MNYIKA aichachafya Wizara ya Afya kuhusu Madaktari

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
1,947
253
Anasema Bunge linapokea taarifa kutoka kwa Serikali kuhusiana na Mgomo wa Madakrari na bunge inaonekana halitaruhusiwa kujadili.
Mh Jembe Mnyika anasema Waziri ni watuhumiwa wa uzembe na bunge halipati nafasi ya kuwawajibisha iwapo bunge halitapewa nafasi ya kujadili.
Sasa Naibu Speaker sijui atakuwa Gamba leo?? kuhusu mwongozo kuruhusu Mjadala wa Bunge kwa Mgomo wa Madaktari.

Waziri anaongea.Acha nitawajibu muda si mrefu..Ila Mnyika Haki ya Mungu Kidume
 
anasema bunge linapokea taarifa kutoka kwa serikali kuhusiana na mgomo wa madakrari na bunge inaonekana halitaruhusiwa kujadili.
Mh jembe mnyika anasema waziri ni watuhumiwa wa uzembe na bunge halipati nafasi ya kuwawajibisha iwapo bunge halitapewa nafasi ya kujadili.
Sasa naibu speaker sijui atakuwa gamba leo?? Kuhusu mwongozo kuruhusu mjadala wa bunge kwa mgomo wa madaktari.

Waziri anaongea.acha nitawajibu muda si mrefu..ila mnyika haki ya mungu kidume
kweli ni kidume wala sio bwabwa kama magambazi
 
huyu na Tundu Lissu wananipa raha sana yaani hivi niko kazini lakini nimejifungia huku kwenye kichumba cha chai naangalia bunge mie..Akianza werema tu na Lukuvi nazima tv narudi zangu kwenye laptonga napiga kazi ado ado huku nacheki jf kuna nini ....ushanifahamu
 
Anasema Bunge linapokea taarifa kutoka kwa Serikali kuhusiana na Mgomo wa Madakrari na bunge inaonekana halitaruhusiwa kujadili.
Mh Jembe Mnyika anasema Waziri ni watuhumiwa wa uzembe na bunge halipati nafasi ya kuwawajibisha iwapo bunge halitapewa nafasi ya kujadili.
Sasa Naibu Speaker sijui atakuwa Gamba leo?? kuhusu mwongozo kuruhusu Mjadala wa Bunge kwa Mgomo wa Madaktari.

Waziri anaongea.Acha nitawajibu muda si mrefu..Ila Mnyika Haki ya Mungu Kidume[/QUOTE

KWELI NI KIDUME WALA SIO BWABWA KAMA MAGAMbAZI

Je tunaweza kuona CV ya Mnyika jamani.

Kwani nina hamu kubwa sana kuona ana shule kiasi gani huyu. Maana naona Chadema wana mpromote sana na kumkandamiza Zitto.
uwekeeni CV yake tuone shule yake sio kupewa sifa tu.

swala sio shule yake, swala ni uwezo wake. kama unataka kujua shule yake anzisha wizara yako ya watu wenye shule ili uwape kazi. Kaa kwenye hoja na uwezo na sio kiwango chake cha elimu kwani hakitusaidii. Wangapi wanashule hapo bungeni na hatuwaoni kwa lolote?
 
Je tunaweza kuona CV ya Mnyika jamani.

Kwani nina hamu kubwa sana kuona ana shule kiasi gani huyu. Maana naona Chadema wana mpromote sana na kumkandamiza Zitto.
uwekeeni CV yake tuone shule yake sio kupewa sifa tu.

Bungeni hakuna chama weweeeeeeeee, CV sio utendaji. Kwa taarifa yako walio na vyeti vingi ndo wavivu balaa. Zito kalewa sifa anajihami sana siku hizi ili asiharibu maslahi yake. Anyway mnyika ana rekodi nzuri tangu akiwa masomoni na hata Bungeni, muulize Anna Makinda atakwambia
 
ndio maana ninaomba Cv yake kwani ndanimwe nitaona hizo unazodai rekodi nzuri na mengine mengi.

Kwani naona kuna promotion nyingi sana za Mnyika lakin hakuna Cv katika tovuti ya bunge wala wapi.
Kuna siri gani kuweka CV yake hapa Ukumbini ili tumjue ana shule kiasi gani kulinganisha na hizo swifa anazopewa.

Je tunaweza kuona CV ya Mnyika jamani.

Kwani nina hamu kubwa sana kuona ana shule kiasi gani huyu. Maana naona Chadema wana mpromote sana na kumkandamiza Zitto.
uwekeeni CV yake tuone shule yake sio kupewa sifa tu.

