam wakati mmoja

    SIKU moja baada ya kumalizika kwa msimu wa 2021/22, Yusuf Bakhresa, mmoja wa wakurugenzi wa Azam FC alitangaza vita kwenye mbio za ubingwa katika msimu unaofuata, 2022/23. Majina ya wachezaji wenye hadhi kubwa pamoja na wataalamu kwenye benchi la ufundi wakashushwa Chamazi kwa mbwembwe kubwa...
  2. Kanungila Karim

    TUONGEE KIUME: Sisi tuko hivi, wanawake wanataka tuwe vile

    Ukweli ni kwamba, hutakiwi kujichosha kuwa mwanamume anayemtaka mwanamke hatofanikiwa. Na sio wewe tu, tangu dunia hii ianze hakuna mwanaume aliyefanikiwa kwenye hilo. Wakati mwanamume anataka mwanamke ambaye labda anampenda na kumuheshimu tu, wanawake wenyewe wanataka mwanaume mwenye mwili wa...
  3. Kanungila Karim

    Picha ya Yesu wawili kutoka kwa mchoraji da Vinci

    YESU WAWILI Picha ya ukubwa wa futi 15 kwa futi 29 kwenye ukuta wa kanisa, The Last Supper ya mchoraji Leonardo da Vinci, inayoonyesha mlo wa mwisho kati ya Yesu na wanafunzi wake kabla ya kukamatwa; muda mfupi baada ya Yesu kumtamkia Yuda kuwa atamsaliti, inaweza kuwa ndiyo kazi ya sanaa...
  4. Kanungila Karim

    Hii ndio maana ya kushauri kwa Vitendo

    HII NDIO MAANA YA KUSHAURI KWA VITENDO SANT'AGATA, Bolognese ni makao makuu ya supercars aina ya Lamborghini. Maranello, Modena, ndio HQ ya Ferrari. Kutoka Sant'Agata kwenda Maranello ni umbali wa kilometa 34. Miji hiyo ipo Italia. Mwasisi wa Ferrari ni Enzo Ferrari na Lamborghini godfather...
  5. Kanungila Karim

    Nini kinachoendelea uwanja wa Mwembeyanga Temeke?

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Moja kwa moja mwenye mada husika, leo nikiwa naelekea Makumbusho nilifanikiwa kupita uwanja wa Mwembeyanga uliopo jirani na chuo cha Bandari na kushuhudia mashine zikichota mchanga mpaka sasa sijajua nini kinachoendelea pale au wanataka...
  6. Kanungila Karim

    Neno "PIMBI" lina maana gani?

    Hilo neno lina maana gani maana nalisikiaga vijiweni huko[emoji41] Sikiliza weee pimbi
  7. Kanungila Karim

    Secretary mdada anahitajika haraka

    SIFA 1. Umri usizidi miaka 30 2. Awe anajua kuzungumza lugha ya Kiswahili na Kiingereza kwa ufasaha. 3. Awe na lugha nzuri kwa wateja na wafanyakazi wenzake. 4. Ajue kutumia kompyuta, Microsoft Office 5. Location ni Makumbusho, Dar es Salaam. 6. Awe na CV Mawasiliano ni 0735093062
  8. Kanungila Karim

    Mfanyakazi wa usafi kwenye hosteli anahitajika

    Mfanyakazi wa usafi anahitajika. Atakuwa anafanya usafi kwenye hosteli Mahali: Mtoni Kwa Aziz Ally Sehemu ya kulala bure, aje na begi lake na nguo zake tu. Jinsia: KE Hakuna kigezo cha umri. Mshahara wa kuanzia ni 100k Kikubwa awe na akili timamu na mchapakazi Piga simu : 0694139204...
  9. Kanungila Karim

    Hivi neno "UNYAMA" lina maana gani?

    Habari zenu. Siku za hivi karibuni kumezuka kuwepo kwa neno"UNYAMA". Mfano mtu anamuliza Extrovert "Wee jamaa mbona hela yangu haunilipi tangu nikukope?" Extrovert anajibu "huku ni unyama unyama mwanangu" Hivi ili neno "unyama" lina maana gani?
  10. Kanungila Karim

    Machache usiyoyajua kuhusu kifurushi cha BUFEE PACK kutoka TTCL

    Juzi siku ya Ijumaa tarehe 26 Novemba 2021, kampuni pendwa ya mawasiliano ya Tanzania, TTCL ilizindua kifurushi cha BUFEE PACK ili kuendelea kutanua wigo wa mawasiliano nchini. Kuelekea msimu huu wa sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya TTCL haiwaacha nyuma wateja wake. Imezindua kifurushi kipyaa na...
  11. Kanungila Karim

    Dereva bajaji mbaroni kwa kubeba wanafunzi 17

    Mbeya. Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu wawili akiwemo mwalimu wa shule ya msingi na dereva bajaji kwa tuhuma za kuvunja sheria za usalama barabarani na kusafirisha wanafunzi 17 kwa wakati mmoja kwa kutumia bajaji. Wanafunzi hao ni kutoka shule za awali tofauti tofauti ambao...
  12. Kanungila Karim

    Je, Adolf Hitler alikuwa katili tu hakuwa na Mema ktk Maisha yake?

