Mh. Lema inakuwaje Meya umualike awe mgeni rasmi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Lema inakuwaje Meya umualike awe mgeni rasmi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GeniusBrain, Feb 2, 2012.

 1. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kwenye taarifa ya habari ya RADIO ONE ya saa 1 asubuhi ya leo (02.02.2012) . Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo la Arusha ulitoa misaada mbali mbali kwa watoto wanaoishi kwenye mazingira hatarishi ambapo mgeni rasmi alikuwa Meya wa mji wa Arusha Gaudence Lyimo. My take : Mfuko wa jimbo huongozwa na mbunge wa jimbo husika, ambapo mbunge wa Arusha mjini ni Mh. G.Lema. Ilikuwaje Mh. Lema amualike meya ambae yeye aliisha sema hamtambui kuwa mgeni rasmi?. Au ndio kusema Mh. Lema ameisha anza kumtambua Meya kidogo kidogo na hivyo kuanza kula matapishi yake mwenyewe?
   
 2. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,248
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Siasa za arusha unazitambua kiundani mkuu?
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Peleka FB huu udaku
   
 4. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nazitambua sana na jibu hoja sasa

   
 5. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  Udaku vipi wakati source imewekwa ? udaku ni ule ambao hauna source !

   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ni kweli umeweka source lakini bado kuna shaka, hasa ukizingatia credibility ya Mleta habari!
   
 7. S

  Sikwepeshi Senior Member

  #7
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lema yuko systematic sana na ,mambo yake,labda aje jamvin ajibu mwenyewe.kwa ninavyomfahamu hawezifanyau saliti
   
 8. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #8
  Feb 2, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,364
  Trophy Points: 280
  labda kazamia hafla huyo meya
   
 9. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #9
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Mtoa mada hajatendewa haki..hoja haijibiwi!
   
 10. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #10
  Feb 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  lema amegundua kuwa alikuwa mpumbavu ndio mana ameamua kuwa mpole tu
   
 11. ha ha ha

  ha ha ha JF-Expert Member

  #11
  Feb 2, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 641
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  thats politics! from this angle looks black, from that one its white...
   
 12. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #12
  Feb 2, 2012
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lema ni mtu mwenye msimamo dhabiti anapigania siku zote haki na utu wa mwanadamu,hawezi kufanya ujinga kama huo hata siku moja!
   
 13. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #13
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Haya ni matokeo ya fundisho alilopata Lema kwenye gereza la Kisongo.
  Amabadilika sana, hata jazba za shari alizokuwa nazo siku hizi zimeisha.

  Tusimbeze, tumpe moyo. Nuru ya ustaarabu imeanza kumwaangaza.
   
 14. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #14
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lema yuko Bungeni itakuwaje amwalikr Limo?


   
 15. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #15
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280

  Mkuu wangu ukimfuatilia Lema na siasa zake za kitoto mwisho wa siku utaonekana mjinga.

  Nilisema na nitaendela kusema Meya wa Arusha au sehemu nyingine ya JMT anatambuliwa na sheria pamoja na kanuni tulizojiwekea.Meya wa Arusha haitaji kutambuliwa na Mheshimiwa Lema kwakuwa ni mbunge wa Arusha suala hili halihitaji utumie akili nyingi.

  Sheria iko wazi iwapo mtu/mwanasiasa/madiwani/chama cha siasa hakikuridhika na utaratibu wa uchaguzi wa Meya atatakiwa kupinga mahakamani ndani ya siku 30.Badala ya kufuata utaratibu wa mahakama ukabuniwa utaratibu wa maandamano ambayo mpaka leo hayajazaa matunda yoyote bado G Lyimo ni Meya wa Arusha na ataendela na wadhifa wake mpaka mwaka 2015 !.

  Mashabiki wa CDM niliwaambia wakanikatalia leo ukigusia suala la Meya wanaweweseka.
   
 16. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #16
  Feb 2, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lema kigeugeu
  wanasiasa vigeugeu
  chadema kigeugeu.

  wimbo unanikumbusha mbali.
   
 17. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #17
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Mkuu Pakajimmy.

  Maaskofu wa KKKT na Catholic mwanzoni walimpinga sana G Lyimo siku hizo wako pamoja wanapiga mzigo siasa za kitoto wameweka pembeni.


   
 18. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #18
  Feb 2, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Madiwani waliingia kwenye vikao vya baraza la madiwani wakafukuzwa uanachama? au na Lema atafukuzwa?
   
 19. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #19
  Feb 2, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mchaka Mchakani,

  Unategemea haki JF hasa linapokuja suala lenye mtazamo hasi dhidi ya kiongozi wa kile chama chetu ha ha ha ha ha.


   
 20. H

  House1932-1951 Member

  #20
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe ni mumwi au sadock, Lema in mjanja mno kuliko uwezo wa mleta thread kama anabisha athibitishe.
   
Loading...