Barubaru naona unaishi kwenye ulimwengu wa kale. Nyakati za kuangalia makaratasi ya shule ulikwishapita, siku hizi tunaangalia performance, angalia mtu anafanya nini. Elimu ni hatua ya mwanzo kwenda kwenye performance lakini yenyewe pekee yake siyo performance. Ndiyo maana kuna viongozi kama akina Kagame wasio na shahada hata moja wanaheshimika Dunia nzima huku akina Maghembe (Prof.) wakiwa si chochote si lolote. PERFORMANCE ndiyo inayoleta success and changes siyo makaratasi ya shule. Makaratasi yakusaidie kwenda kwenye performance. Kama una makaratasi lakini huwezi ku-perform you are nobody, non-material to the society.
 
  • Thanks
Reactions: FJM

Mbona chadema mnna double standard. Kule kwenye viti maalum kigezo kimojawapo kilikuwa skuli. Huku mtu akitaka kujua skuli ya mbunge imekuwa nongwa.

Kumbuka kwa swifa anazopewa siku hizi ambazo kwa kuwa sijaona CV yake popote naona kama ni promotion tu. Ndio maana naomba CV yake nilinganishe na swifa anazopewa.

Mimi binafsi nilistahajabu sana pale alipopinga kuhusu kuongezeka kwa nauli za kivuko cha kigamboni kutoka shilinh za kiTz 100 na kuwa 200.

Nilistahajabu kwa sababu bei ya kwenda kujisaidia kwenye choo cha jiji ni Tsh200 . Kwanini asilione hilo kwanza la bei ya kutumia choo akaone hilo la Kivuko.
?
lakin all in all CV yake ni muhimu sana kuiona li tujiridhishs na swifa anazopewa.

isije ikawa anapewa na kumezewa kila kitu ,yeye anakuwa msomaji

Skuli ni muhimu sana bungeni
 
Kuna umuhim sana kwa cdm kufanya mikutano ya hadhara kwa ingi mikoa ya kusini especially vijijini,ni muhim sana.
 
Je tunaweza kuona CV ya Mnyika jamani.

Kwani nina hamu kubwa sana kuona ana shule kiasi gani huyu. Maana naona Chadema wana mpromote sana na kumkandamiza Zitto.
uwekeeni CV yake tuone shule yake sio kupewa sifa tu.

Swala siyo shule wewe, swala ni mtu anaweza ku-deliver, haya mambo ya madarasa ni ya kwenu Magamba, lakini sisi tunataka watu wenye uwezo wa kutoa matokeo! Halafu aliyekuambiwa Zitto anakandamizwa ni nani, hayo ni majembe yetu chadema, acha mambo yako ya divide and rule hapa, huambulii kitu hapa!
 
Anasema Bunge linapokea taarifa kutoka kwa Serikali kuhusiana na Mgomo wa Madakrari na bunge inaonekana halitaruhusiwa kujadili.
Mh Jembe Mnyika anasema Waziri ni watuhumiwa wa uzembe na bunge halipati nafasi ya kuwawajibisha iwapo bunge halitapewa nafasi ya kujadili.
Sasa Naibu Speaker sijui atakuwa Gamba leo?? kuhusu mwongozo kuruhusu Mjadala wa Bunge kwa Mgomo wa Madaktari.

Waziri anaongea.Acha nitawajibu muda si mrefu..Ila Mnyika Haki ya Mungu Kidume
uliambiwa KIJIKE??KIDUME CHA MBEGU MWAYA
 
Mbona chadema mnna double standard. Kule kwenye viti maalum kigezo kimojawapo kilikuwa skuli. Huku mtu akitaka kujua skuli ya mbunge imekuwa nongwa.

Kumbuka kwa swifa anazopewa siku hizi ambazo kwa kuwa sijaona CV yake popote naona kama ni promotion tu. Ndio maana naomba CV yake nilinganishe na swifa anazopewa.

Mimi binafsi nilistahajabu sana pale alipopinga kuhusu kuongezeka kwa nauli za kivuko cha kigamboni kutoka shilinh za kiTz 100 na kuwa 200.

Nilistahajabu kwa sababu bei ya kwenda kujisaidia kwenye choo cha jiji ni Tsh200 . Kwanini asilione hilo kwanza la bei ya kutumia choo akaone hilo la Kivuko.
?
lakin all in all CV yake ni muhimu sana kuiona li tujiridhishs na swifa anazopewa.

isije ikawa anapewa na kumezewa kila kitu ,yeye anakuwa msomaji

Skuli ni muhimu sana bungeni

Mnyika ni msomi kama hujui, ukioneshwa CV yake kuanzia msingi, secondary...., utajiona wewe ni kihiyo kwahiyo usipime! Ila vyeti peke yake havitoshi kukufanya wewe uwe kiongozi anaye perform kama mnyika! Unahitaji other skills, Kama ni elimu Nyie magamba mmesheheni wasomi wengi sana, why are you not performing kama chadema, mnagalagazwa kila siku na chadema kwa hoja!
 
Nadhani imeeleweka, tufunge mjadala wa shule tujikite sasa kwenye mada.

Asante.
 
Back
Top Bottom