Search results

  1. Chief Wingia

    Wakazi wa Goba & Salasala tutakufa kwa magonjwa ya mlipuko kwa huu upuuzi kujaza na kuziba makorongo kwa takataka.

    Habari zenu wakuu. Aisee hii ni hatari sana karibia kila mtu aliyenunu kiwanja maeneo yenyewe makorongo ni mwendo wa kuziba kwa takataka kuanzia Salasala, Kinzudi, Majengo, Marobo, Mivumoni, Goba na Madale imekuwa kama fashion vile. Unakuta mtaa mzima unanuka harufu ya dampo na mainzi kama tupo...
  2. Chief Wingia

    Kamata kamata ya mkaa na wauza mkaa kwenye stoo za wauza mkaa mjini ni uonevu

    Habari zenu wanajukwaa, Aisee tokea jana pande za Goba jamaa wa maliasili wana operation kazi ya kutaifisha mkaa kwenye store za mikaa around Goba. Jana wikua makongo road na Goba center leo wapo Madale road pande za Marga. Aisee hatakama ni sheria hii ni too much jamaa wanataka vibali vya...
  3. Chief Wingia

    Kampuni ya Bajaj imetoa toleo jipya la pikipiki aina ya Boxer 125 HD

    Habari zenu wadau na wapenda bike, aisee niende moja kwa moja kwenye mada. Kampuni ya Bajaj wamekuja na toleo jipya la pikipiki aina ya Boxer 125hd isiyokuwa na paper oil filter. Tuone kama muendelezo wa uboreshaji huu utaweza kuboresha engine za boxer maana toleo hili jipya jamaa wameondoa...
  4. Chief Wingia

    Oyaa usichukulie poa poa hawa Wamaasai ni zaidi ya Wakinga kwenye kusaka mtonyo

    ➡️Habari zenu wakuu Nafahamu kwenye pitapita zako umeshawahi kukutana na hawa jamaa ➡️Ipo hivi jamaa walianzia life huko interior kazi kubwa ikiwa ufugaji yaani kuuza mifugo na mazao yatokanayo na mifugo. ➡️Life likasonga ila wazee wa mila wakasanuka ikabidi kuitisha kikao na kuwasanua...
  5. Chief Wingia

    Ipo siku tutakuja kujutia mkataba wa bandari kati ya Tanzania na DP World

    Habari zenu wakuu, niende direct kama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo juu. Bila kupepesa macho, hili suala la mkataba wa bandari kati ya Tanzania na DP World lilijawa mihemko ya kimaslahi binafsi na Kicmm sana. Yaani karibia CCM wote wanakubali mkataba bila kujali maslahi mapana ya taifa...
  6. Chief Wingia

    Boxer BM 100cc na madereva bodaboda wa kanda ya ziwa hasa Bukoba na Mwanza mjini

    Habari zenu wadau. Last week nilikuwa pande za Kagera (Bukoba) na viunga vyake pia nilipita na jijini Mwanza (Mwanza town). Nikiri kuna mengi nilijionea ila la kushangaza ni madereva wengi wa bodaboda kutumia pikipiki za Boxer BM 100cc katika harakati zao za kuingiza kipato. Tofauti kabisa na...
  7. Chief Wingia

    Chama cha Walimu Tanzania (CWT) waweke paper ya mchujo kama ya Law School ili mtu awe certified na kupata usajili

    Habari zenu wakuu, Hivi kwa jitihada za kuboresha elimu yetu hapa nchini kwanini chama cha walimu nchini wasiweke paper ya mchujo kama ya law school ili kila mwalim fresh from college ni lazma afanye paper hiyo ili aweze kuwa certified na kupata usajili kwajili ya kufundisha watoto wetu.
  8. Chief Wingia

    Kama ni mzima wa afya mshukuru Mungu, kuna watu wanateseka na maradhi

    Wasalaam ndg, Nianze kwakusema kuna binadam wanateseka na magonjwa ile mbaya analazwa hospital hadi anazoeana na kila mfanyakazi wa hospital kuanzia walinzi, wafanya usafi, manesi na madaktari. Iko hivi last month jumatatu tarehe 20 nilipata ajali maeneo ya Ngunja Mkuranga nikiwa na pikipiki...
  9. Chief Wingia

    Naomba kujuzwa tiba asili ya kuunga mifupa iliyovunjika

    Habari zenu ndugu, Naomba mwenye mawasiliano ya daktari wa tiba asili nimevunjika mkono hali ni mbaya maana ninivyosikia tiba yao ni ndani ya wiki mbili tu no operation no kuweka chuma na unakuwa fresh. Wadau wa nenda hospital sitaki kuwasikia maana nimetoka MOI na sitaki kwenda maana wanataka...
  10. Chief Wingia

