Nini kinachoendelea uwanja wa Mwembeyanga Temeke?

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,438
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Moja kwa moja mwenye mada husika, leo nikiwa naelekea Makumbusho nilifanikiwa kupita uwanja wa Mwembeyanga uliopo jirani na chuo cha Bandari na kushuhudia mashine zikichota mchanga mpaka sasa sijajua nini kinachoendelea pale au wanataka kutengeneza nini?
 
Nilimsikia jokate anasema sijui watajenga makumbusho ya Yanga hatujajua bado maana nchi hii huwa mambo hayakamilik siku zote linaanzishwa hili halijaisha linarukiwa lingine hadi kero
 
Itaakua kuna project inakuja soon
Hata kinondoni lile eneo linalotazamana na uhuru peak wamelisafisha .....japokua ndo chimbo la wauza nyapu usiku
 
Labda mjue hapo wanajenga nini?

Maana hiyo ni open space watu wanatumia kwa michezo,mikutano,matamasha?
Labda wanapaboresha,ila I hope hapajapigwa kuuzwa ili wajenge
Kitu hapo maana kama watakuwa wamefanya hivyo haita kuwa vizuri

Ova
 
Back
Top Bottom