Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Japo nina ushahidi wa kutosha kuhusu kilichofanywa na majasusi hasa kwenye kura za urais lakini naomba nisizungumzie uchakachuaji kabla ya kuzungumzia udini. Ni dhahiri wengi wamempigia kura Dr...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Haya wadau wa CCM ughaibuni na vijimatawi vyenu uchwara mko wapi? Mbona kimyaaaa? Wananchi bongo wameshaanza kutia akili na kubadilika na ninyi mlio ughaibuni tulitegemea ndio mtakuwa wa kwanza...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Leo asubuhi nimecheck TBC1, kinana anasema 'kupanuka kwa demokrasia na kuongezeka kwa uelewa wa mambo ya siasa katika jamii' ni baadhi ya sababu ya ccm kupoteza viti vingi ukilinganishwa na mwaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
katika jamii iliyo makini kuna sababu kwa Basil Mramba KUWAOMBA RADHI WATANZANI Kwa kauli yake ya kusema NDEGE ya raisi lazima Inunuliwe hata mkila NYASI Heri angesema tule majani maana hata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tumeona ....Hawaaminiki,Lkini hatujui kama mheshimiwa ataamua kuwajaza tena ktk uwaziri..or kwakuwa amepiga kazi mwenyewe ..basi hatajali kulipa fadhila...??
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Rejea umati wote uliokuwa unakulaki,wengine kukuita Mussa kuokoa wanaisrael,wengine mkombozi, eti leo unapata kura kidogo namna hii, Sio kweli kabisa eti wajiandikishe watu laki moja halafu...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Mwenzenu napata taabu kidogo, sijui jinsi gani Mheshimiwa huyu ashawishiwe na kukubali ombi hili. Natamani sana John Pombe Magufuli awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kama sio sasa kwa...
14 Reactions
315 Replies
39K Views
Nimeangalia live ya Kipindi cha Mchakato Majimboni kinarushwa live na TBC-1 na mpaka sasa kinaendelea, nimewasikiliza wagombea wote, kwa maoni yangu, ubunge wa Ubungo, njia ni safi na nyeupe kwa...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
KATIBU mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Willbroad Slaa amesema anazo nyaraka maalumu za CCM zinazowaagiza wakuu wa wilaya kuwaita wafanyabiashara ili wakichangie chama hicho...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Watanzania wengi watakumbuka kwamba suala la madini kunufaisha umma wa watanzania limesimamiwa ipasavyo na Mhe. DR. Jakaya Mrisho Kikwete katika kusimamia na kutekeleza Ilani ya CCM kama...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mabere Nyaucho Marando Through The Seasons:The Purpoted Senior Lawyer? From a scratch.UDSM,law industry,business,to politics.Who is he and should we discuss this?His past,future,aspirations...
0 Reactions
46 Replies
10K Views
Wanabodi, Tangu kuanza kwa kampeni, Ijumaa iliyopita, ni jana, leo na kesho, ndio nimepata nafasi kutulia nyumbani kufuatilia uchaguzi kwenye Electronic Media. Jana nimeshuhudia TBC ikionyesha...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Askofu Mokiwa: Kuleni hela za wagombea, kura msiwape Monday, 04 October 2010 07:56 0 Askofu Mkuu wa kanisa la Anglican Tanzania,Valentino...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Sababu kwa nini nasema inaweza kutokea vurugu mwaka huu vyombo vya Habari TBC1,ITV na Radio nyingine kupendelea upande mmoja vyombo vyote vya usalama kupendelea upande wa CCM TUME YA uchaguzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sasa ni wazi, kuna jitihada za chini chini kupunguza kura za urais za Dr. Slaa. Wazalendo ambao ni wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo 5 wametuthibitishia kuwa, wamekuwa katika wakati mgumu huku...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Mojawapo ya mada ambazo sijazigusa kabisa kwenye mtandao huu na hata kwenye makala zangu nyingine ni suala la wizi wa kura. Watu wengi wana wasiwasi sana kuwa kuna uwezekeno...
0 Reactions
188 Replies
14K Views
Ndugu mfanyakazi, Baada ya taasisi mbalimbali kutoa matokeo yake, ni nafasi ya wafanyakazi na sisi kushiriki katika utafiti huu ambao ni jukwaa la wafanyakazi kutoa maoni yao Tafadhali...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Huyu jamaa kaishiwa namna hii? Nimeona kipindi TBC sikuwahi kukiona nikashangaa jamaa nanvyoongea upupu kama Mrema. Duh
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Waandishi Wetu Raia Mwema Agosti 4, 2010 Wasema rushwa ilikua nje-nje TAKUKURU walizidiwa ujanja Nguvu za nje zatumika MCHEZO mchafu katika kusaka ushindi wa kura za maoni nafasi ya ubunge...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom