Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

....Mheshimiwa Ndugulile na Mnyika walitoa hoja ya dharura kujadili mgomo wa madaktari maana watanzania wanakufa, kwa maana kuwa waahirishe kazi nyingine za Bunge ili wajadili jambo hili la...
0 Reactions
120 Replies
11K Views
Sasa mmejiuliza kwa nini wanatumia kiingereza tena kigumu kwenye miswada ile? Mbaya zaidi CHADEMA hawalalamiki kuhusu hizi sheria zinazotungwa na Bunge. Makes you wonder kama na wao wamo kwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Haijatulia kabisa ikiwa serikali itakubali kuwa na muundo huu wa utawala na uongozi katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ikiwa itawapa madaktari vyeo vyote hivi wanavyovihitaji na kulazimisha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Imebakia miezi mine kabla Bajeti ya Mwaka Mpya wa fedha 2012 – 2013 kutangazwa. Ingawa bajeti hizi utangazwa kila Mwezi Juni ya mwaka, maandalizi uanza muda mrefu. Kwa maana hiyo, maandalizi ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mjadala wa posho ya wabunge wetu inatia aibu kwelikweli. 1. Kwa siku 20 (4 week days) za wiki anapata milion 6.6 na kama amekaa kwa wiki mbili anapata Milion 3.3. bunge letu siku hizi pia linakaa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tulisoma tamko la CHADEMA kuhusu kuwaunga Mkono madkatari nchini. wengi tuliamini Mnyika leo angalipanga timu yake kabambe kumbana waziri Mkuu kuhusu mgomo huu. kitendo cha Mnyika kutopanga timu...
0 Reactions
77 Replies
7K Views
hatimae ule mswaada wa malekebisho ya sheria mbalimbali umekataliwa na wabunge hadi bunge lijalo. asubuhi pia walirudisha malekebisho ya sheria ya ushuru wa bidhaa. hadi naibu supika akasema...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naibu waziri kashikwa pabaya na MB Tundu Lissu, busara za mwenyekiti zimemsaidia sana NW coz TL alishaanza kusoma ukweli na uongo wa NW. TL kadai NW kadanganya Bunge na Ushahidi anao sasa hivi...
0 Reactions
421 Replies
91K Views
Ma CDM na ..ma CCM ..wote wa Jf. ..... Wote watoto..!!
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mbunge kijana Lazaro Nyalandu anasema kwa namna yoyote ile, yeye si mgombea wa urais wa Tanzania . Alipiga hatua moja mbele na kusema hayuko chini ya kundi lolote kati ya yanayotajwatajwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mh. Mbowe nategemea ktk swali kwa waziri mkuu leo 2 feb swali na nani kawadanganya watanzania kati ya yeye PM na Rais? na nini hasa tuelewe watanzania? na pia kuhusu hili suala la madr kuondoka...
0 Reactions
94 Replies
8K Views
1.mzengo. sababu,uchungu wa mauwaji ya alibino 2.kafulila.sababu wananchi wake 3.Jk ushindi wa kishindwo chimwaga 2005
0 Reactions
10 Replies
2K Views
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, amemtwisha mzigo wa lawama Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kwa kushindwa kuueleza umma ugonjwa unaomsumbua Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wabunge wa JMT wamerudisha hoja mbili zilizowakilishwa bungeni na serikali leo ili serikali iende ikajipange vizuri.Nawapongeza sana wabunge kwa kuweka maslahi ya taifa mbele.Hoja zilizogoma...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Leo nikiwa nimevinjari ndani ya Ofisi za Wizara ya Afya kwa shughuli zangu binafsi niliingia Ofisi moja ambayo nilikuta Watumishi wapo katika mjadala mkali wa kulinganisha Uongozi wa Katibu Mkuu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wagonjwa wametoswa, madent walisoma vijini wametoswa, wanafunzi vyuo vikuu wametoswa,wafanyakazi wa serikali wametoswa , wananchi wa kawida wametoswa,sasa hii ni serikali ya nani? Bado mtaipa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau sijui viongozi wa nchi za Kiafrika wana ugonjwa unaoitwa ulevi wa madaraka,haingii akilini mtu anaamua kutumia hila na ghiriba ili abki madarakani,matokea yake ni kusababisha migogoro isiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimesikia kwenye gazeti la MwanaHalisi(leo) kwamba Uongozi wa Juu wa Chadema umekanusha vikali kauli ya Zitto kabwe kwamba Plan ya Chadema kuonana na Rais kuzungumzia Suala la Katiba Mpya kwa mara...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Katibu Mkuu (in waiting) Dada Mwele Malecela Kikosi cha CSI kimeeleza kuwa the powers at be washaboreka na hii issue ya Madaktari na sasa kila option iko open lakini kikao cha jana usiku...
0 Reactions
74 Replies
11K Views
Mh. Rais, Jakaya Mrisho Kikwete Nakuandikia nikiamini kwamba umzima wa afya huko Magogogoni st. ukilitumikia Taifa letu kwa uadilifu. nimeamua kutumia mtandao kwa maana barua nyingi nilizokutumia...
0 Reactions
63 Replies
7K Views
Back
Top Bottom