mshamba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Pisi kali za Mjini unalisha na kuivalisha lakini bado inakuona we ni Mshamba tu.

    Nawasashuri tu vijana mnaojitafuta msidhani kwamba ukimpa kila kitu Pisi kali ya mjini ndio inakukubali. Ikikaa pembeni na mashoga zake inakusema we ni Mshamba tu. Sasa unakuwaje mshamba wakati wewe ndio unamlipia Kula, kulala na hadi kuvaa? Tembea uone vichekesho. Fanya mambo yako ewe...
  2. GENTAMYCINE

    Mwambieni huyo Mgaigai ( Mshamba ) wenu wa Kikongo kuwa Suti huwa haichomekewi anaharibu na anaboa sasa

    Halafu mwambieni kwa huo Upuuzi wake ambao kuna baadhi ya Wapuuzi wanaufurahia Kibiashara anaweza akawa anajifungia Milango ya kupata Endorsements nyingi na Watu serious na akaishia tu kupata hizo Fedha za Magodoro yenye Kunguni na Vyura ndani yake na Kumiliki hilo Gari ambalo anadhani ni lake...
  3. LIKUD

    Huwa unatumia vigezo gani kumjua mshamba? Vyangu hivi hapa chini👇

    Mshamba ni nani? Jibu : Mshamba ni mshamba. Haya sasa utamjuaje mshamba au huwa unatumia vigezo gani kuconclude kwamba mtu fulani ni mshamba? Mimi huwaga naangalia vitu kadha wa kadha. Baadhi ya vitu hivyo ni hivi hapa chini👇 1. Akiwa anatumia True Caller. Unapiga simu kwa Mwnyekiti...
  4. Jokajeusi

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra...

    Bikra ni alama ya uaminifu na baraka kwa kizazi chako Habarini Wakuu. Naweza kuwa tofauti na wengi, Naweza nisiungwe mkono na wengi hasa wale waliooa na walioolewa. Lakini ninachojaribu kueleza hapa ni suala lenye manufaa kwa familia, jamii, taifa na dunia kwa ujumla. ni suala litakalo iweka...
  5. GENTAMYCINE

    Mtaalam: Msidanganyike Kisamvu ni kile kile tu duniani kote ila ukiwa Mshamba na hujui Kuutwanga vyema na Mchi utauona ni tofauti

    Nina Visamvu Viwili vya kuchukua Mwenge na Ubungo ngoja nivifuate nije nivitwange na Mchi Mmoja niliouandaa ili nione kama hakuna tofauti au Mtaalam ndiyo Kakosea na Katudanganya.
  6. TUKANA UONE

    Mimi Ndiye Mshamba au ni Kwamba sifuatilii mambo ya Miziki?

    Aisee sikuwahi kujua kama wimbo wa Maria ulioimbwa na mwanamuziki Fally Ipupa umetoka miaka 4 iliyopita,mimi nilipousikia mwaka huu na ulipovuma sana nikadhani ni wimbo mpya kumbe ushakula chumvi za kutosha. Ni kitu gani kimefanya huu wimbo mwaka huu umekuwa na umaarufu mkubwa kiasi kwamba watu...
  7. J

    Dharau ilianza pale Hayati Magufuli alipokejeliwa ni Uchwara na Mshamba na CCM kukaa kimya

    Ni vema tukaangalia tulijikwaa wapi na wala siyo tulipoangukia. Siasa za matusi na dharau hazijaanza leo na hata kumkejeli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna awamu aliitwa Dhaifu tena bungeni na watu wakakaa kimya. Shujaa Magufuli aliitwa Dikteta Uchwara na huyu huyu ni yeye CCM...
  8. mdukuzi

    Mtanzania kama hujawahi kufika South Africa, Europe au USA wewe ni mshamba tu

    Godbless Lema alikuwa hajawahi kutoka nje ya East Africa, aliishia Nairobi tu, siku alipotoka nje ya Afrika ndio akagundua kumbe sisi hatuishi tunadumu. Ndio maana anaropoka tu, asamehewe, mashikolo mageni.. Nelson Mandela baada ya kutoka gerezani alikokaa kwa miaka zaidi ya 26 alikuta south...
  9. kmbwembwe

    Eti wao wajanja Magufuli mshamba; si maji wala umeme hakuna

    Walimuita Magufuli mshamba kwa maana wao wajanja. Ujanja wenyewe kupiga dili kuhujumu maendeleo ya nchi. Awamu ya nne tuliambiwa gesi ndio itatatua tatizo la umeme. Tukaacha kwanza mpango wa kuiuza nje tuzalishe umeme kinyerezi. Mabomba yakalazwa urefu wa kilomita elfu na zaidi. Sasa tayari ziko...
  10. Lycaon pictus

    Dalili moja ya mtu mshamba ni kujua kuongea 'kilugha'

    Tudefine ushamba kama hali ya mtu kutojua utamaduni wa mjini au wa kisasa unataka nini. Mtu mshamba ni kazi sana kuendana naye au kuelewana naye. Ni kazi sana kuishi na mtu mshamba au kufanya naye makubaliano. Hata ukioa au kuolewa na mshamba utapata taabu sana humo ndani. Ni vema kuwatambua...
  11. Tanzania Nchi Yetu Sote

    Hebu niambie, yupi mshamba kati ya hawa?

