Goba is a town and separate District located in the Bale Zone of the Oromia, Ethiopia approximately 446 km southeast of Addis Ababa, this city has a latitude and longitude of 7°0′N 39°59′E and an elevation of 2,743 meters above sea level.
The town is known for its Wednesday market and for honey, basketry and cotton shawl making; Bale National Park is 10 km to the southwest. A few kilometers outside of Goba are the remains of an old rock church. Goba shares Robe Airport (ICAO code HAGB, IATA GOB) with neighbouring Robe.
Ethiopian Airlines has a scheduled flight four times a week connecting Goba to the capital Addis Ababa and to the southern city Arba
Baada ya andiko la Mdau alilozungumzia Huduma ya Faiba kutoka TTCL, andiko hili hapa ~ TTCL wamepokea malipo yangu ya Faiba kisha wanasema huduma haijafika Goba - Mageti
Ufafanuzi umetolewa kutoka TTCL 👇🏼
Tunamshukuru mteja kwa kuwasilisha hoja yake na kutupa fursa ya kufuatilia suala hili...
Mimi ni mkazi wa Mbezi, barabara ya Goba (Mageti), nimelipia Huduma ya Faiba mlangoni kupitia Mtandao wa TTCL, wakati nafanya maombi kwenye mfumo wao nilionekana huduma imeshafika nilipo.
Baada ya kulipia kila nikipiga simu naambiwa huduma haijafika bado huku nilipo, sasa kama haijafika kwanini...
Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam.
Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule.
Sifa za Nyumba:
*Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji.
*Iko mita chache kutoka barabara ya Goba.
*Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
Njia nne Goba round about kwa sasa kuna askari wa usalama barabarani wa kutosha sana wanaoongoza magari kupita kwa zamu, tunawapongeza sana kwa jitihada hii ya kupambana na foleni. Hata hivyo, toka mmeanza kuruhusu magari kwa zamu imesababisha foleni kuongezeka mara dufu. Kuthibitisha hilo ni...
House For Sale at Goba.
Location: Goba Kwa Robert.
*The house is new, no one has lived in.
*It is located alongside goba road, kwa Robert.
*1.5 km away.
*Finished with PVC windows and Spanish Tiles.
*4 bedrooms all self contained plus public toilet, sitting room, dining, kitchen and store, it...
Mimi ni mkazi wa Goba Lastanza. Tunaelekea kutimiza mwezi wa pili sasa bila kupata huduma ya maji, hali ambayo imetulazimu kununua maji kutoka kwenye magari.
Tatizo hili si geni na limekuwa likijitokeza mara kwa mara. DAWASA, Serikali za Mitaa, Mbunge na uongozi wa mkoa wanafanya nini...
Mwezi Aprili, LATRA ilipotangaza nauli mpya, ilieleza kuwa safari zisizozidi kilomita 10 zitatozwa Shilingi 700, huku safari zisizozidi kilomita 20 zikitozwa Shilingi 900.
Hata hivyo, kwa takribani wiki mbili sasa, daladala za njia ya Mbezi–Goba–Kawe zimekuwa zikitoza nauli ya Shilingi 1,000...
Uongozi wa Wilaya ya Ubungo umekuwa ukitoa tahadhari kwa wananchi kuhusu uwezekano wa mvua kubwa za El Niño, lakini wakazi wa baadhi ya maeneo tunahoji hatua zinazochukuliwa kukabiliana na maeneo ambayo tayari yamekuwa na changamoto tangu mvua za El Niño za mwaka 2023.
Miongoni mwa maeneo hayo...
HOUSE FOR RENT
(stand alone)
5bedroom
price:Tsh 3.5m per month
Located at Goba lastanza
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
#houseforrent #goba #daressalaam #viral #video
Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam.
Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule.
Sifa za Nyumba:
*Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji.
*Iko mita chache kutoka barabara ya Goba.
*Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
Yule hakuwa binadamu wa kawaida aisee.... Tangu tunaanza safari kutoka Mwenge, mwili wangu wote ulikuwa unasisimka..
Mara nyingi kwenye mwili wa binadamu yoyote yule kama upo sehemu isiyo salama au upo na mtu asiye wa kawaida basi lazima mwili wako ukupe taarifa.
Ndicho kilicho tokea, ila...
Nikiwa mmoja kati ya Wakazi wa Goba, naomba kuwasilisha kilio chetu kuhusu changamoto kubwa ya usafiri wa umma inayotukabili sisi wakazi wa Goba na maeneo yanayotuzunguka.
Kwa sasa hatuna magari ya umma ya kutosha yanayotoa huduma moja kwa moja kama daladala za uhakika. Mara nyingi tunategemea...
Anonymous
Thread
daladala
gharama
gharama kubwa
goba
hizi
kituo
kituo cha daladala
kubwa
kutegemea
LODGE NZURI INAUZWA (MIL 170) GOBA NJIA PANDA YA TEGETA "A" KWA NIABA YA BANK
Ina Vyumba Tisa (9) Vyote Self Contained Na Frem Nne (4) Za Biashara
Umiliki: Mkataba Wa Mauziano
Ukubwa Wa Eneo: SQM 810
Imekamata Barabara Kuu Ya Kwenda Tegeta "A"
Umbali: 2 Kilometres Kutoka Goba Road
Maji...
Kumekuwa na kero kwa muda mrefu sasa haswa sisi tunatumia njia ya goba asubuhi ila haswa usiku.
Kuwa na foleni kubwa sana isiyotembea hata kwa masaa matatu na zaidi.
Ombi langu kwa serikali yetu kupitia tonroad wafanye mpango wa kujenga kuchora njia 3 toka around about ya goba mwembe madole...
Njia kuelekea goba kupitia Milimani then Makong imekuwa ba foleni mbaya sana, inatuumiza sana sisi wa goba haa ukizingatia njii hii inasav wakazi wa makongo, goba, madale, kimara, mbezi na sehemu zingine.
Unaweza kaa kw foleni for 3hours sehemu ya dk25 na mamlaka zipo tuu.
Ukifiatilia ni uzembe...
Tuna report shida ya maji kila siku ila ndo hivo suluhu hamna takribani miezi 6 sasa
Habari, mimi ni mkazi wa Goba, Mtaa wa River View, nahudumiwa na DAWASA Makongo lakini mtaani kwetu imekuwa ni desturi sasa maji hayatoki miezi sasa! Japo ratiba yetu ya mgao ni Alhamis na Jumatatu lakini hata...
Habari maboss
Kiwanja chenye nyumba kinauzwa
Sqm 300
Docoment serikali ya mtaa
Eneo linaangalia barabara ya kwenda mitaani ambayo inapita magari aina yote ispokuwa ya abiria na mizigo mikubwa.Kwa badae Rami itahusika.
Kutoka eneo lilipo Hadi BaraBara kuu ya kwenda Goba au Madale kutokea...
Barabara ya Tatedo iliyopo katika mtaa wa Kunguru Kata ya Goba jijini Dar es Salaam ni kama imesahaulika, kwani licha ya juhudi zilizofanywa na wakazi wa eneo hilo, tangu mwaka 2020, mpaka leo hakuna mwitikio wa Serikali.
Barabara hiyo inayoingilia karibu na nguzo za umeme unaokwenda Zanzibar...
Msimu huu wa mvua sisi wakazi wa Goba tumekutana na changamoto kubwa ya ubovu wa miundombinu.
Mtaa wa Bonde kati ya Shule ya Living Minds/Kanisa la RGC na Matosa umeharibika kabisa, magari ya shule asubuhi yanapata changamoto kupita, watembea miguu wanazama matopeni na bajaji hazipiti kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.