Muswada wa sheria kuhusu fedha haramu uliendelea huku wabunge wakichangia hoja kwa kusuasua. Mwisho wa michango ndipo bunge lilipokaa kama kamati kupitia vifungu kwa ajili ya marekebisho na...
kutokana na wabunge kupenda posho na marupurupu mazuri na ubunge kuwa juu ya
Engineer
Daktari
Mwalimu
Mhasibu
Nesi
Secretary
Napendekeza walipwe kwa scale ya tanzani hivi kweli...
Mbunge wa Kawe kwa tiketi ya CHADEMA, Mh. Halima Mdee amesema uamuzi wa Naibu Spika kutaka suala mgogoro wa Madaktari lishughulikiwe na kamati ya huduma za jamii ni wa busara.
Mdee aliyasema...
katika magazeti ya leo kuna habari inayosema kikwete aagiza wanaoratibu misafara yake kwenda nje ya nchi kupunguzwa.
Mytake
1. Hivi ni kweli alikuwa ajui kuwa misafara yake ni mikubwa?
2. Kilio...
Si kweli kwamba lengo la Januari makamba na zito kabwe kuhusu hoja zao binafsi wanazotajia kutoa bungeni ni kutokana na huruma yao kwa watanzania… kama ambavyo wao na wapambe wao wanavyotaka...
tujadili uwezo wa kikwete wa kuteua viongozi,kuwasimamia na kuwachukulia hatua.hivi kweli anaweza chochote?
mbona ka-issue kadogo tu ka-madaktari kamemshinda!! je ingekua wizara!! hivi kweli huyu...
Published On: Thu, Feb 2nd, 2012
Tanzania | Published On: Thu, Feb 2nd, 2012
BAE Systems
BAE Systems, the aerospace and defence company, is poised to sign an agreement with the government...
Wakuu, naomba kuwasilisha...
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116539
E-mail: press@ikulu.go.tz
Website...
baada ya kufanikiwa kuchakachua igunga amehamia arumeru mwigula amepiga kambi arumeru akipita vijijini huku akigawa pesa kwa wapiga kura ili kuweka mazingira ya wao kupata ushindi.ila kwa taarifa...
Habari watanzania,
napenda nitoe changamoto kwa taifa letu linavyoyumba kwa kukosa mwelekeo nikikazia katika suala la kilimo kwanza;Taasisi kama SUMA JKT wamenunua matrekta na wamejaribu kuuza...
Yes; hii ndio silaha iliyobaki sasa; kama wamepinga Katiba wakaeleweka; kama wamepinga udhalimu mwingi wakaeleweka sasa muda ni huu; mjadala wa madaktari usipojadiliwa leo hii watoke ktk ukumbi...
Tafadhali jisomee mwenyewe msimamo wa TPN kuhusiana na mgomo wa madaktari hapa nchini. Viongozi wa TPN wamesukumwa na uzalendo au ukada?
Tanzania ProfessionalsNetwork (TPN) P.O. Box 21605 Dar...
[B]Madaktari na Serikali
SERIKALI KWA SASA INAENDELEA KUPIGA PROPAGAND ILIKUPOTEZA MWELEKEO MZIMA WA HILI SAKATA KWA KUTAKA JAMII NA HATA MADAKTARI WENYEWE WAANZE KUJADILI HILI KUWA ETI FLANI NI...
Kilichotokea bungeni jioni hii ni dhahiri kabisa viongozi hawana nia thabiti ya kuondoa ufisadi nchini. Mtu apate fedha isiyo halali mf. 1 trilion na adhabu ni m. 100-500 au kifungo kati ya 1...
Habari zilizotufikia hivi punde na ambazo tumezithibitisha zinasema kwamba Mbunge wa Nzega yuko katika hali mbaya ndani ya chama chake. Kwenye Kikao cha Kamati ya wabunge wa CCM (party caucus)...
Kwako mama, mbunge wangu mpendwa,
Shikamoo.....
Kwa healshima nimeona nikutumie barua hii ili kukufikishia malalamiko na maoni ya sisi wanachi wa jimbo lako!!
ELIMU
Hali sio mzuri, hizi...
Naibu spika ameitisha kura za ndiyo na siyo zipigwe,kufikia maamuzi hayo..
Zitto na Slaa kwa kutumia vifungu vya sheria waliona ni bora ijadiliwe,isiahirishwe.
Faustin Ndugulile hoj yake alitaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.