    Vituko na vimbwanga kwenye vikao vya ndoa

    Habari zenu wakuu Aisee ipo hivi kuna jirani hapa mtaani ana kijana wake anatarajia kuoa mwaka huu hivyo nikapewa mwaliko wa kikao cha kwanza cha harusi ambayo ilikuwa ni weekend. Ila tokea nilipopata mwaliko nikawa nawaza why kikao kikafanyike mahala pagharama hivi wakati kuna sehemu za...
  11. Chief Wingia

    Ipi ni kinga mujarabu dhidi ya uchawi/ushirikina kwa mama wajawazito

    Habari zenu wakuu natumai muwazima wa afya. Husika na kichwa cha habari hapo juu sio suala la ajizi uchawi upo tena usiombe wamuandame mama mjamzito hakuna rangi mtaacha kuona. Kuanzia mwanzoni mwa mwaka huu wife alikua mjamzito sikumakinika saana maana ulikua ni ujauzito wake wa nne na hakuwa...
  12. Chief Wingia

    Nikiwaambia hii nchi imepigwa kipapai mnabisha!

    Habari zenu wakuu na poleni kwa tunachopitia kama taifa. Hakika kwa tunachopitia hivisasa kama sio kipapai basi ni juju kama sio juju basi ni shakizi na kama sio shakizi basi itakua tumerogwa na aliyeturoga kafa na hata kaburi lake hatujui lilipo. Nawaza tu isije kuwa ni laana ya mwendazake...
  13. Chief Wingia

    Watumiaji wa pikipiki haojue express

    Habarini wakuu. Husika na kichwa cha habari hapo juu naomba kufahamishwa kuhusu pikipiki hii; 1. Uimara wa chasis yake na body kwa ujumla 2. Upatikanaji wa spare zake
  14. Chief Wingia

    Kama chasis za pikipiki za kichina zingeboreshwa wangeuza sana

    Habari zenu wakuu natumai muwaziwa wa afya. Nikijikita kwenye mada husika ninaposema pikipiki za kichina hapa namanisha KINGLION, FEKON, SINORAY, HAOJUE n.k. Maana kwa huku mkoani hizi ndio pikipiki pendwa kwa bodaboda tofauti na jijini Dar kwenye TVS & Boxer. Hivyo basi napendekeza maboresho...
  15. Chief Wingia

    Tabia ya kusema watu ndani ya daladala au mabasi

    Habari ya majukumu wakuu. Yaani unaweza kukutana na watu nadhifu kimwonekano ukadhani umekutana na watu wastaarabu kumbe ni mijitu mijinga na mipumbavu kabisa, na upumbavu wao hudhihirika kupitia mazungumzo yao hasa yale ya kumwongelea mtu vibaya. Sikatai kila mmoja wetu anamapungufu yake...
  16. Chief Wingia

    Hakika Waislamu wana gharama na taratibu rahisi sana katika masuala ya ndoa

    Asalamu alaykum wanajukwaa pendwa la MMU natumai wote mubuheri wa afya. Awali ya yote niwape hongera za dhati Waislam kwa utaratibu mzuri kuanzia kwenye posa yaani kuchumbia, ndoa na sherehe ya ndoa. Nimeshuhudia haya kwa majirani, marafiki, jamaa na wafanyakazi wenzangu. Tukianza na...
  17. Chief Wingia

    Utaratibu wa kulazimisha mtoto wa kwanza kuanza kufunga ndoa kwanza kisha ndio wafuate wadogo zake

    Habari zenu wana MMU nawasalimu Nianze kwa kusema ndoa ni rizki, ndoa ni bahati, ndoa ni baraka sasa kuna mila na desturi za ndoa ambazo ni za kishamba katika jamii zetu ambazo bado tunazikumbatia bila maana yoyote. Ipo hivi mwanzoni mwa mwaka huu kuna rafiki yangu wa karibu alidhamiria kuaga...
  18. Chief Wingia

    Elimu bure ni siasa tu, wazazi tujitoe katika kusomesha watoto wetu

    Habari za majukumu wanaJF. Nianze tu kwa kusema hali ni mbaya katika shule zetu za serikali yaan si kwa sekondari wala msingi. Mwishoni mwa wiki juzi na wiki jana kama mzazi nilipata barua ya wito katika vikao vya kujadili maendeleo ya taaluma katika shule X & Y maana katika shule zote hizo...
  19. Chief Wingia

    Baba mkwe mtarajiwa anatembea na binti yake wa kumzaa

    Kabla ya yote busara na hekima zenu zinahitajika katika kulitatua hili. Mahusiano yao yapo katika hatua ya uchumba lakini dosari ni kuwa baba mzazi wa familia ya mtoto wa kike anavuma kwa ushirikina pia anatembea na mwanawe wa pili wa kike (19yrs) yaani mdogo wake na bibi harusi mtarajiwa...
Back
Top Bottom