Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali tuu, Ili uchaguzi wa 2020 usiwe ni igizo tuu la uchaguzi, Je tumchagize na kushinikiza Tundu Lissu ndiye asimamishwe na upinzani kumkabili John P. Magufuli...
Wanabodi,
Kuna vitu vingine vya Magufuli alivyofanya, watu hawavijui, na sio vya kuhadithiwa, hebu msikilize mwenyewe huyu huyu Kibonge Mweusi ambaye ni 'Mrisho Mpoto' wa Coco Beach, bwana...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1!
Japo...
MAKONDA, GWAJIMA USO KWA USO KWA KARDINALI PENGO
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda pamoja na Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kawe Askofu Gwajima kwa pamoja wamemtembelea Kadrinali...
Hakuna aliyetegemea uchaguzi uwe wa huru na haki. Lakini hakuna aliyetegemea wizi uwe wa wazi na wa kijinga hivi.
Chama Cha Mapinduzi, kama chama kikongwe barani Afrika, kimethihirisha hakipo...
Mama Samia Suluhu Hassani ambaye ni Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM) amesema kuwa anawaomba wafanye kampeni kwa amani wakipita wawasikilize wala wasigombane nao...
CCM ilifanya makosa ya wazi kulazimisha Tulia Ackson agombee Mbeya ili kumtoa Sugu. Kuna sababu 4:-
1. Siyo mzawa wa Mbeya kwa kuwa anatokea Rungwe. Hata ukisema Tanzania hakuna ukabila lakini...
Mgombea urais Tundu Lissu ameendelea kusisitiza na kumtaka Rais Magufuli awaachie mara moja mashekhe wa Uamsho na mahabusu wengine waliofungwa kwa hila.
Tundu Lissu ameahidi ndani ya siku 100 za...
Tulia Ackson alishinda kura za maoni kwa kununua kura za wajumbe wa mkutano Mkuu wa Jimbo la Mbeya Mjini 800 kati ya 900. Je, anaweza kuwanunua hawa wananchi wa Mbeya ambao mapenzi yao yako...
Akiwa Mkoani Kagera leo Jumanne Oktoba 14, 2025, Mwenyekiti wa Kampeni ya Kitaifa ya Mama Asemewe Bw. Geofrey Kiliba amesema Ushiriki wa Vyama 18 kati ya 19 katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025...
Askofu wa Dayosisi ya kKKT Karagwe, Askofu Bagonza akizungumza katika misa ya uzinduzi wa Sharika mpya katika Jimbo la Ihembe amewataka waaamini kuendelea kumuomba Mungu katika uchaguzi huu ili...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera Charles, leo Oktoba 23, 2020 amezungumza na Vyombo vya Habari kutoa rai kwa Watanzania, kuvipuuza vikundi au Viongozi wa...
å Ni majibu ya kauli ya Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dr. Wilson Mahera Charles aliyoitoa jana alipokuwa anazungumza na vyombo vya habari.
å Kwamba, baadhi ya wagombea katika mikutano yao ya...
Mgombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman (OMO) atoa ahadi zake 10 kuhusu mambo atakayoyatekeleza iwapo atashinda Urais lipo la mshahara kima cha chini kuwa Milioni...
Mgombea mwenza wa CCM mama Samia Suluhu amesema anakubaliana na kauli ya Makongoro kwamba Chadema ni kama jiko la mkaa halikumbatiki.
Jiko la mkaa ukilikumbatia ama litakuunguza au kama halina...
“Watoto wetu wengi hawaendi mbali kielimu, wanasalia njiani. Nimejipanga kubadilisha hili. Elimu lazima iwe bora na ya kuvutia ili watoto wamalize shule,” amesema Khadija.
Akizungumza na mamia ya...
Katika hali ya kushangaza OCD wa Hai ameonekana akimwambia Mbowe hadharani kuwa hawezi kushinda uchaguzi katika jimbo la Hai.
Ikumbukwe kuwa Jeshi la polisi ni miongoni mwa taasisi ambazo...
Heshima sana wanajamvi,
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kilikuwa Arumeru kata ya Bangata.
Nakumbuka asubuhi ya saa 2:35 nilikijongelea kituo cha kupiga kura Shule ya Msingi.Nikaanza kutafuta orodha...
Kampeni za CCM 2020 tunazifanya kisayansi, tumegawanya viongozi waandamizi wa chama kwenye maeneo tofauti. Msafara mkuu unaongozwa na Dkt. Magufuli, msafara mwingine wa Mhe. Samia Suluhu, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.