Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu wanajamvi pamoja na kuwa sisi ni wajenga hoja nzito huku vipi deni la Bodi ya Mikopo? Mbona hawajaweka kiasi watu wanachodaiwa? Asilimia 96% ya Wana Jf ninaowafahamu kwa names zao halisi...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Nilisoma gazeti la mwanahalisi la Jana na kuona jinsi Chadema ilivyojibu hoja ya Mh zitto Kuhusu Chanzo cha mazungumzo ya CHADEMA na rais JK. Licha ya kuwa ile habari imetoka kwenye gazeti kama...
0 Reactions
167 Replies
13K Views
kutokana na shutuma kali na upotoshaji uliofamyea na Waziri wa Afya Mponda katika taarifa yake juu ya Mgomo wa Madaktari naomba tujadili kati hawa nani ni daktari wa Ukweli kati ya Jakaya Kikwete...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwenye taarifa ya habari ya RADIO ONE ya saa 1 asubuhi ya leo (02.02.2012) . Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo la Arusha ulitoa misaada mbali mbali kwa watoto wanaoishi kwenye mazingira hatarishi ambapo...
0 Reactions
66 Replies
7K Views
Unajua huwa ninakwazika sana hao watajwa hapo juu wametukwaza big time mmoja kwenye issue ya Jairo mwengine kwenye issue ya Richmond. Na Leon Bahati: UMOJA wa Afrika (AU) umemteua Mkurugenzi wa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Anasema Bunge linapokea taarifa kutoka kwa Serikali kuhusiana na Mgomo wa Madakrari na bunge inaonekana halitaruhusiwa kujadili. Mh Jembe Mnyika anasema Waziri ni watuhumiwa wa uzembe na bunge...
4 Reactions
56 Replies
5K Views
Ndugu wanajamvi naomba kufahamu kutoka kwenu kuhusu muungano wa tanganyika na zanziba.1;nini sababu iliyopelekea kuwa na muungano.2;watanganyika na wazanzibar waliafiki?3;viongozi hawa walitumia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
NAPE AUKABIDHI MIFUKO 700 YA SARUJI MKOA WA MARA KWA AJILI YA UJENZI WA MADARASA NA BASHIR NKOROMO, MUSOMA CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeukabidhi mkoa wa Mara tani za saruji kwa ajili ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
wadau nimepata faraja sana baada ya kuona wabunge vijana wameungana ndani ya ukumbi wa bunge kutetea maslahi ya vijana ikiwa ni pamoja na ajira, elimu, ardhi pamoja na ushirikiswaji, katika...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
na Nasra Abdallah, Zanzibar CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimewataka wakazi wa jimbo la Uzini, kutokubali kuwa kama kuku wanaorushiwa mahindi pindi wanapotakiwa...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Mtoto mmoja wa kigogo anayetamba kwa utajiri nchini amefanikiwa kupata faili la ugonjwa unaomsumbua Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe kwa kuwahonga maafisa wa Wizara ya Afya sh. mil...
0 Reactions
112 Replies
14K Views
Hivi sasa wabunge waliochaguliwa wa majimbo mbali mbali wapo kwenye utekelezaji wa ahadi walizo zitoa. Mie ni mkazi wa jimbo la Kawe, na mojawapo ya ahadi aliyoahidi mbunge wa Kawe, Mh. Halima...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Baada ya kubanwa sana na pia kuzomewa na wabunge jana jioni wakati akitetea hoja ya marekebisho ya sheria mbalimbali aliyowasilisha bungeni, alianza kutoa vitisho kuwa hajafukuzwa ujaji huko...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu, Ukurusa wa mbele wa gazeti la mwananchi la leo kuna habari hii ya kukatisha tamaa ya serikali kuishiwa na fedha. Gazeti limeandika, Akijiba swali la Mbunge wa Singida Magharibi, Mohamed...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jana nimeshudia jambo ambalo sikuliona kama liko sawa hata kama ni sawa sawa kulingana na kanuni tukufu za bunge tukufu. Wabunge Mh Ndululile na Mh Mnyika walitoa hoja ya kusitisha shughuli zote...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Pamoja na changamoto nyingi zinazolikabili taifa letu nadhani namna tunavyoshungurikia stakihiki za madaktari si njema sana kwa maslai na ustawi wa Taifa na si dhani kwamba migomo inayoendelea kwa...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
ikulu kujenga ukumbi mpya wa kisasa
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sikubaliani hata kidogo na wale wanaopinga ama kubeza uboreshwaji, wa maslahi ya madaktari. Na wakati huohuo sikubaliani mara 1000 na madaktari na vibaraka wao wawaungao mkono kwa namna...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Anasema wanasiasa hasa wabunge wanakuwa na stress sana kwa kuwa wakati wapo kwenye shughuli za maendeleo huku watu wengine wakiendeleavna siasa jimbon kwake.kaamlika dr.wa saikolojia akawakoe wabunge
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Na Jabir Idrissa - Imechapwa 11 January 2012 DK. Willibrod Slaa amemtuhumu Rais Jakaya Kikwete kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyoapa kuilinda. Akiongea na MwanaHALISI juzi...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Back
Top Bottom