Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,868
- 5,107
Kabla ya yote busara na hekima zenu zinahitajika katika kulitatua hili.
Mahusiano yao yapo katika hatua ya uchumba lakini dosari ni kuwa baba mzazi wa familia ya mtoto wa kike anavuma kwa ushirikina pia anatembea na mwanawe wa pili wa kike (19yrs) yaani mdogo wake na bibi harusi mtarajiwa.
Binafsi pamoja na ndugu wa karibu wa familia ya mwanaume tumelifuatilia swala hili kwa jicho la karibu na tukabaini ukweli katika hili bila kupepesa macho tukabaini yule mzee ni fedhuli.
Hali kadhalika ndugu yetu tukamsihi alijitahidi kukaa na mwenzake meza moja na kuliongelea hili na kweli mchumbake alikiri uwepo wa hili katika familia yao na kutolea maelezo kuwa yeye alishawahi kukoswakoswa kuliwa na mzee wake ndio sababu ya kuhamia na kuishi kwa mjombake hadi leo hii.
Pia ucheleweshwaji wa majibu ya barua ya uchumba ni hila za baba yake kutofika kwenye vikao vya kusomwa kwa barua ya uchumba ya bint yake ili tu bint asiolewe.
MASWALI YA MSINGI;
1. Je, familia ya namna hii ni salama kuoa?
2. Je, kama kwa mwanawe wa kumzaa kamudu kutenda ukatili huu atashindwa kwa wajukuu zake na ukizingatia pale ni nyumbani kwa babu na bibi yao ni lazma watatembelea?