Mbunge Saashisha Mafuwe: Milioni 300 Kujenga Daraja Machame

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,900
944

MBUNGE SAASHISHA MAFUWE: MILIONI 300 KUJENGA DARAJA MACHAME

Daraja la Makoa lililopo Machame, ambalo limejengwa kipindi kirefu na ambalo lilikua ni kero kubwa imeanza kujengwa upya kwa gharama ya shilingi Milioni 300.

Akizungumza baada ya kufika kukagua ujenzi wa daraja hilo, mbunge wa jimbo la Hai Saashisha Mafuwe amesema kukamilika kwa daraja hilo itatatua kero kubwa kwa wakazi wa eneo hilo, huku akimshkuru rais Samia Suluhu Hassan kwa kukubali kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi huo.

Daraja hilo ni muhimu kutoka na kuwa wananchi wengi hupitisha mazao yao ikiwemo ndizi na maziwa lakini kufuata huduma za afya na pia hutumika kwa shughuli za utalii kupitia geti la Machame.
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2024-02-23 at 13.22.07(2).jpeg
    WhatsApp Image 2024-02-23 at 13.22.07(2).jpeg
    124.8 KB · Views: 6
  • WhatsApp Image 2024-02-23 at 13.22.07(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-02-23 at 13.22.07(1).jpeg
    105.2 KB · Views: 6
  • WhatsApp Image 2024-02-23 at 13.22.07.jpeg
    WhatsApp Image 2024-02-23 at 13.22.07.jpeg
    91.2 KB · Views: 6
  • WhatsApp Image 2024-02-23 at 13.23.48.jpeg
    WhatsApp Image 2024-02-23 at 13.23.48.jpeg
    138.3 KB · Views: 6
  • WhatsApp Image 2024-02-23 at 13.22.06(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-02-23 at 13.22.06(1).jpeg
    126.6 KB · Views: 6
Back
Top Bottom