Kumbe Werema ni mwoga!

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,797
12,239
Baada ya kubanwa sana na pia kuzomewa na wabunge jana jioni wakati akitetea hoja ya marekebisho ya sheria mbalimbali aliyowasilisha bungeni, alianza kutoa vitisho kuwa hajafukuzwa ujaji huko akitoa macho kama kuku aliyekabwa na mfupa wa samaki!
 
werema-hoi-bungeni.jpg

Mwansheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema akipoza koo lake kwa kunywa maji baada ya wabunge kukataa kupitisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali wa mwaka 2011, mjini Dodoma jana.​
 
Hahahahahaaaa!!!!!
anaweza akayaona hayo maji ni machungu kama konyagi pori!
 
Baada ya kubanwa sana na pia kuzomewa na wabunge jana jioni wakati akitetea hoja ya marekebisho ya sheria mbalimbali aliyowasilisha bungeni, alianza kutoa vitisho kuwa hajafukuzwa ujaji huko akitoa macho kama kuku aliyekabwa na mfupa wa samaki!
Vipi hakuwa na sime na rungu kiunoni? Maana hao jamaa huko kwao ndiyo zao, hadi disco na rungu na sime!!!
 
Makubwa kwa hiyo anataka aache U- AG ili awe jaji tena?
 
Alikuwa anaangalia mabenchi ya CDM kama nyati aliyejeruhiwa!
 
Ukweli nakereka sana na huu mfumo wa mwanasheria mkuu wa serikali kulumbana na wabunge. Ni mfumo mbovu mbovu mbovu sana. Bunge ni sehemu wa wawakilishi wa wananchi, mwanasheria mkuu anatafuta nini bungeni? Katiba mpya iseme kabisa bunge ni wa wabunge tu, wengine wote watakaa maofisini mwao na kama watahitajika basi utaratibu mwingine utumike, kwa mfano mwanasheria mkuu angeitwa (kama wanataka maelezo yake) kwenye vikao vya kamati za kudumu za bunge. basi.
 
hahaaaaa werema weeeeeee...unadhana U AG nikama kula makange pale rose garden...watu wanasoma vitu usifikiri hili ndo lile bunge lenu la miaka yote na akina hamijeeei
 
Makubwa kwa hiyo anataka aache U- AG ili awe jaji tena?

Alidhania U-AG ni kazi rahisi kama kusikiliza hoja za mawakili. U-AG ni pamoja na kukabiliana na changamoto kama hizo na kujibu hoja na si kutoa vitisho!
 
"Learned Brothers" wote alionao AG ofisini kwake bado anaandika miswada hovyohovyo. Anatolewa kamasi na akina Mnyika, Andungulile ambao ni "Bush Lawyers"!
 
Chadema wamekamilika pande zote hakuna jinga na ni mabingwa wa kujipanga na kushambulia,sambamba na kazi majimboni mwao
 
Ukweli nakereka sana na huu mfumo wa mwanasheria mkuu wa serikali kulumbana na wabunge. Ni mfumo mbovu mbovu mbovu sana. Bunge ni sehemu wa wawakilishi wa wananchi, mwanasheria mkuu anatafuta nini bungeni? Katiba mpya iseme kabisa bunge ni wa wabunge tu, wengine wote watakaa maofisini mwao na kama watahitajika basi utaratibu mwingine utumike, kwa mfano mwanasheria mkuu angeitwa (kama wanataka maelezo yake) kwenye vikao vya kamati za kudumu za bunge. basi.

Kimsingi mimi nakubaliana na utaratibu wa AG kuwepo bungeni lakini wajibu wake uwe kutoa tafsiri na miongozo ya kisheria pale wabunge wanapokosea au kuteleza katika kutoa tafsiri ya kanuni za bunge. Hivyo yeye ni mtu muhimu sana kuwezesha majadiliano ya hoja kujadiliwa bila kupindisha Katiba, Sheria, Kanuni na maadili ya Taifa.
 
kilaza mkubwa huyo anaidhalilisha sana taaluma ya sheria pamoja na kazi ya ujaji
 
Hakuna kulala hapo si walizoea yale mabunge yao ya zamani ya ndio mzee, kusinzia hovyo na kuishia kupiga makofi.
 
Cdm wakikaza hivi hadi 2015 haki ya Mola magamba 2tayafukia mwk 2015 bla jasho!Magamba nmegundua ni wachovu kinoma, ndo mana werema anajing'atang'ata tu!
 
Kimsingi mimi nakubaliana na utaratibu wa AG kuwepo bungeni lakini wajibu wake uwe kutoa tafsiri na miongozo ya kisheria pale wabunge wanapokosea au kuteleza katika kutoa tafsiri ya kanuni za bunge. Hivyo yeye ni mtu muhimu sana kuwezesha majadiliano ya hoja kujadiliwa bila kupindisha Katiba, Sheria, Kanuni na maadili ya Taifa.

Ni sawa lakini si kwa mtu kama Fredric Werema, jana kaingia kwenye tafsiri feck aliyoitoa Mnyaa na Nagu ya kanuni za bunge za kudumu kanuni namba 69, sasa ni mwanasheria gani kilaza namna hiyo hadi anaingia kwenye mitego ya wanasiasa naye anajikanyaga yaani hata mimi nisiyemtaalam wa sheria nilijua kapotoka, na kama si kamanda Tundu Lissu Bunge jana lingefanya kosa kubwa sana.Na hii ndiyo sababu ya kuteuana kiundugu, kishikaji na kiswahiba, werema hana sifa ya kuwa mwanasheri mkuu.
 
Back
Top Bottom