Ikulu kujenga ukumbi mpya wa kisasa

hii thread tayari ipo kwenye sub-forum ya Great Thinkers
 
Si unajua now days sherehe nyingi zinafanyika ikulu, kwa hiyo ukumbi uliopo ni mdogo wanataka wa extend kwa ajili ya masherehee
 
Mmhh kwa serikali hii kila kitu kinawezekana, majengo yanazidi kujegwa dar wakati wanampango wakuhamia dodoma, hv hii kweli ipo au danganya toto na wale wazee marehemu walikosea kuweka dodoma makao makuu!
 
Hiyo ni Mipango ya kuhamia Dodoma au kuhama dodoma? Unapata jibu wao wa hapahapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom