Watanzania wengi wadaiwa sugu wa Bodi ya Mikopo... Mwongozo tafadhali...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania wengi wadaiwa sugu wa Bodi ya Mikopo... Mwongozo tafadhali...?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ta Muganyizi, Feb 2, 2012.

 1. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Ndugu wanajamvi pamoja na kuwa sisi ni wajenga hoja nzito huku vipi deni la Bodi ya Mikopo? Mbona hawajaweka kiasi watu wanachodaiwa? Asilimia 96% ya Wana Jf ninaowafahamu kwa names zao halisi wanadaiwa na bodi ya Mikopo. Pamoja na hayo Serikali ilitoa mikopo lakini haikutoa ajira. Sasa wanapoanza kukamata watu ajira imetoka wapi. Magraduate kibao wako mitaaani yaani hadi wale waliosoma Sociology na Poltical science wanalima mboga mboga huku kwetu. Naamni kwa hili wengi watadakwa.

  Kwa mujibu wa Gazeti la Mwana Halisi hadi Rizwani anadaiwa!!!! Wewe kama hujajiangalia bonyeza hapa. Loan Defaulters/Wadaiwa

  Mwongozo ninaoomba ni kuwa..........kama mtu alimaliza chuo then hakupewa ajira na serikali........analipa hiyo fedha kutoka wapi.........kama watabana kuwa hakuna mtu kwenda nje ya nchi,,,,je ambaye tayari yuko nje ya nchi asirudi?.........Mie ninaona kuna hatari ya watu kuukana uraia wao. Alafu waliokuwa wanapewa Boom wakati wa migomo hawajui wanadaiwa kiasi gani maana fedha ilikuwa inawekwa ki machale. Siku hizi ndo wanasema kuwa umepata shillingi kadhaaa utachangia kadhaaa..zamani zile wala ilikuwa haieleweki.......aaaagggghhhh watu watabadili ID zao wote wawe Invisible.
   
 2. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Watu hawataki kusikia ila kule Sero au Jela ndo itajulikana huyu ni rejao........huyu ni nitonye......huyu ni kongosho.....yaani sipati picha
   
 3. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Jamani hadi Dk Stephen Ulimboka anadaiwa tehetehete..........haki ya nani watu wote maarufu nawasearch hapa....loh
   
 4. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  mwana kijiji? Ujamalza bdo tu? Invicible , toeni nac tuxome!
   
 5. S

  SOBIBOR Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli marafiki wengi nimemaliza nao pale UDSM nawajua wanakazi zao nzuri kabisa hawajaanza kulipa kwa kisingizio kuwa eti mbona wale waliomaliza kabla ya 1994 hawajalipa. Tena kiasi wanachodaiwa hakifiki hata 1.5 millioni ni aibu. Tatizo tulilonalo na serikali yetu ni mfumo mbovu wa ajira ambao ungewezesha au kuwabana wadaiwa bila kutumia mawakala.

  Kuhusu ajira tusidanganyane wengi wetu tunazo na kisiwe kisingizio. Kama nilivyosema mwanzo mfumo wetu wa ajira ni mbovu , aidha tungekuwa na mfumo mzuri unaotambua yupi kaajiriwa na yupi bao isingekuwa tatizo.

  Kuhusu walio nje ya nchi , tena hao ndiyo rahisi kuwapata kuliko waliopo tz.
   
 6. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
 7. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hili hawa jamaa wa bodi ni wabangaizaji kwani nimeona baadhi ya majina ambayo nina uhakika wameshalipa mkopo wao wote.
   
 8. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #8
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Mkuu wewe umelipa?
   
 9. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  1947 na mambo ya mikopo ya bodi ya kibangaizaji wapi na wapi kaka???

  Kizazi cha mwalimu kilitesa kwa kulazimishwa kunywa maziwa chuoni na siyo kukimbizana na bodi!!

  Babu DC!!
   
 10. d

  dmatemu JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2012
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  Kama ingekua hawakati moja kwa moja, hakyanani ningepata kazi mkopo nisingelipa. Wakachukue pesa za madini, epa, kagoda, meremeta, richmond, rada, ndege ya presda, majengo pacha bot etc. Watapata trilions hapo, wawakopeshe wanafunzi.
   
