Simple tu wanaume na wanawake wote wanatakiwa wajitunze wasifanye ngono kabla ya ndoa... Suala siyo kusema eti mwanaume hata akianza ngono hawezi kujulikana tofauti na mwanamke...

Suala hapa ni kila mtu kuwa mkweli kwa nafsi yake na ajue kuwa Mungu anamuona haijalishi akifanya ngono atajulikana na watu au hatajulikana... Maana anayetoa hizo baraka siyo binadamu ni Mungu...
 
Simple tu wanaume na wanawake wote wanatakiwa wajitunze wasifanye ngono kabla ya ndoa... Suala siyo kusema eti mwanaume hata akianza ngono hauwezi kujua tofauti na mwanamke...

Suala hapa ni kila mtu kuwa mkweli kwa nafsi yake na ajue kuwa Mungu anamuona haijalishi akifanya ngono atajulikana na watu au hatajulikana... Maana anayetoa hizo baraka siyo binadamu ni Mungu...

Mwanaume hawezi jitunza kwa ajili ya mwanamke, ila mwanamke ni lazima ajitunze kwa ajili ya mumewe na ndio maana kuna bikra.

Mwanamke akiwa bikra na wakiolewa bikra mwanaume atazini na nani?

Kumbuka mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke bali mwanamke ndio aliumbwa kwa ajili ya mwanamke so lazima ujue hayo, Mwanaume ndiye anayeoa na wala haolewi.

Mwanamke akishakuwa hana bikra na hajaolewa na hata akija kuolewa automatiki ni malaya
 
Mkuu unafahamu vema maana ya Bikira

Kama utakuwa mvivu soma kwa ufupi hapa maana ya Bikra

Maana ya Neno Bikira kimaandiko!
Kwa mujibu wa tafasiri za Agano la kale neno bikira lilitumika kumaanisha Mwanamwali yaani mwanamke kijana asiyejua Mume au ambaye hajawahi kushiriki tendo la Ndoa, na kuna maneno kadhaa ya kiebrania yaliyotumika kuwataja wanawake hao, yaani BETULAH mwanamwali bikira asiyejua mwanaume au ambaye hajaingiliwa na uume bado kwa kiarabu BATULI, na BAHUR mwanamke au mwanamwali kijana na ALMAH mwanamwali bikira aliyetolewa mahari au ambaye yuko karibu kuolewa, Almah pia ilitumika kumaanisha mwanamke safi ambaye hakuna maswali katika kuthibitisha usafi wake.

Neno hili ALMAH ndilo analolitumia Isaya Nabii katika Unabii unaohusu Mwanamwali atakayemzaa Masihi Isaya 7: 14. “Tazama Bikira (ALMAH) atachukua Mimba!.” Kwa hiyo kibiblia hii ilikuwa ndio maana ya neno Bikira. Hata hivyo Neno la Mungu lilikuwa na maana ya ndani zaidi kama tutakavyoiona baadaye.
 
Mkuu unafahamu vema maana ya Bikira
Kuna sababu nyingi zinazotoa bikra za msichana. Mazoezi na Kazi ngumu, hata michezo. Hata shughuli nyingi tu, baadhi ya wadada ngozi yao ni laini kiasi kwamba anaweza kuwa na shughuli s
Bikra ikatoka bila kujua. Umalaya Wa MTU(me au ke ) unategemea na factor nyingi. Kuna jamii zinafundisha kuwa figa moja haliinjiki chungu, kwa hiyo mwanamke asimtegemee mwanaume mmoj. Jamii hizo mwanamke kuwa na mahawara nje ni sifa, hata kama ameolewa. Halafu kuna issue ya maumbile , baadhi ya akinamana wana hormones nyingi zinazomletea nyege sana. Ukiwa naye ukamtoshelza atakuwa wako, lakini ukisafiri kidogo tu hata wiki haipiti akiguswa na mwanaume yoyote anampa. Maumbile yake yanazidi busar yake. Pale chini pana nguvu kuliko kwenye kichwa chake. Fanya Kazi acha fikra ambazo huna control Nazi.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Zama hizi bikra sio inshu sana ingawa ina umuhimu wake,
Kunawatu bikra zao zimetolewa kwa misuko suko kama kubakwa, huyu tunamuweka kundi gani!?

swala la kuoa bikra kwa lango la kutulia kwende ndoa tunajidanganya kama ana huruka ya kuchapwa anchapwa haijalishi ulitoa bikra au laah!

wangapi walitoa bikra na bdo wakasalitiwa n wapenzi au wake zao!?

Bikra ni ugwiji kwa sisi wanaume kua ndio mtu first kumjua lakini kwa mwanamke ni tunu kwa mwanaume lkn ni pale unpokuja kutunuku mtu aise sahihi kwake au wewe mwanaume unanyandua BK ya mtu kwa tamaa tu

jamii ikandiwe kotekote
 
Mwanaume hawezi jitunza kwa ajili ya mwanamke, ila mwanamke ni lazima ajitunze kwa ajili ya mumewe na ndio maana kuna bikra.

Mwanamke akiwa bikra na wakiolewa bikra mwanaume atazini na nani?

Kumbuka mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke bali mwanamke ndio aliumbwa kwa ajili ya mwanamke so lazima ujue hayo, Mwanaume ndiye anayeoa na wala haolewi.

Mwanamke akishakuwa hana bikra na hajaolewa na hata akija kuolewa automatiki ni malaya
Alaa kwahiyo Point yako ni kuwa wanawake wajitunze ila wanaume ndiyo wafanye ngono siyo
 
Back
Top Bottom