Nani Daktari wa ukweli kati ya Rais Kikwete, Mponda na Steven Ulimboka? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani Daktari wa ukweli kati ya Rais Kikwete, Mponda na Steven Ulimboka?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by shykwanza, Feb 3, 2012.

 1. s

  shykwanza Senior Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kutokana na shutuma kali na upotoshaji uliofamyea na Waziri wa Afya Mponda katika taarifa yake juu ya Mgomo wa Madaktari naomba tujadili kati hawa nani ni daktari wa Ukweli kati ya Jakaya Kikwete, Mponda, Nchimbi na Steven Ulimboka
   
 2. l

  louis ottaru Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jk honorably Dr Na co Dr by Profesional
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mponda and Kikwete are professional liers !
   
 4. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Mimi naona watanzania wengi wana ushamba wa u Dr. Cha maana ni usomi na kuwa msomi si lazima uwe Dr tofauti ni kwamba ma Dr wanafanya Research na watu wengi wanaonenda kwenye PHD programs ni kwa kufundisha. Kuna Watanzania hapa USA zaidi ya 50 wenye PHD na hakuna mtu hata mmoja ayefikiria kwamba wana unafuu wa maisha kwasababu ya hilo. Acheni hoja kama hizi ambazo hazina msingi na leteni maendeleo Tanzania. Kitu kikubwa Tanzania inahitaji ni uzoefu wa wasomi kama watu wanaofanya kazi Microsoft n.k wanaweza kusaidia kuliko hao walio wa nyuo ambao muda mwingi wametumia kufundisha badala ya kufanya kazi na kuwa wataalamu.
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kamundu acha uwongo!
   
 6. D

  Deo JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 1,190
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Reverend hapa umesema kweli na hata udokita wao unatokana na ulidi wa kuwa waongo
   
Loading...