mwanamke bikra

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wadiz

    Usioe mwanamke bikra kwa ushawishi wa lazima. Bikra ambae hajakupenda mbeleni atakuumiza vibaya

    Wale viherehere wa kuoa nawasanua zingatieni ushauri huu ukitaka kuoa bikra hakikisha unaoa anaekupenda haswaa ila ukitumia ushawishi wa kiwaki huko mbele utauona moto, mwanamke ana evolve kwenye nyanja zote Wadiz
  2. Money Penny

    Mwanamke Bikra akiolewa analia

    Doh nimecheka mpaka nimeona nishee Haya Mchungaji hapa ametupa kabisa maana ya mwanamke bikra na akiolewa akikutana na mwanaume anavyokuwa Eti analia 😂😂😂😂 Akiona msitu kifuani, analia😂😂😂
  3. Jokajeusi

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra...

    Bikra ni alama ya uaminifu na baraka kwa kizazi chako Habarini Wakuu. Naweza kuwa tofauti na wengi, Naweza nisiungwe mkono na wengi hasa wale waliooa na walioolewa. Lakini ninachojaribu kueleza hapa ni suala lenye manufaa kwa familia, jamii, taifa na dunia kwa ujumla. ni suala litakalo iweka...
Back
Top Bottom