Deo Furikujombe asema wabunge wana stress sana

TODO

JF-Expert Member
Jul 14, 2011
219
62
Anasema wanasiasa hasa wabunge wanakuwa na stress sana kwa kuwa wakati wapo kwenye shughuli za maendeleo huku watu wengine wakiendeleavna siasa jimbon kwake.kaamlika dr.wa saikolojia akawakoe wabunge
 
Wakitaka watu wasiukimbilie ubunge wapunguze malupulupu na mishahara. Mshahara uwe laki 3 na dsa isizidi laki. Hakuna mtu atakimbilia huko
 
Kwasababu wanapitapita kila wizara kutafuta maslahi yao; wanagongana na local investors, foreign investors, matapeli, mafisadi, wachoyo

Wakati wa Nyerere... ni Wabunge tu ndio waliokuwa wanazurura hayo maeneo nyeti halafu wao ndio waliokuwa middlemen sasa hivi hakuna hiyo
 
Ndio Maana Wanalala Bungeni lakini wanapata hizo 200,000 bila tatizo

419756_223593481065940_100002458688809_480537_1503040120_n.jpg
 
Kwa kujiongezea posho ya 330,000/= kwa siku hata sie tunautaka ubunge, tutafanya siasa sana majimboni mwenu wallah!
 
mtu kama padri slaa muda wote anawaza maandamano na fujo unategemea nini?
 
Anasema wanasiasa hasa wabunge wanakuwa na stress sana kwa kuwa wakati wapo kwenye shughuli za maendeleo huku watu wengine wakiendeleavna siasa jimbon kwake.kaamlika dr.wa saikolojia akawakoe wabunge

Hofu wanayo wale wote waliochakachua. Ila kwa walioshinda kihalali kama akina Lisu ahhh hawana shaka kabisa. So kwa kuwa naye alichakachua anahic mambo yaweza tibuka anytime
 
Anasema wanasiasa hasa wabunge wanakuwa na stress sana kwa kuwa wakati wapo kwenye shughuli za maendeleo huku watu wengine wakiendeleavna siasa jimbon kwake.kaamlika dr.wa saikolojia akawakoe wabunge

Si alisign kama kazi imemshinda? Hayo mastress mnajitakia wenyewe, na sababu ni moja tu, mmebadilisha kabisakazi yenu ya Ubunge ya uwakilishi, kuwa mbunge ni mtu wa kutatua matatizo ya watu jimboni mwake, kuanzia famili issues mpaka za kimaendeleo. Sasa kwanini usiwe na stress? itakuwaje wewe usolve matatizo ya watu wa jimbo lote, is it possible? is there a meaning?
 
Anasema wanasiasa hasa wabunge wanakuwa na stress sana kwa kuwa wakati wapo kwenye shughuli za maendeleo huku watu wengine wakiendeleavna siasa jimbon kwake.kaamlika dr.wa saikolojia akawakoe wabunge
Alikwambilia wapi hayo maneno Huyo Furikujombe AKA. Filikunjombe? Usitulete uzushi na wewe na habari zako za kijiweni....
 
Lilikuwa ni somo la 'stress management' kwa stake holders wa nssf. Mwezeshaji was so good beyond kila mmoja. Alifafanua namna stress inavyozikumba familia, watoto, wazazi, makazini, etc. Filiunjombe akasema stress ni somo zuri kwa wabunge, as well.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom