Kutongoza mwanamke asiye bikra ni kujipotezea muda kwa makusudi

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Ndugu zangu natumaini mmeamka salama na kwawale wenyechangamoto za kiafya basi Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi sawasawa na imani zao. Amen

Zoezi la kutongoza mwanamke ni zoezi ambalo linajumuisha wale wanawake walio mabikra tuu na ambao hawajawahi kuwa na mpenzi kwa namna moja ama nyingine na zoezi hili mara nyingi ni gumu sana na rahisi sana wakati mwingine kama mwanaume utakua mjanja wa kumsoma binti umpendaye upesi na kujua anachokitaka na hili hutegemeana na aina ya mwanamke unayekutana nae.

Sasa kutongoza mwanamke asiye bikra na ambaye alisha wahi kuwa na mahusiano mengine au yupo kweye mahusiano hakuna tofauti na kujipotezea muda wako kwa makusudi. Mara zote wanawake wasio mabikra /waliokwisha kuwa na mahusiano hawa hawatongozwi maana walishakwisha kutongozwa hivyo hauna kitu utamuambia zaidi atakua anakuchora na kukuona mjinga huku amekuweka kama spare tyre tuu au kipoozeo cha kumpafaraja pale atakapozinguliwa na mpenzi wake.

Wanawake wasio mabikra kama una mpenda na umeridhia kuoa used kwa moyo wako mmoja pasi na kushurutishwa au kusemwa na ndugu kwamba uoe sasa muda umeenda ila ni kwaakili zako umeamua kua nae wewe tengeneza mazingira mzoe na akuzoe alafu ujiongeze mwenyewe kumuweka ndani kama unaona anakufaa kwa matumizi ya kua mke na kua mama wa wanao.

Kutongoza mwanamke asiye bikra ni risk sana maana utawekwa kama spare tyre na hakika hutakaa ujue ni lini atakupa jibu lako la kuingia nae kwenye mahusiano. Ndugu zangu jiongezeni hawa wana machungu mioyoni mwao chezeni kwa akili na siyo kuwatongoza.
 
We upate bikra kwa umri huu,wenye uwezo huo pekee ni mitume na manabii wa uongo pekee na hawa huwa connected
 
We upate bikra kwa umri huu,wenye uwezo huo pekee ni mitume na manabii wa uongo pekee na hawa huwa connected
Bikra zipo japo ni chache sana tafuta pole pole utapata kuna mabinti wamefel masomo na wana miaka 22-24 wanazo.

Ila haikisha unamuoa ukisha mtoa bikra
 
I mean no malice to nobody,
FB_IMG_17064660138518285.jpg
 
Mm naendaga direct nataka hio kitu, et wanasema hivo ndo umenitongoza nasema Sina muda wakutongoza mtu ambae sio bikra Nini ambacho hujui,nianze kubembeleza ninahuo muda sasa
 
Back
Top Bottom