Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Hatimaye Mheshimiwa Ndugai amechimbia kaburi la kisiasa baada ya kumshambulia Mgombea mwenzake aitwae Dr Joseph Elieza Chilongani kwa gongo katika mkutano wa kuomba kupigiwa kura za maoni CCM...
12 Reactions
300 Replies
48K Views
Wanabodi, Kama ilivyo kawaida yetu jf, wewe kama mwana JF, una pata ile kitu inaitwa the jf advantage to "be the first to know" kuwa ujio wa Lawassa kujiunga Chadema, sio tuu utakipaisha...
17 Reactions
183 Replies
25K Views
Wakuu habari, Tunawaletea kinachojiri kwenye Vikao vya CCM vinavyoendelea Dodoma. Fuatana nasi... Karibuni sana. ================== Updates: 1. Sasa mchakato unaanza rasmi, Wajumbe kamati...
82 Reactions
6K Replies
809K Views
Wanabodi, Dr. John Pombe Joseph Magufuli ndiye mshindi wa urais Tanzania kwa mwaka huu wa 2015-2025 and may be more!, anayesubiri tuu kutangazwa rasmi na kuapishwa. Nimesema 2015 -2025 sio kwa...
35 Reactions
283 Replies
33K Views
Wanabodi, Jumapili ya leo, nimepata tena fursa ya kuendelea kuhamasisha, watu wajitokeze kwa wingi kupiga kura kwa muktadha wa kuchagua kuendelea kuwa masikini, au kuchagua utajiri!. Wakati...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali kuhusu figisu figisu za kwenye Uchaguzi Mkuu uliopita, ambapo kila anayeshindwa, hakubali kushindwa kihalali kwenye sanduku la kura katika uchaguzi huru na wa...
3 Reactions
188 Replies
35K Views
Wanabodi, Wakati Watanzania tukijiandaa kukumbuka kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Mwallimu Nyerere, naomba kutoa angalizo la kuizuia kumbukumbu hiyo isitumike vibaya kuupotosha umma eti kuna watu...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Wanabodi, Leo tena naendelea na zile makala zangu za malaika na shetani. Kwa wasomaji wapya katika kukumbushana tuu, hapo hapo mwanzo, shetani alikuwa malaika kabla hajawa shetani, tena ndio...
11 Reactions
115 Replies
18K Views
Wanabodi, CC ya CCM, imefanya kazi yake, imelikata jina la kipenzi cha wengi, Edward Ngoyai Lowassa!. Jee kukatwa huku ndio mwisho wa ile safari ya matumaini, au ndio mwanzo wa safari ya...
29 Reactions
272 Replies
41K Views
Wanabodi, Mimi ni miongoni mwa watu tulijibainisha humu kumuunga mkono kwa dhati, Mwamba wa Kaskazini, Edward Ngoyai Lowassa, na tukaahidi humu akiondolewa kwa mizengwe, hatuta kubali...
21 Reactions
86 Replies
16K Views
Wanabodi, Baada ya kumsikiliza kwa makini Waziri Mkuu "Mstaafu", Edward Lowassa katika two- series za kipindi cha Dakika 45 cha ITV, kwanza nimemkubali sana huyu jamaa!, pili kama yeye ndiye...
5 Reactions
511 Replies
56K Views
Wanabodi, Habari za Jumapili. Jumapili ya leo, naomba tutafakari kwa pamoja msemo huu wa lugha ya Kilatini kuwa "Vox Populi is Vox Dei" ukimaanisha "Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu!", au...
7 Reactions
98 Replies
16K Views
Wanabodi, Hii ni tetesi ya habari mbaya kwa wapenzi wa kipenzi cha watu, Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa kuwa pamoja na Mhe. Lowassa kuwa ndie mtu anayekubalika sana kuliko mtu mwingine...
22 Reactions
315 Replies
63K Views
...Yule Aliyepangiwa na Mungu!. Wanabodi, 2015 ndio hii, mimi ni miongoni mwa tuliojibainisha wazi, kumkubali Edward Lowassa as "The One and Only" Best President this country can ever have apart...
23 Reactions
172 Replies
31K Views
  • Poll
Je,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya Lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya CHADEMA/UKAWA endapo uamuzi huo utafikiwa? Jibu Ndio/Hapana/Sijui Kura hii inawahusu Pro-UKAWA wote na...
7 Reactions
697 Replies
54K Views
Alikua Tanzania one Form four na Form six Ni zao la Ilboru sekondari Mwaka 2004 alifanya Mahojino na Gazeti moja la Arusha alipotangazwa kuwa Tanzania one...
3 Reactions
47 Replies
13K Views
Wanabodi, Kuna msemo usemao numbers don't lie, hili ni bandiko la numbers na data, kama sio mzuri wa mathematics na arithmetics nakushauri bandiko hili bora ulipitie mbali and save your time...
33 Reactions
171 Replies
25K Views
Wanabodi, Leo nimekutana na rafiki yangu wa siku nyingi tuliyepotezana naye kipindi kirefu nyuma, ambaye ni mtu wa sehemu na wa kuaminika sana ambaye yuko attached CCM kama kada tuu wa kawaida wa...
97 Reactions
469 Replies
95K Views
Wanabodi, Preamble: "Kwa opinion yangu, Uchaguzi wa 2015, Chadema Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If...!"!Trend za Upepo wa Kisiasa kuelekea 2015, zinavuma kwa Kasi ya Ajabu kuelekea Direction...
34 Reactions
576 Replies
49K Views
Katika hali ya kushtua Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar(ZEC) imetangaza kuyafuta Matokeo ya urais wa Zanzibar. Yadaiwa Uchaguzi uligubikwa na kasoro nyingi. Imeahidi kutangaza tarehe rasmi ya...
4 Reactions
802 Replies
102K Views
Back
Top Bottom