 11. a

  alkon Member

  #11
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tuna tatizo kubwa la utunzaji wa kumbukumbu Tz. Nimeshangaa na mimi eti "sijaanza kulipa" wakati sisi ndio tulianza kukatwa awamu ya kwanza kabisa na kila mwezi wanakata mshahara wangu kulipia hilo deni. Huku si kudhalilishana? Fedha zangu wanakata, na bado wananipachika bango la "wadaiwa sugu"! Ngoja nije nipate muda niwazukie huko.
   
 12. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #12
  Feb 3, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ta Muganyizi,
  Nathubutu kusema am proud of kumaliza deni la loan board.
  Kuhusu ajira, siyo lazima uajiriwe na serikali au kampuni fulan. Elimu ya juu inakupa mwanga na kupanua upeo wako. Inakupa nguvu ya kupambana na kila aina ya situation.
  Nawapongeza sana hao waliosoma sociology na political science kwa uamuz wao wa kulima mboga mboga. Naamini kilimo kitawatoa na hawawezi kukosa 30k ya kuwalipa loan board kila mwenzi. Pia ukiangalia watu wengi wenye mafanikio hapa nchini, ni wale baada ya kumaliza chuo waliopt kujiajiri wenyewe.
   
 13. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #13
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Hv na ww umemaliza chuo au elimu madrasa?
   
 14. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #14
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hiyo deal wangetuma majembe zingirudi
   
 15. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #15
  Feb 3, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Vyote kwa pamoja!!
   
 16. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #16
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,566
  Likes Received: 3,861
  Trophy Points: 280
  mtoa maada, ile list imeandikwa tu, wala haijachujwa, wengi tunalipa na majina bado yamo!
   
 17. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #17
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  People have to pay no way
   
 18. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #18
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  wasiwasi wangu ni kuwa gharama za ufuatiliaji zitazidi thamani ya mkopo
   
 19. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #19
  Feb 3, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hawa Loanboard wanastahili kufunguliwa mashitaka. Inaelekea hawana kumbukumbu sahihi ama wamepotosha kumbukumbu halisi kwa manufaa yao. Wametuanika majina kuwa ni wadaiwa sugu wakati wengine tulishamaliza hata malipo yenyewe. Mimi nimeanza kulipia tangu 2006 ila wameniorodhesha kama mdaiwa sugu kwenze tovuti yao. Pia nikapitia majina ya jamaa zangu zaidi ya ishirini nimekuta wameorodheshwa angali wengine walishamaliza kulipa na wengine wamebakiza deni dogo. Sijui ni lini vitengo vya serikali hii vitajisimamia majukumu yake kwa usahihi, inaelekea hakuna uwajibishwaji kulingana na uozo unaotokea. Ninawasiwasi kuna wafanzakazi wengi serikalini hawana uwezo wa majukumu wanayokabidhiwa. Nahapohapo ukiwauliza utapewa majibu rahisi ama kukuuliza mdaiwa upeleke udhibitisho, angali wao ndiyo wanamakusanyo ya wadaiwa wote.
   
 20. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #20
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hapa mi naamini kuna mchezo mchafu unafanyika mm mwenyewe wananikata zaidi ya shilingi 70,000 tangu mwaka juzi ss cha ajabu jina langu lipo kwenye list ya wadaiwa SUGU,mi najipanga na copy ya salary slip zote maana huwa nazitunza ss huko loan patachimbika nikifika yaani ntaomba list ya wanaolipa nione ina majina gani haiwezekani miaka 2 nalipa hewa km wamepoteza list kwa makusudi ya kuficha uwizi wao kitaeleweka yaani nawatafuta mwanahalisi angalau wanipe mwandishi mmoja niongozanae nae hadi huko ofisini kwao.
  Haiwezekani taasisi kubwa kama hiyo haina database ya wanaolipa na wadaiwa sugu,hapo chuoni nimeona list ya lecturers wenzangu wengi tu wengine wamemaliza na wengine bado tunaendelea kulipa ss mi watanipa majibu yote ya maswali ntakayouliza ili km kuna vilaza pale watolewe mapema maana hawastairi kukalia viti huku kazi inawashinda hayo ndo matatizo ya ajira za kimjomba mjomba na kuwaacha wahitimu wenye sifa
   
Loading...