Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

mtu anatumia hela kupata madaraka awe mbunge unategemea atajali wananchi watanzania tuwemacho na hawa wana siasa uchwara
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Amani Abeid Karume Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Amani Abeid Karume, amesema chama hicho hakina utamaduni wa kuwafukuza viongozi wake waliopewa dhamana...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
najua wengi wetu tunatamani kusikia tamko la serikali kuhusu mgomo wa madaktari.haieleweki kama serikali imewatimua madaktari waliogoma au la.haieleweki kama mgomo umekwisha au la.hatuelewi nini...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Nataka ieleweke kuwa siasa zinazochezwa na nape hakuna wa kudanganywa nazo,ati wewe Nape ndo chama kinachosimamia serikali afu unashindwa kushauri mkiwa chumbani mwenu,naona unawafanya watanzania...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Falsafa ya "Nguvu na mamlaka ya Umma" ndiyo misingi na chumbuko la ... kuundwa dola ya nchi, na kuwa Umma ndiyo wenye madaraka ya mwanzo na ya mwisho katika kuamua hatima ya nchi na taifa pasipo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naandika kwa masikitiko baada ya kukumbana na mkasa wa kushindwa kuhudumiwa katika hospitali yetu ya taifa (MNH) kwa sababu CT scan ambayo mgonjwa wangu alitakiwa kupimwa ili aendelee na matibabu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha wa 2011/2012, inayotarajiwa kusomwa katika Mkutano ujao wa Bunge, itakuwa ngumu...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Mwanzoni mimi nilitafsiri kwamba Mheshimiwa sana Juma Mnkamia mbunge wa kondoa kusini alitoka VOA kuja kugombea ubunge kwa minajiri ya kusukuma fasta gurudumu la maendeleo la jimbo lake maana Mh...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Mr. Sugu. Ukumbi wa Bunge juzi uligeuka kuwa ulingo wa kutupiana vijembe kati ya Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Watanzania wengi wameshafikia wakati wa kupelekwa kama watoto wadogo na "serikali". Nimeshangazwa na utaratibu wa wananchi kuchukuliwa mashamba, viwanja na kupewa wawekezaji. Ukiuliza ni nani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tatizo kubwa la Tanzania sio plans pekee bali ni mfumo. Hakuna maendeleo ya maana yatapatikana Tanzania kama Watanzania hawata weza jibu hili swali hapa chini. Cha kushangaza hata hapa wanajamii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CCM WAZINDUA KAMPENI UZINI(JANA) Dk.Karume ndiye aliyezindua kampeni hizi Umati wa wana CCM kwenye uzinduzi wa kampeni jimbo la Uzini jana Kampeni sasa zimepamba moto katika jimbo...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikionya wanachama wake kuacha ndoto za urais wa mwaka 2015, kauli hiyo sasa imeonekana kupuuzwa na kugeuka kichocheo cha kuongeza kasi ya kujipanga kwa baadhi ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu zangu wa JF na wa TZ kwa ujumla, tumeliwa kwenye viwanda vyetu alivyotujengea baba wa taifa JKN. Tumeibiwa katika rasilimali yetu ya dhahabu tunaendelea kuibiwa na rasilimali yetu ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
CCM kushindwa kuwa kuwavua magamba mafisadi si wakupewa nchi tena. Ndugu zangu wana JF ni vyema tuwekane sawa kwa jambo hiil ambalo sote kama WaTanzania yatupasa kulichukua kwa uzito wa aina...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
​kuna mpambano mkali katika kampeni za mitaa kwa mitaa huku vyama viwili vikichuana kwenye kunadi sera na wagombea, na mashindano makubwa yanaelekea kubadilika kutoka CCM na CUF na kuwa CCM...
2 Reactions
51 Replies
4K Views
BUNGE limeiagiza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii izungumze na Serikali na madaktari ili kumaliza mgomo wa madaktari. Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, ameitaka kamati hiyo hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mnyika ametoa hoja kuwa Sheria ya fedha haramu iingizwe kifungu cha msajili wa vyama kudhibiti fedha haramu kwenye vyama na uchaguzi. Alisoma ripoti ya utafiti Fulani (sikupata jina vizuri) wenye...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanabodi. Mada ya Kipima joto leo ITV wageni ni Dr Kitilio Mkumbo.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
TAARIFA YA KAMATI YA MUDA YA KUSHUGHULIKIA MADAI YA MADAKTARI KUFUATIA TAMKO LA BUNGE (ILIYOTOLEWA LEO KWENYE VYOMBO VYA HABARI); Baada ya taarifa ya bunge kuwasilishwa leo ijumaa, kamati...
6 Reactions
79 Replies
6K Views
Back
Top Bottom