Mi ni mfanyabiashara wa nguo za mtumba, mabelo tunayofungua kipindi hiki ni tofauti sana na miaka ya nyuma hasa kabla ya bandari kubinafsishwa, changamoto ni kuwa kipindi cha nyuma mizigo ilikuwa...
Kumekuwa na malalamiko yanayoashiria uwezekano wa matumizi mabaya ya fedha, ambapo baadhi ya viongozi wanadaiwa kunufaika zaidi na mapato ya hospitali huku watumishi wanaochangia kwa kiasi kikubwa...
TECU imekuwa kichaka cha mameneja wa Mikoa na baadhi ya watu kutoka TANROADS HQ kujinufaisha, wamekuwa wakiweka figisu miradi mingi isimamiwe na TECU ili waendelee kupata fedha bila kazi.
Private...
Siku ya tarehe 26 mwezi 5, 2026 mhakiki mali wa Tabora au dalali wa Serikali ambaye ni mtumishi wa Serikali chini ya hazina kaficha baadhi ya magari taktibani 5 ya mnada uliokuwa Tabora kama Land...
Ofisi ya Rais – TAMISEMI imemhamisha aliyekua Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mpimbwe kwenda halmashauri ya Mji Nanyamba huku akiwa na tuhuma za wizi wa fedha za serikali.
TAKUKURU wilaya walikuwa...
Kiwanda cha Dawa kilichopo Keko (Keko Pharmaceutical Industries - 1997) ambacho kilichukuliwa na Serikali Mwaka 2019 kinavyoachwa kuteketea bila sababu yoyote huku kikiwa chini ya Serikali kwa...
Sijui ni wangapi wamewahi kukumbana na na matatizo ya vodabima.
Kwa uzoefu wangu, mara tatu imetokea unalipa bima ya gari kupittia vodabima. Unapata ujumbe kuonesha pesa imetoka kulipia bima ya...
Tanzania hii hasa Tanganyika hali ni tete kwa sasa nipo Morogoro, nashuhudia mashindan ya kupandisha nauli kwa vyombo vya usafirishaji huku wakida EWURA imepandisha bei ya mafuta, wapo...
Nimeona taarifa kuwa Kituo cha PPP-CENTRE kimesema zaidi ya mabasi 150 ya kampuni ya Mofat yameegeshwa kwa zaidi ya miezi sita kutokana na ukosefu wa maeneo ya kutoa huduma, huku mabasi 50 pekee...
Vita ya marekani na Irani imepelekea bei za mafuta kupanda duniani,
Kupanda kwa mafuta kumesabisha kupanda kwa nauli kwenye kila aina ya usafirishaji kitu ambacho kimesababisha ukali wa maisha...
Tumepoteza vijana zaidi ya 34 mpaka sasa kwamba hawajulikani walipo kumbe wameuwawa
Mdude Nyagali
Deusdedith Soka
Chaula
Na wengine wameuawa tayari
Endelea kutega sikio Nani kamuua na lini...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe Jumapili ya Leo
Wanabodi, msituone Waandishi wa Habari na Watangazaji wa Tanzania, kama ni waoga waoga, na vyombo vya habari vya Tanzania...
Sasshivi wanamiradi iko Tanga na wanaiuza kwa raia wa Zanzibar, nimekwenda kuuliza endapo wana miradi Zanzibar wameniambia ipo, baada ya kuonesha nia ya kununua wakaniambia siruhusiwi maana mimi...
Hii ilikua jana , huyu Polisi alizikusanya Bajaji na kuchukua Rushwa ya kati ya 3000 hadi 5000 kwa Bajaji, Takribani Bajaji 6 wakati huo zilikua zimekamatwa hapo
Mkuu,
Kama ulikuwa unabet basi umelenga palepale.
Siyo kubet mkuu ! Subiria hata Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja Baada ya ziara ya Kusini Katavi, Nape na Makamba wanatemwa
Pia soma...
Ni muda sasa nimekuwa nahudhuria kusikiliza kesi za ndugu/marafiki katika mahakama hii ya mwanzo Arusha maarufu kama Mahakama ya Maromboso, hasa kesi zinazo sikilizwa na mfawidhi wa hii mahakama...
Kampuni ya CCECC inayohusika na ujenzi wa reli ya SGR ya Mwanza Isaka imewapa termination letter wafanyakazi wote waliokuwa katika mradi kutokana kukosa fedha ya kuendeshea mradi. Wakati wa...
Ukifuatilia ziara ya Waziri Mkuu Dr. Mwigulu Nchemba ya hivi karibuni; utabaini kuwa kuna mamia kwa maelfu ya wananchi hujitokeza kwenye mikutano yake wakiwa na mabango, mafaili, nyaraka za...
Wadau wa JamiiForums, habari zenu.
Jana, Machi 26, 2026, Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) ilitoa tangazo ambalo linataka kila mtu au taasisi inayokusanya na kuhifadhi taarifa za watu...
NB: Picha kutoka mtandaoni
Lilikuwa ni wazo jema sana kuanzisha kampuni za uzoaji taka kwenye Jiji na hata kwenye maeneo ya makazi ya watu ili kuweka Jiji safi na kuondoa taka mitaani ili kuuweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.