Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi Wanabodi, Hili ni ombi mahsus na maalum kwa mtu mahsus na maalum, hivyo hii thread sio thread ya watu wote bali ni thread mahsus maalum kwa mtu mahsus maalum kwa lengo mahsus maalum la...
17 Reactions
50 Replies
4K Views
Wanawake kwenye Nafasi za Uongozi ni mada muhimu inayozungumzia umuhimu wa kuwapa wanawake fursa zaidi katika uongozi na kuondoa vikwazo wanavyokumbana navyo. Jambo hili linaweza kufanikiwa kwa...
2 Reactions
11 Replies
886 Views
Wanabodi, Haya ni mapendekezo yangu kwa miswada mitatu ya sheria ya uchaguzi, Sheria ya vyama vya siasa na Tume ya uchaguzi. https://youtu.be/3a4SjkV46JY?si=lqufL6e34DyB2Gjr Nilipendekeza 1...
8 Reactions
42 Replies
3K Views
Wana JF, Maadam JF ni ukumbi wetu, na sisi humu JF, tuko members wengi, na tumefanya mengi, hivyo mimi member mwenzenu Pascal Mayalla, naomba niwe wa kwanza, kuwajulisha wana JF wenzangu, ili...
22 Reactions
97 Replies
5K Views
Wakuu, Huu uchaguzi ni balaa! ====== TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamtafuta Joseph Shila, Katibu Mwenezi wa CCM Kata ya Mitunduruni, Wilaya ya Singida kwa tuhuma za...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Singida Mjini, Hamis Nkua, amechomwa kisu katika mkono wa kushoto begani. Akizungumza na Nipashe Digital katika Hospitali ya Rufaa ya Mandewa...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Kada maarufu wa CCM na Askofu wa kanisa la Arise and Shine, Dr Boniface Mwamposa (Buldozer) leo amewahimiza waumini wake waende wakajiandikishe kwenye daftari la kupiga kura na kuwapigia kura...
35 Reactions
292 Replies
11K Views
Baadhi ya Wasimamizi wa Uchaguzi hawapo katika Vituo vya Kupigia Kura Jijini Dodoma, Mfano ni Kituo cha kupigia Kura Ofisi ya kata ya Chamwino hakuna msimamizi wa uchaguzi na Askari wote kwa...
0 Reactions
4 Replies
583 Views
Polepole akijibu swali lililouiza 'Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa kughairi kugomea ubunge ilikuwa baada ya wewe kumfumbua macho'?, amejibu kuwa yeye hajaongea na waziri mkuu, wala Makamu wa Rais...
1 Reactions
1 Replies
405 Views
Nabii wa Mungu, Godbless Lema, leo amekitendea haki Cheo Chake cha Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, baada kuwatimulia mbali Maofisa wa TAKUKURU waliohudhuria semina ya Wagombea wa Uenyekiti wa...
15 Reactions
114 Replies
7K Views
Mkoa wa Dar es Salaam wenye mitaa 636 wamekata majina ya wagombea wa CHADEMA 571. Wamebaki wagombea 45 tuDar es salaam yenye wajumbe wa Serikali za mitaa 3,822 wamekata majina ya wagombea wa...
2 Reactions
5 Replies
576 Views
Akiwa kwenye muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Mjini Tarime Tundu Lissu amesemaRais Dkt. Samia hana tofauti na mtangulizi wake hayati John Magufuli, tofauti yao ni jinsia tu...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakuu, Ila polisi, mnazidi tu kufanya CHADEMA wapate vichwa na kuwa maarufu. Sijui kwanini hamjifunzi, kila siku mnatumia mbinu zile zile! ===== Pia soma: - LGE2024 - Songwe: Viongozi wa...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amefungua shauri chini ya hati ya dharura katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ya Mbeya, akipinga kushikiliwa kwa Mdude Nyagali na Jeshi la...
16 Reactions
78 Replies
5K Views
Angalieni wenyewe namna Polisi wanavyohangaika na mtu ambaye wala hana silaha yoyote Halafu rudisheni kumbukumbu ya namna walishughulikia ajali ya ghorofa Kariakoo. --- Wakati Jeshi la Polisi...
9 Reactions
50 Replies
3K Views
Wakuu Kesi ya Mdude Mpaluka Nyagali dhidi ya RPC wa Songwe imeahirishwa. Kesi hiyo, ambayo ilikuwa ikitarajiwa kusikilizwa leo tarehe 26 Novemba 2024, sasa imepangwa kusikilizwa tarehe 28 Novemba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, Hii ni video nimekutana nayo huko mtandaoni yaani X ambapo wakala huyu wa CHADEMA alikutana na mwanafunzi huyu wa miaka 16 akiwa anataka kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura. Baada...
9 Reactions
15 Replies
1K Views
Salaam, Shalom!! HOJA ya ushauri hapo juu ni kupuuzwa Kwa mapendekezo muhimu ambayo mliyatoa ikiwemo uchaguzi huo wa Serikali za mitaa kusimamiwa na Tume huru ya Uchaguzi. Sasa Kwa kuwa...
21 Reactions
85 Replies
3K Views
Wakuu wakati joto la uchaguzi likiendelea kushamiri, Padre Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ameendelea kuhoji maswali mazito kuhusiana na jinsi mchakato...
1 Reactions
4 Replies
943 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila siku ya leo akiwa kwenye mkutano na baadhi ya maaskari, ameliomba Jeshi La Polisi kuisaidia serikali kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa...
2 Reactions
62 Replies
4K Views
Back
Top Bottom