Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mheshimiwa Amiri Jeshi Mkuu: Anayekushauri utumie mkono wa chuma anataka upoteze msingi wako asilia wa ushindi na usimame juu ya msingi usioujua. Kwenye mapigano ya asili, naweza kuwa mpiganaji...
8 Reactions
20 Replies
4K Views
Wanabodi Leo naendelea na somo la Ijue Katiba ya JMT ya mwaka 1977 kwa jicho la mtunga katiba。 Hii ni mada ngumu ya hoja za kisheria,hivyo nakuomba kama hujawahi kuwa na interest hata ya kusoma...
24 Reactions
115 Replies
6K Views
Bado sielewi Vigezo ambavyo vimetumika Kumfanya Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM. Nchimbi hana na wala hajawahi kuwa na Ushawishi wowote kwenye siasa za ndani na hata kwenye...
21 Reactions
139 Replies
7K Views
24 January 2025 Dar es Salaam, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=woYIDnx1xcw Wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu mkoani Dar es Salaam wametoa tamko rasmi kuunga mkono azimio la Mkutano Mkuu wa...
3 Reactions
83 Replies
4K Views
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani tarehe 17.03. 2021, Mwaka huo wa 2021 Tanzania ilitimiza miaka 60 ya Uhuru baada ya uhuru wake wa 9 dec 1961. Katika kipindi hicho...
8 Reactions
113 Replies
4K Views
Chini ya Hayati Magufuli, tumeshuhudia jamii ya Watanzania ikiwa imegawanyika pasu-pasu kwa misingi ya itikadi kinzani za vyama vya siasa. Mgawanyiko wa jinsi hii haujawahi kutokea kwenye awamu...
16 Reactions
138 Replies
11K Views
=== Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo cha ITV kwenye kipindi maarufu zaidi cha DK 45 amefafanua haya, Kabla ya Mhe Rais Dkt...
17 Reactions
140 Replies
5K Views
Awamu ya Samia ndio imetafsiri maana halisi ya Tanzania ya viwanda na sio vi wonder kama kule tulikotoka. Pia soma Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo ========================...
10 Reactions
532 Replies
14K Views
Nimeiona clip ya dokta Tulia alivyojibu Kwa jazba ,nikagundua ndugu yetu huyu hakujua Yale maswali hakuulizwa yeye kama Dr.Tulia Bali msimamo wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuihusu ukraine na...
17 Reactions
114 Replies
6K Views
Kila kitu kilikuwa kinaenda ovyo kana kwamba tunaongozwa na darasa la saba au nursery kabisa. Hebu fikiria yafuatayo: 1. Uhuru wa habari ulikuwa umezimwa kama mshumaa ikabaki ni kumsifia tu...
38 Reactions
203 Replies
11K Views
Wakuu, Mungu anaendelea Kuwaumbua. Kwa madai ya huyu mzee ALIFUATWA NA POLISI TANZANIA, MZEE ANAMTAJA POLISI KWA MAJINA YAKE, MZEE ANASEMA, JUZI JUZI JUZI walimfuata Nyakati za usiku...
37 Reactions
246 Replies
16K Views
RCO-Mbeya na polisi wamefika nyumbani kwa Mdude_Nyagali kuchukua sampuli ya damu iliyomwagika na kufanya uchunguzi. Moyo wangu umejaa hofu. Sioni mwisho mzuri katika habari hii. Hali ilivyo hadi...
12 Reactions
87 Replies
6K Views
25 Aprili 2025 https://m.youtube.com/watch?v=wbk2XLS77j8 Ushindi haupatikani kwa kutegemea 'chawa' wala wingi wa kadi. Watu wana kadi na mapenzi kwa vyama hata vitatu. CCM iwe makini wanatakiwa...
49 Reactions
232 Replies
13K Views
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk Juma Homera amesema tayari amelielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada za kuwatafuta wahusika waliomshambulia kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mdude...
12 Reactions
97 Replies
6K Views
Mwanachama wa JF na mdau mkubwa wa mitandao, Mdude_Nyagali amechukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni polisi usiku huu. Walikuwa na silaha, wamevunja mlango. Mdude amepigwa sana, alikuwa...
21 Reactions
363 Replies
24K Views
Hili Swali nililiuliza Punde tu Samia alipojiteua kua Mgombea !!. ( Unajua Mtego anaowaingiza Samia, utawafanya Vyombo Dola mnuke Damu za watu, matokeo yake mtajikuta mko Blackmailed, in turn...
15 Reactions
30 Replies
1K Views
Kada wa CCM Mchungaji Peter Msigwa amesema Freeman Mbowe hastahili kuongoza CHADEMA hata kwa Sekunde 2 kwasababu hana jipya. "Ningekuwepo ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mtumishi wa Mungu Mchungaji Peter Msigwa amesema ya kuwa CHADEMA ina wanachama Laki 4 pekee nchi nzima. Ambapo katika kuthibitisha madai hayo ameweka na ushahidi.hivyo...
7 Reactions
79 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Soma Mwenyewe alichoandika mchungaji peter Msigwa,ambaye ameonekana kuwa na furaha kubwa sana tangia ameingia na kujiunga na CCM.muda wote anaonekana ni Mwenye tabasamu...
2 Reactions
55 Replies
2K Views
Back
Top Bottom