Wanafunzi waliofukuzwa warudiswe.....wabunge vijana

Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
6,385
7,295
wadau nimepata faraja sana baada ya kuona wabunge vijana wameungana ndani ya ukumbi wa bunge kutetea maslahi ya vijana ikiwa ni pamoja na ajira, elimu, ardhi pamoja na ushirikiswaji,

katika mazungumzo yao,wabunge vijana wameishinikiza wizara ya elimu kuwarudisha wanafunzi wote waliofukuza UDSM kutokana na mgomo wa kudai mikopo
 
nimewapenda sana leo zaidi nkosamali.
 
Ndio tunataka kuona mambo ya maana kama haya ambayo yanaigusa jamii na kutatua matatizo kuliko kuendekeza siasa sizizokuwa na maana,inauma sana kuona hata pale kwenye jambo la maslahi ya nchi wabunge wengi wa ccm hupinga kwa kuwa tu wameambiwa na viongozi wao wa chama kupinga bila kujali wananchi waliowachagua na kuwatuma.
Hongera sana wabunge vijana ila isiishie tu kuongea humo bungeni bali pangeni ratiba ya kwenda kumuona waziri mkiwa pamoja mpaka kieleweke.
 
fanyeni kweli huko bungeni, haiwezekani watu wanaodai mikopo wafukuzwe badala ya kupewa mikopo.
 
kwani kudai haki ni kosa siku hizi huko Tanganyika?. Bali wanataka Haki iombwe na kubembelezwa.

kazi ipo.
 
Elezeni basi ilikuaje huko bungeni kwa wale ambao hatukusika tuelewe
 
kufukuza wanafunzi wanaodai haki ni defensive mechanism ya serikali hawana njia nyingine ya kutatua matatizo zaidi ya kufukuza, hii serikali legelege sana
 
Back
Top Bottom