Hii ndiyo kitu watanzania tunataka, huenda muswada wa marekebisho ya sheria mbali mbali hasa kuhusiana na sheria ya utoaji wa mikopo ya elimu ya juu ukakwama na kujadiliwa tena mwezi wa nne baada...
Habari za jioni Wanajamiiforum? Nimekuwa nikifuatilia session ya jioni ya Bunge,kubwa likiwa ni mjadala wa mabadiliko ya sheria mbalimbali.Mchangiaji wa kwanza, baada ya hotuba ya kambi rasmi ya...
Kwa wale tuliokuwa tumeganda kwenye runinga kuona bunge la leo na kauli ya serikali tumekwama baada ya kwanza umeme kukatika halafu baada ya kuwasha generator letu tukakuta Star TV na TBC nao...
Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee
Wabunge vijana jana waliishambulia serikali wakisema imeweka vikwazo kwa vijana kupata ajira na kutoa upendeleo kwa wazee katika ajira nyingi za umma hasa...
wana JF kuna wakati naona huwa tunatumia vibaya uhuru wa kuongea tulio nao. NI mejaribu kuosma hii excerpt kutoka kwenye gazeti la Guardian Online version la tarehe 23 Januari. Mh mbunge John...
Wiki mbili tangu mgomo wa Madaktari uanze, lawama nyingi zimekuwa zikirushwa kwa Madaktari wenyewe na zaidi kwa Serikali. Swali langu ni je kama ni dhambi ya kuua wataipata Madaktari na Serikali...
MAONI YA MSEMAJI WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI, WIZARA YA SHERIA NA KATIBA, MHESHIMIWA TUNDU A.M. LISSU (MB.)KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA MAREKEBISHO YA SHERIA MBALIMBALI (NA. 2) YA MWAKA 2011...
Nimeshutushwa sana na tuhuma za mbunge wetu wa kuteuliwa Mama Gratruda Rwakatare kuhusu undani wake kutoka katika gazti la kufuatilia mambo ya watu Binafsi yaani ya Udaku yanayotoka Kila ijumaa...
Je kuna kuna data zozote ambazo tunaweza kupata kujua gharama na athari za mgomo ni kubwa kiasi gani. Nadhani imefika wakati tunahitaji kuanza kuongea na viongozi wetu kwa namba, na kuwashitaki na...
Henry Banda mtoto wa rais wa zamani wa Zambia amekimbilia nchini Kenya kukwepa kukamatwa kwa ufisadi uliotokana na matumizi mabaya ya madaraka ya baba yake. Je akina Ridhiwan hili...
Kuna kikao cha siri kimefanyika usiku huu na wabunge wa CCM wameazimia kumng'oa Waziri wa Afya. Si ajabu kesho tukiona wakimshinikiza kwa nguvu zote aachie ngazi.
Wasiwasi wangu ni kuwa watatoa...
Kuna tetesi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Mheshimiwa Mbowe anaingia leo mjini Washington DC pamoja na ujumbe wake ili pamoja na mambo mengine, azungumea na Watanzania walnaoishi huko Marekani na...
Hali ya uchumi ni mbaya zaidi na viongozi wetu wamekuwa wakitupa data zisozo na ukweli hata kidogo kuwa uchumi unakuwa vizuri. Tumeona serikali ikishindwa kukabiliana na mambo mengi ambayo...
Madaktari watikisa Bunge
Serikali yalazimishwa kutoa maelezo
na Waandishi wetu
Tanzania Daima
MGOMO wa madaktari umelitikisa Bunge ambapo sasa limetishia kutoendelea na shughuli...
Jamani mimi nafikiri kwa kuwa nyumba za shirika la nyumba ni mali ya umma kwa nini Bunge lisitunge sheria kwamba watumishi wa umma kama walimu na madaktari kisheria wakapewa kipaumbele kupangishwa...
Ninakosa imani na SPIKA na NAIBU wake kwakushindwa kulipa suala la mgomo wa madaktari kipaumbele na kuruhusu lijadiliwe na wabunge kama hoja ya dharura kutokana na sintofahamu ya tamko rasmi la...
Ninakosa imani na SPIKA na NAIBU wake kwakushindwa kulipa suala la mgomo wa madaktari kipaumbele na kuruhusu lijadiliwe na wabunge kama hoja ya dharura kutokana na sintofahamu ya tamko rasmi la...
Naomba tukumbushane matukio, hoja na vioja vilivyotokea ambavyo haijulikani hitimisho ilikua ni nini. Hii itatusaidia watanzania kuachana na kasumba ya kwenda na upepo ili tuweze kufikia suluhu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.