    1=Mnyaturu-Aliyegonga hodi chooni? 2=Mgogo-Aliyeenda Dukani kuuliza Mbegu ya soda? 3=Muhaya-Aliyekula Hotelini akaosha vyombo? 4=Masai-Aliyemuamkia mtu kwenye Tv? 5=Msukuma-Aliyetoa laini kwenye simu ili asome sms? 6=Mchagga-Aliyeenda na spana Benki ili akafungue akaunti...
  12. Apollo one spaceship

    Kama una ushamba na wanawake fahamu haya

    Asilimia kubwa (zaidi ya 95%) ya wanawake wa leo wana wanaume zaidi ya mmoja. Usidanganywe na uzuri, dini, kabila, upole nk. Hivyo fahamu kuwa, kila demu anayelika unayekutana naye; ✍️Kuna wanaume wapya anakutana nao wanaomuwazia mipango ya kumfunua sketi, ✍️Kuna wanaume wengine anajuana nao...
  13. LIKUD

    Tazama video: Kumbe Country Boy ndio mshamba namna hii?

    Raising an African kid who lives in Africa as a " ghetto African American kid" amount to child abuse. This kid is being abused. Country boy ana mnyanyasa mtoto wake. The " nigga wannabe guy" thinks Mikocheni B is the Bronx. Don't be surprised when this fool start to smoke some joint with the...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Mwanaume anayemthamini/Mpenda Mchepuko kuliko Mke ni mshamba na anastahili kudharauliwa

    MWANAUME ANAYEMPENDA/MTHAMINI MCHEPUKO KULIKO MKE WAKE NI MSHAMBA NA ANASHTAHILI KUDHARAULIWA. Anaandika, Robert Heriel. Haijalishi Mke anamapungufu gani bado atabaki kuwa Mkeo na ndiye uliyemchagua Kwa hiyari yako. Kama Mwanamke anakusumbua Kwa tabia mbofumbofu ni Akheri umfukuze/mpe talaka...
  15. M

    Kati ya hawa Washambuliaji Wawili wa NBC Premier League Lusajo na Mayele nani ni Mshamba Juha na nani ni Mstaarabu Mwerevu?

    Lusajo (Namungo FC ) mwenye Goli 10 ila hana Mbwembwe na Kwake ni Kawaida na Mayele mwenye Goli 7 tu ila Mbwembwe Tanzania nzima? Nasubiri Majibu yenu huku nikijiandaa kuendelea kuiletea Heshima zaidi Tanzania hasa kwa Mambo makubwa na ya Kimataifa baada ya kutoka Niger juzi nikalala Ulaya...
  16. Genius Mzee

    Kigogo sio mtu wa kumuita Tundu Lissu mshamba, akemewe

    Mshamba ni nani? Mshamba ni yule anayejificha nyuma ya kibodi na kuwashambulia wengine au anapambana kwa kujitokeza na kuongea bila kupepesa macho kama Tundu Lissu anavyofanya? Mshamba ni nani yule aliyeanza kupigania haki toka akiwa shule ya msingi, Sekondari, JKT na kuendelea au yule...
  17. The Eric

    Ukiwa na mpenzi ambaye hawezi kuendana na wewe lazima uteseke

    Habarini wote! Nafikiria tu wakuu japo mimi siyo mlengwa hasa hasa ninachofikiria japo ipo haja ya kufahamu duniani kuzaliwa ni bahati na kama utayapatia mapenzi na mwenza wako hakikisha sana unapata mwenza mnaye kuwa na furaha na uhuru muda wote hata kama vumba hakuna ( Yaani Vumba lisiwe...
  18. Mshana Jr

    Harmonize ni mbumbumbu wa sheria, mchanga wa mahusiano na mshamba bado wa umaarufu

    Kitu kimoja kuhusu pesa nyingi: Hufunua undani wa mtu katika uhalisia wake....!!! Hata wewe ukizipata leo tutakujua tuu.. Waswahel wanasema pata pesa tujue tabia yako.... Shule ni muhimu sana sana kile kitendo cha kukaa darasani miaka kibao hutufunza mengi hata tusipofaulu mitihani..japo baadhi...
  19. J

    Baada ya kumjali na kupigania mafanikio yake, leo nimegeuka kuwa mshamba

    Nilimkuta akiwa ana stress za maisha baada ya kumaliza masomo yake katika chuo fulani. Nilimshika mkono, nikamfuta machozi kisha nikampenda na nikamfundisha kunipenda, nikaishi nae kwa zaidi ya miez kumi. sikuhitaji kumuona akiwa katika msongo wa mawazo bali nilitafiti nikagundua shauku yake...
Back
Top Bottom