    ADOLF HITLER NI NANI KTK HISTORIA YA DUNIA? Wanahistoria Na Watu wengi Duniani wamekuwa wakisimulia kuhusu Maisha ya Dikteta Adolf Hitler Wa Ujerumani .Leo Ninamuelezea kwa kifupi Hitler kuwa ni nani ktk Historia ya Dunia Hii. Je ,Adolf Hitler alikuwa katili tu hakuwa na Mema ktk...
  13. Kanungila Karim

    Ngwair ft Juma Nature - Mtoto wa Jakaya(lyrics)

    Hahahaha ah vijana sasa hivi naona wanajitahidi Ari Mpya Kasi Mpya Nguvu Mpya Ehee hata mimi nimeliona hilo toka longi taim Au siyo Babu Ayubu Hilo liko wazi Jamani vijana wapewe nafasi Si ndio sisi-M Si ndio sisi-M Si ndio sisi-M Ah pisha njia Tunaingia Wote pisha njia Nasema tena kwamba si...
  14. Kanungila Karim

    Siku 100 za tofauti ya Urais na Ufalme

    JULAI 24, 1933, Rais wa 32 wa Marekani, Franklin Delano Roosevelt ‘FDR', alihutubia umma wa taifa lake na kueleza kipimo cha siku 100 tangu alipoingia madarakani. Siku 100 za FDR zilitimia Juni 11, 1933. Aliapishwa kuwa Rais, Machi 4, 1933. FDR aliingia ofisini akiikuta nchi ikiteswa na mdororo...
  15. Kanungila Karim

    Jinsi Eric Shigongo alivyojiunga Chuo Kikuu akiwa na elimu ya msingi

    Licha ya kufeli darasa la saba, mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefanikiwa kuhitimu chuo kikuu akiibuka mwanafunzi bora aliyefaulu kwa kiwango cha juu zaidi. Kabla ya kwenda chuo kikuu, anasema alijifunza lugha ya Kiingereza mtaani, kama wengine wanavyojifunza lugha ya makabila. Shigongo...
  16. Kanungila Karim

    Anaandika Dr. Levy kuhusu mabadiliko ya vifurushi

    Ushakuwa legend Naseeb... Usiishi maisha ya kisiasa ambayo yanafanya issues za kitaifa uside upande mmoja zinapojitokeza. Issue ambazo kimsingi zinaumiza watu wengi. Nigga simama, ongea, kemea, shauri, lalamika... Acha utoto wa kukaa kimya. Sehemu kubwa ya mawe unayoingiza ni kwa njia ya...
  17. Kanungila Karim

    Mchungaji azomewa kwa kuwapendelea warembo

    Kisanga kilitokea katika kanisa moja eneo la Buchinga baada ya majamaa kufokea vikali mtumishi wa Mungu kwa madai alikuwa akiwapendelea akina dada katika mahubiri yake. Mdakuzi alisema kwamba, mara kwa mara, mchungaji alikuwa akiwapendelea sana wanawake wakati akitoa mafunzo yake kanisani jambo...
  18. Kanungila Karim

    JICHO LA MWEWE: Yanga ya kweli inahitajika zaidi Kigamboni kuliko Jangwani

    Mara ya ngapi umesikia jengo la Yanga linakarabatiwa? Mara ya mwisho ilikuwa wiki iliyopita. Bosi wa timu, Mzee Mshindo Msolla aliwaita waandishi wa habari akatangaza ukarabati wa jengo hilo. Kila chumba kitagharimu shilingi milioni sita za Kitanzania. Hapo miaka ya katikati Yanga waliwahi...
  19. Kanungila Karim

    Shule ya Msingi Toangoma wilayani Temeke, yatajwa kwa ngono

    Dar es Salaam. Wingi wa wanafunzi katika shule ya msingi Toangoma wilayani Temeke jijini Dar es Salaam, umetajwa kuwa mojawapo ya sababu ya kukithiri kwa vitendo vya ngono miongoni mwa wanafunzi wa shule hiyo. Pamoja na wingi wa wanafunzi, shule hiyo haina uzio na imezungukwa na vichaka na...
Back
Top Bottom