Waliotumwa kuivuruga CCM jimbo la Hai wameanza kuweweseka, mchana wapo CCM usiku wapo Chadema

zanku

Member
Jun 9, 2020
69
149
WALIOTUMWA KUIVURUGA CCM JIMBO LA HAI WAANZA KUHAHA, MCHANA WAKO CCM USIKU KWA MBOWE

Na Imani Kwayu

Uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi katika Jimbo La Hai umeacha makovu makubwa Kwa wasaliti wa Chama hicho waliokuwa wamejichimbia kimyakimya wakitega michongo yao ya namna ya Kupenyeza watu wao kwenye uchaguzi Kwa lengo la kuuza uchaguzi Mkuu Wa 2025.

Wasaliti hao ambao wamekuwa wakijipatia tenda hiyo Miaka nenda rudi ndani ya Jimbo hilo, awamu hii ya sita imewashtukia na kuwafutilia mbali kwenye uchaguzi Mkuu Wa ndani uliofanyika hivi karibuni. Wasaliti hao wamebaki kulalama mitandaoni Kwa kutengeneza shutuma feki dhidi ya Mbunge Wa Jimbo hilo Saashisha Mafuwe (almaarufu Kifimbo Cheza) jina ambalo amepewa na wajumbe baada mbunge huyo kuwatembezea bakora Kali wasaliti wote kuanzia ngazi ya kata hadi wilaya, kundi hilo la wahuni limekuwa likiongozwa na Kimaro, ndossi na Madiwani kadhaa ambao mirija yao ya upigaji imedhibitiwa jimboni humo. Na hivi karibuni madiwani hao wameonekana katika hotel maarufu ya kiongozi wa mkubwa wa upinzani nchini, na imedaiwa walikuwa wakifanya negotiation ya malipo ya kuhamia katika chama Cha kiongozi huyo wa upinzani.

Kasi ya utenda kazi ya Mbunge Kifimbo Cheza a.k.a Saashisha Mafuwe imewazidi nguvu wasaliti hao, kwani mbunge huyo amekuwa akifanya kazi kubwa na kutoacha upenyo kwa wasaliti hao kupata Cha kutoa kasoro , inasemekana hata Kipindi Cha Bunge likiendelea Mbunge huyo amekuwa akionekana Jimboni akiendelea kutataua Kero za Wananchi wake na anawahi kurejea Bungeni kuuliza Maswali juu ya changamoto za Wananchi, jambo ambalo sio la kawaida kwani watu wa Hai walizoea kumwona mbunge wa zamani Kipindi Cha uchaguzi tu lakini Kwa huyu imekuwa kinyume.

Mbunge Kifimbo Cheza amekuwa akifanya kazi za Wananchi wake mpaka siku za wikendi, Yaani kwake hakuna mapumziko Kila siku ni kazi ya kutatua kero, changamoto na Matatizo ya wana-Hai.

Wasaliti hao wameibuka mtandaoni Leo Kwa kuandika maandiko mawili Moja wakimtukana Rais na Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan Kuwa "hajawapa nafasi wanageita kuuliza Maswali hadharani jambo" baada ya andiko hilo wakaweka andiko lingine wakimtukana Mbunge wa Hai Saashisha Mafuwe kwamba " amehusika kuwadhibiti kwenye uchaguzi wa ndani katika Jimbo hilo, hivyo wanataka marudio" tena wameandika andiko hilo wakimuagiza Katibu Mkuu Chongolo atekeleze maelekezo Yao.

Hivi ni wapi wanakopata nguvu wasaliti Hawa waliozoea kuuza chaguzi za Jimbo La Hai? Watu Hawa wamelalamikiwa Kipindi Cha nyuma Kwa kuikosesha CCM kura Kwa UHUNI wao ambao awamu hii umepata dawa na dawa ni Saashisha Mafuwe.

Nitoe Rai Kwa Chama Cha Mapinduzi kuwafuta uanachama wasaliti Hawa ambao wameazimia kurejea chama Chao halisi hivi karibuni.

Hapa chini naambatanisha nyuzi zao wakimtukana Mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan na Mbunge Wa Jimbo La Hai Saashisha Mafuwe.

Alamsiki.
 
Usituchoshe,sie tunachojua nyie ccm wote ni wezi,wa mali na kura.Mnaibiana wenyewe na muda ukifika mnaiba za upinzani.Hiyo ndiyo kazi pekee mnaweza kufanya kwa ufanisi.
 
Saashisha Mafuwe kazi imeshakushinda unaanza kulialia. Ubunge wa damu huu unakutesa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom