DEATH ANNOUNCEMENT
Somaiya Family regrets to announce the sad and sudden demise of Mr Tanil Chandulal Somaiya on Wednesday 11 August in Dar es Salaam.
Funeral details to be announced later.
We...
BURIANI BABA, RAFIKI NA MZUNGUMZAJI WANGU BALOZI ABBAS KLEIST SYKES
Mwezi October 1999 nilikuwa Dubai na nikikaa Carlton Hotel.
Siku moja jioni simu yangu ikalia.
Walikuwa BBC London Idhaa ya...
Wakuu nasikitika kutangaza kifo cha diwani huyo na mwana JF mwenzetu.
Diwani Kata ya Shelui, Wilaya ya Iramba, Mkoa wa Singida kupitia chama Cha Mapinduzi CCM, Agnes Nasania Amos amefariki dunia...
Wakuu,
Heche kupitia mtandaoni ametangaza kifo cha mwasisi wa chama chao CHADEMA, Mzee Edwin Mtei baada ya familia kuthibitisha huku mipango ya mazishi ikiendelea nyumbani kwake Tengeru, Arusha...
Mama Mzazi wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, Suzana Magufuli amefariki dunia leo Mei 25, 2026, Chato Mkoani Geita baada ya kuugua...
Kuna taarifa kuwa Anna Maulidah Valerian Komu, ambaye alikuwa ni mmoja kati ya walalamikaji katika shauri la mgawanyo wa rasilimali za CHADEMA, amefariki dunia. Mazishi yatakuwa kesho.
Mama huyu...
Aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni na Mstahiki Meya Mstaafu wa Jiji la Zanzibar, Ndg. Mahmoud Muhammed Mussa amefariki Dunia leo Aprili 6, 2026.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na...
Aliewahi kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania jimbo la kilwa kupitia CUF ndugu seleman said bungala amefariki dunia leo akiwa hospital ambako alikuwa akipatiwa matibabu.
18...
Rais Samia, amesikitika kutangaza kifo cha William Vangimembe Lukuvi (Mb.), aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) pamoja na Mbunge wa Jimbo la...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Wilaya ya Iringa mjini, Frank Nyalusi amefariki Dunia Usiku wa kuamkia Leo Ijumaa Septemba 19, 2025 katika Hospitali ya rufaa ya Iringa alipokuwa...
COMMENTS ZIWE FUPINFUPI
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, Mhuli Ngeleja amefariki Machi 18, 2026 huku CCM ikimtaja kama kiongozi shupavu na mwadilifu...
Amefariki mchana wa leo, Hospitali ya Taifa - Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Kila nafsi itaonja mauti - naam, sisi ni mavumbi, na mavumbini tutarudi
Pia soma
Rais Magufuli amrudishia...
Diwani wa CCM Kata ya Mzimuni katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Mheshimiwa Manufred C. Lyoto amefariki dunia leo Machi 7, 2026
Taarifa za kifo chake zimetolewa na Mwenyekiti wa CCM...
Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, Samwel Gunzah, amefariki dunia akiwa gerezani wakati akitumikia kifungo chake.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, Gunzah alikuwa...
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Itilo na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Nzega Mji, Wilayani Nzega kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Paschal Kigaru amefariki Dunia kufuatia ajali ya barabarani ambayo...
Wanajumuia,
Familia ya Professa James Shaba inasikitika kuwatangazia kuwa Mzee wetu Professa James Shaba amemaliza safari yake hapa duniani. Mzee wetu ametutoka jioni ya leo siku ya Jumanne...
Anaandika Boniyai kutoka Account yake ya X
======
Ali Mohamed Kibao Ameuawa
Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu umekutwa hospitali ya Mkoa wa...
Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif amefariki ktk Hospitali ya Muhimbili. Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametangaza siku 7 za maombolezo ya Kitaifa...
Mbunge wa zamani katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Munde Tambwe amefariki Dunia Usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa kipindi sasa.
Katika uhai wake, marehemu Munde alikuwa...
Naibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda amefariki Januari 29, 2026 majira ya Asubuhi katika Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza alikokuwa anapatiwa Matibabu.
Huyu jamaa alokufa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.