Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,412
- 36,569
Ivi mwanaume utajuaje kuwa si bikra?Tunaruhusiwa kukataa wanaume wasio na bikra? Since tumeenda kiroho zaidi?
Ivi mwanaume utajuaje kuwa si bikra?Tunaruhusiwa kukataa wanaume wasio na bikra? Since tumeenda kiroho zaidi?
basi watu wakishajua uzi pendwa ni huu wa bikra ishaanza kuwa shida..Wakuu Kwema!
Mara kwa mara nimekuwa nikihamasisha vijana humu kuwa wasioe wanawake wasio na bikra kwani hao sio wake zao. Pia mwanamke usikubali kuolewa na mwanaume ambaye hajaitoa bikra yako, huyo sio mumeo.
Huyo sio mkeo kama hukukuta bikra na wala hukuitoa. Huyo ni mke wa uzinzi, na lazima upate matokeo ya uzinzi,
Mwanamke uliyemkuta bikra na ukaitoa ndiye mkeo, huyo ndio mliwekeana agano la kuwa mwili mmoja na roho moja na yeye na sio mwanamke ambaye hukuikuta bikra yake.
Mwanamke kama hukuitoa bikra yake ni lazima akumbuke wanaume wake wa zamani, ni lazima awe mzinzi na malaya. Usioe! Usikubali kujidharau wewe kama mwanaume kwa kuoa mtu ambaye sio mke wako, huko ni kufanya uzinzi.
Leo nitanukuu aya za mke wa ujana wako ambaye sharti awe na bikra, bikra ndio ujana au usichana wa mwanamke, bila bikra mwanamke ni mtu mzima, hawi tena msichana(kijana wa kike) yaani ni kusema umeoa mzee wakati wasichana wapo.
Katika nukuu hii nimekoleza sehemu muhimu
Malaki 2:14- 16
14Mnauliza, “Mbona sasa hazikubali?” Mwenyezi-Mungu hazikubali kwa sababu anajua wazi kuwa umeivunja ahadi yako kwa mke wa ujana wako. Umekosa uaminifu kwake ingawa uliahidi mbele ya Mungu kwamba ungekuwa mwaminifu kwake.
15Je, Mungu hakuwafanya nyote wawili muwe mwili mmoja na roho moja? Je, alikusudia nini alipofanya hayo? Yamkini alikusudia tuzae watoto ambao watamcha yeye. Kwa hiyo, hakikisheni kuwa hakuna hata mmoja wenu anayekosa uaminifu kwa mkewe.
16Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli asema: “Ninachukia talaka. Ninachukia mmoja wenu anapomtendea mkewe ukatili huo. Hakikisheni kwamba hakuna hata mmoja wenu anayekosa uaminifu kwa mkewe.”
Mambo ya msingi
1. Usipooa mwanamke asiye na bikra Mungu hasikii maombi yako, na ukitoa bikra usimuoe mwanamke uliyembikiri pia hasikii maombi yako.
2. Mwanaume ukimtoa bikra mwanamke mnakuwa mwili mmoja na roho moja. Lakini usipotoa bikra hamuwi wamoja na ndio maana ndoa za siku hizi zinaumiza pande zote mbili
3. Mungu anachukia talaka kwa mke uliyemtoa bikra.
Kiufupi ni kuwa Mungu hamtambui mkeo kama hukumkuta na bikra, anaona mnafanya zinaa.
Usioe mwanamke asiye na Bikra, usiolewe na mwanaume ambaye hakukutoa bikra.
Jokajeusi
Kimsingi ni kutafuta mwanamke asie na hulka ya umalaya suala la bikra ni ziada tu ukiikuta sawa usipoikuta fresh
Hizi sheria za bikra nadhan zibakie kwa mataifa husika
Utamjuaje?Tunaruhusiwa kukataa wanaume wasio na bikra? Since tumeenda kiroho zaidi?
Hata mimi nimemwelewa sana na nilitaka aje hapo hapo ila sasa mkuu unamwambiaje mwanamke ajitunze halafu unamwacha mwanaume aendelee kutongoza tu hovyo? Unafikiri wanawake wataweza kukwepa vishawishi vyote vya kutongozwa ikiwa wanaume wataendelea kutongoza hovyo?
Ndiyo maana tunasema haya mambo mnapoyapigia kelele hakikisheni mnayapigia kelele kwa pande zote mbili maana ngono inahusisha jinsia zote mbili! Tusiongelee haya mambo as if wanaume wanafanya ngono na viumbe vingine na wanawake wanafanya ngono na viumbe vingine!
Sifa kuu mbili za mke bora ni
1) Mcha Mungu
2) Mchapa kazi
Note ; ukiokoka unazaliwa mara ya pili unafanywa kuwa kiumbe kipya.
Zama hizi bikra sio inshu sana ingawa ina umuhimu wake,
Kunawatu bikra zao zimetolewa kwa misuko suko kama kubakwa, huyu tunamuweka kundi gani!?
swala la kuoa bikra kwa lango la kutulia kwende ndoa tunajidanganya kama ana huruka ya kuchapwa anchapwa haijalishi ulitoa bikra au laah!
wangapi walitoa bikra na bdo wakasalitiwa n wapenzi au wake zao!?
Bikra ni ugwiji kwa sisi wanaume kua ndio mtu first kumjua lakini kwa mwanamke ni tunu kwa mwanaume lkn ni pale unpokuja kutunuku mtu aise sahihi kwake au wewe mwanaume unanyandua BK ya mtu kwa tamaa tu
jamii ikandiwe kotekote
Naona wewe unachanganya, bikra huwa hairudi kwa kuzaliwa mara ya pili... Hili jambo sio la imani ni jambo la nadharia.Sifa kuu mbili za mke bora ni
1) Mcha Mungu
2) Mchapa kazi
Note ; ukiokoka unazaliwa mara ya pili unafanywa kuwa kiumbe kipya.
Mkuu hadi nimekuuliza hivyo ni kwamba nimeshasoma hizo threads zako sana tu na nimegundua bado haujui maana ya bikira hivyo bado haujui unachokiongelea... Itoshe tu kusema kwamba huwa unaandika kwa mihemko na siyo facts...
Tukikwambia utuletee takwimu hapa za wanawake wangapi walioolewa mabikira ndoa zao zina amani na wangapi hazina amani... Na wanawake wangapi ambao hawakuolewa mabikira ndoa zina amani na wangapi hazina amani sidhani kama utatuletea...
Pia tukikwambia utupe takwimu ni wanawake wangapi walioolewa mabikira na wamebarikiwa na wangapi hawajabarikiwa... Na wanawake wangapi ambao hawakuolewa mabikira wamebarikiwa na wangapi hawajabarikiwa sidhani kama utatupa...
JF sijajiunga jana wala juzi huwa napita sana humu kusoma namna vijana wa siku hizi mnavyokaa mnadanganyana kuhusu mapenzi na mahusiano kwa ujumla wake... Na wengi huwa mnajadili haya mambo kwa mihemko tu na siyo facts...
Alaa kwahiyo Point yako ni kuwa wanawake wajitunze ila wanaume ndiyo wafanye ngono siyo
Kaolewe na mwanaume aliyekutoa bikra, kama unayo hakikisha unaitoa usiku wa ndoa yako.
Mwanaume hana bikra hili kila siku nalisema
Umeambiwa unaruhusiwa kumkataa mwanaume asikuoe endapo haja kutoa bikra tu. Koz bikra inayo elezwa hapa anayo mwamamke tu.
Ivi mwanaume utajuaje kuwa si bikra?
Kama kafariki utaratibu si unafahamika