CHADEMA yawatahadharisha Uzini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA yawatahadharisha Uzini

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by abdulahsaf, Feb 3, 2012.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [TABLE]
  [TR]
  [TD="bgcolor: #ffffff"][TABLE]
  [TR]
  [TD]

  na Nasra Abdallah, Zanzibar

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [TD="width: 140, bgcolor: #ffffff"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][TABLE]
  [TR]
  [TD]CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimewataka wakazi wa jimbo la Uzini, kutokubali kuwa kama kuku wanaorushiwa mahindi pindi wanapotakiwa kuchinjwa.

  Wito huo ulitolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi na Kampeni wa chama hicho, Msafiri Mtemelwa, katika mwendelezo wa kampeni zao ambapo juzi walifanya mkutano wa hadhara katika Shehia ya Umbuji na Miwani.

  Mtemelwa alisema mahindi anayozungumzia ni kanga, mchele na fulana ambazo zimekuwa zikitolewa na CCM ili kuwashawishi kukipigia kura chama hicho halafu uchaguzi unapokwisha wanawasahau kabisa.

  Alisema enzi za kudanganyika na vitu vya aina hiyo vimepitwa na wakati na kuongeza kwamba wananchi kwa sasa wanatakiwa kuangalia mustakabali wa maisha yao na vizazi vijavyo kwa kuwa vitu wanavyopewa hutumika ndani ya muda mfupi.

  Naye mbunge wa viti maalum Pemba, Raya Ibrahim, alisema kitendo cha CCM kuwaletea wananchi wa Uzini mgombea ambaye si mzaliwa wa jimbo hilo ni matusi makubwa kwao.

  Raya alisema kitendo hicho kimejenga picha mbaya kwa wananchi kwamba jimbo hilo halina watu wanaofaa kuongoza au waliosoma; kwamba itamuwia vigumu kiongozi wa namna hiyo kuwakumbuka wananchi waliomchagua.

  Naye Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Hamad Musa Yusuph, alisema kwa mwaka huu wamejipanga vilivyo na hawatakubali kuchakachuliwa kura zao kama ilivyokuwa kwa uchaguzi uliopita.

  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,843
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Well Said!!
   
 3. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Tatizo kubwa la watu wa visiwani ni kupenda ubwabwa wa bure!
   
 4. 1

  19don JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hongera makamanda hakuna kulala hadi kieleweke
   
 5. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Dalili nzuri!!
   
 6. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Uchaguzi ni lini vile wanaJF?
   
 7. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Viva CDM chukueni Uzini
   
 8. K

  Kishili JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 293
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  CDM ni hatari na waliokuwa wakisema ni ya wachaga wameishiwa, wanaumbukaa
   
 9. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,999
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Na hio ndio technic kubwa ya magamba.
   
 10. T

  Tanganyika2 Member

  #10
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :juggle:
   
 11. T

  Tanganyika2 Member

  #11
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tusubirii...
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Feb 3, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Wako kwenye kampeni au kwenye shughuli za kutambulisha Chama? Maana CHADEMA kwa Zanzibar ni Chama kipya!

  View attachment 46608
   
 13. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #13
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  Tatizo la cdm bla bla nyingi haf mwisho wa cku mnalia kuibiwa kura, kazeni buti mcje mkaleta nyimbo za igunga bana ebo!
   
 14. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #14
  Feb 3, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hata kama wanatambulisha chama ni hatua nzuri pia
   
 15. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #15
  Feb 3, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kama mmegundua kwamba siri ya ushindi ni ubwabwa, wapeni huo ubwabwa ili mshinde!
   
 16. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #16
  Feb 3, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Sawa, lalini wajue kwamba bado wanayo kazi kubwa maana hata huku Tanzania bara bado hawajulikani katika maeneo mengi.
   
 17. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #17
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kwel mfano wa kuku iddir fitr then ukimla basi.tuweni punda basi wazanzibar ili hata wakitupata mateke tumewapa.
   
 18. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #18
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Haina maana kuishi umepiga magoti, heri ufe umelala. Wana Uzini umefika wakati wa kusema HAPANA CCM na HAPANA CCM B,putueni muwakombee wazanzibari
   
 19. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #19
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Afadhali ya haya kuliko wale Watanganyika wanaopenda kuhongwa rusha ya pombe!
   
 20. amba.nkya

  amba.nkya JF-Expert Member

  #20
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 431
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Kweli we kenge kwenye maji ambaye haelewi mambo yanavyoendelea, CDM si chama kipya ZNZ kinajulikana sana na kina wanachama, hivyo subiri matokeo uone......!
   
Loading...