Ofisi ya DAWASA Mbagala Rangitatu imeshindwa kwa makusudi kuwapatia maji wakazi wa Mbagala, ni nusu mwaka sasa wakazi wamekuwa katika mgao wa kupata maji mara moja kwa wiki!
Mbagala inapata maji...
Tunaomba JamiiForums itusaidie kupaza sauti zetu kwa TAKUKURU ili ichunguze tuhuma za rushwa katika Ofisi za Ardhi, Arusha.
Wananchi wengi wanakumbana na changamoto kubwa wanapohitaji hati za...
Kwa masikitiko makubwa, hali ya umeme katika maeneo ya Wilaya ya Chunya — Matundasi, Makongorosi, Lupa, Saza na Itumbi — imekuwa ya kudhalilisha wananchi na kuonyesha wazi kushindwa kwa mamlaka...
Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Wananchi na Watumishi tunapata changamoto sana hasa tunapohitaji huduma ya Mkurugenzi (DED), zinaweza pita siku 5 hupati huduma unaambiwa hayupo na hajakaimisha...
Mnamo tarehe 13 nilipowasiliana na wewe kuhusu suala langu uliniagiza nifike Kituo cha Polisi Oysterbay kwa RCO. Nilifika na kumweleza kero yangu. Alinipokea vizuri na siku hiyo hiyo akafungua...
Pembejeo izo vyenye thamani ya milioni 100 na zaidi vineibiwa kwenye godawn kuu la Wilaya ya Kibiti.
Huku kukiwa na juhudi lukuki kutoka kwa viongozi wa Wilaya kutaka kulizima swala hilo
Halmashauri ya wilaya ya Chato inachangisha pesa kwa wafanya biashara kwa ajili ya mwenge. Wakusanyaji wanaongozwa na mtendaji wa kijiji
Soma Pia:
Viongozi wa Kijiji cha Mlimba B, Halmashauri...
Baadhi ya wananchi wa Ukonga Mazizini, Mtaa wa Kwamakobe, tunawasilisha malalamiko yetu rasmi kuhusu mwenyekiti wa mtaa wetu, Musa Komba.
Kumekuwa na kero kubwa inayotokana na mwenendo wake wa...
Dear All
TO WHOM IT MAY CONCERN
My name is Shabbir Moshinali Moawalla, born in Tanga on 16th December 1962.
My father was born in a village called MOA, now in MKINGA DISTRICT, Tanga, near the...
Sisi ni watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino, mkoani Dodoma, hasa kada ya utawala—yaani Watendaji wa Vijiji (VEOs). Tumeajiriwa tangu mwezi Novemba 2024, na sasa tumeshakamilisha zaidi...
Habari zenu wakuu!!!
Naiomba wizara ya kilimo kupitia mamlaka ya usimamizi na udhibiti wa Mbolea Tanzania, TFRA ijitokeze hadharani kuhabarisha zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania ambao shughuli...
Hawa jamaa, usimamizi wao unatia mashaka.
Kiusalama, hali haijakaa vizuri. Kuna vipande vya barabara ambavyo havina lami na hakuna viashiria vyovyote vya tahadhari, jambo linaloongeza hatari ya...
Wakati Waziri Mkuu Nchemba anaanza kazi, alisema Serikali ya Awamu ya Sita inaenda kudeal na mambo ya mtu mmoja mmoja. Akitolea mfano kwamba mambo ya barabara za lami kuunganisha makao makuu ya...
Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, nina kero juu ya Mkuu wa Wilaya ya Ngara, anaitwa Mathias Kahabi.
Mkuu huyo wa Wilaya ana tabia ya kudhalilisha na kutukana watumishi ikiwa ni...
Pembezoni mwa Hombolo Dam serikali ilikuja na project ya kupanda miti
Na kukafanyika uzinduzi, mahema , misafara ya viongozi. Kumbuka hekaheka zote hizi zinafadhiliwa na pesa za walipa kodi...
Naandika hapa nikiwa nimejawa maswali yasiyo majibu hasa baada ya kuona ndugu yangu akiishi kwenye mazingira magumu sana mara baada ya kupata Ajira tangu mwaka jana, alitakiwa kupewa pesa ya...
Eneo la wazi la Biafra Kinondoni limebeba kumbukumbu na historia ya makuzi ya watu wengi kwa miongo kadhaa. Wengi wetu tumelikuta kama sehemu ya michezo, mikutano ya kijamii na hata sehemu...
Serikali yetu tukufu ya awamu ya 6 chini ya Dr. Samia Suluhu Hassan tunaomba mliangalie hili swala la Makato ya mishahara kwa walimu kwenda kwenye CHAMA CHA WALIMU ni makubwa sana.
Nashauri toeni...
Mnamo mwaka jana 2025 mwanzoni, serikali ilitangaza kuboresha barabara ya Kinondoni kuanzia Wakulima Road (usalama) mpaka Mtaa wa Binti Matola (mtaa opposite na mwembe jini, unaoenda mpaka V Ways)...
Wakazi wa Kimanga, Dar es Salaam, wataanza kukumbana na adha ya usafiri kuanzia kesho baada ya wamiliki wa daladala zinazotoa huduma katika barabara hiyo kutishia kuanza kugoma.
Hatua hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.