sisi kwa sisi
Senior Member
- Feb 1, 2012
- 119
- 2
Nilisoma gazeti la mwanahalisi la Jana na kuona jinsi Chadema ilivyojibu hoja ya Mh zitto Kuhusu Chanzo cha mazungumzo ya CHADEMA na rais JK.
Licha ya kuwa ile habari imetoka kwenye gazeti kama andishi, lkn ukiangalia kwa undani utagundua ilikuwa ni kauli ya Chama.
Hii tofauti na viongozi wengine wa Chama, huzungumza mengi ambayo kimsingi yanapingana na Chama.
Lakini uongozi wa juu hauchukui jitihada za kukanusha.tayari ztto alitoa makala kuhusu Uhusiano wake na Uongozi wa juu hasa baada ya kudai siku hizi hata patokee msiba haambiwi
jee kwanini imefikia hali hii