Mbunge wa Hai SAASHISHA MAFUWE na baadhi ya wajumbe wa chama cha ushirika cha uduru wanatuhumiwa kuongwa kiasi cha shilingi 70,000,000/= na Mrusi aitwaye ALEX au ALTEZA, ili kutengenezea mizengwe muwekezaji wa Makoa Farm Mjerumani aitwaye Elizabeth ili mkataba wake na chama cha ushirika cha Uduru uvunjwe kabla ya muda wake ili shamba hilo apewe mrusi Altezza.
Mkataba wa mama huyo na chama cha ushirika unategemewa kwisha mwaka 2029. Mara kadhaa mbunge amesimama bungeni akishawishi serikali kuvunja mkataba huo hii ni kwa sababu ya maslahi yake binafsi.
Wanakijiji wa Uduru Machame tunataka TAKUKURU wamchunguze SAASISHA MAFUWe na baadhi ya wajumbe wa chama cha ushirika cha Uduru.